Wanaoamini NCCR Mageuzi itaachiwa majimbo na CCM wanaota ndoto za mchana

Nijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.

Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?

Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa NCCR Mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.

Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.

Maendeleo hayana vyama!
Naamini MUTUNGI ameshapewa maelekezo ya kuifuta CHADEMA
 
Bwashee kwa mara ya kwanza nakubaliana na uchambuzi wako!
 
Mbatia hana miundombinu ya kuweza kushawishi vijana..... Ni afadhali hata mzee Hashim Rungwe Spunda vijana wanamkubali na zile swaga zake!

..anahitaji KIJANA wa kuweza kufanya kazi hiyo.

..wakina Zitto, Halima Mdee, John Mrema, hawakuandikishwa cdm na wazee wa rika la mzee mtei.

..hata Freeman Mbowe anatakiwa aingize kundi jipya la VIJANA kuanzia mwaka huu mpaka 2025.
 
Hakuna vya bure dhambi ya usaliti ni mbaya sana tuendelee kuwepo
 
..anahitaji KIJANA wa kuweza kufanya kazi hiyo.

..wakina Zitto, Halima Mdee, John Mrema, hawakuandikishwa cdm na wazee wa rika la mzee mtei.

..hata Freeman Mbowe anatakiwa aingize kundi jipya la VIJANA kuanzia mwaka huu mpaka 2025.
Freeman alipata nguvu ya kuzunguka huku na kule kutafuta vijana kwa sababu kile chama ni " chao"......tofauti na akina Mbatia ambao ni watu wa mshahara!
 
VIP na Wabunge wa chadema kushinda kwenye chaguzi zijazo mbona hii mada hamuanzish Kwan hamjui kua bengen atarud profesa Jay tu ndio atakua chadema
Nijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.

Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?

Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa NCCR Mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.

Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wangebaki huko huko Chadema mimi nampongeza sana Kubenea na mchungaji Msigwa.

Huyo Mbatia mwenyewe itabidi akagombee Kawe maana pale Vunjo yupo kipenzi cha CCM Dr Augustino Lyatonga Mrema!

Kawe Hakuna mtu anayeweza kumpa kura Mbatia ...kashagombea huko nyuma lakini hakuweza kuvutia wapiga kura .
 
Hao wangebaki huko huko Chadema mimi nampongeza sana Kubenea na mchungaji Msigwa.

Huyo Mbatia mwenyewe itabidi akagombee Kawe maana pale Vunjo yupo kipenzi cha CCM Dr Augustino Lyatonga Mrema!
Mimi nina miaka michache sana niingie kwenye umri wa kustaafu, tokea niko Sekondari Mrema alikuwepo na ni yeye aliyepigania wakulima wa kahawa walipwe bei kamili wakanunue pembejeo wenyewe; matokeo yake kahawa Kilimanjaro imebaki kwenye mashamba ya wazungu tuu.

Kama nchi tufikie mahali tuwe na utamaduni wa kufanya "OVERHAUL" na kuingiza damu mpya; Kanisa katoliki pamoja na kuwa uongozi ni kujitolea lakini wana ukomo wa miaka tisa (9) sasa sisi mtu tokea miaka ya 80 ni huyo huyo ndio atoe mawazo ya kutuletea maendeleo, atayatoa wapi wakati kufikiri kwake ni yale yale ya miakaya 80 ya kutamani viwanda na biashara zote zimilikiwe na Serikali?

Embu Bunge pitisheni sheria mwaka huu UDIWANI na UBUNGE wagombea wote wasiwe na umri wa "RETIREMENT AGE"
 
Lengo la CCM ni kutaka kura za CDM wazigawane CDM, ACT na NCCR, mwisho wa siku wagombea wa CCM wapite kiulaini, na kweli CCM wamefanikiwa kwa hilo sioni dalili ya CDM na NCCR kukaa pamoja.
 
Back
Top Bottom