Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,969
Mimi sipendi Chadema nataka ife kabisa
sameHahah daah noma sana, hebu mzee baba mpangie jimbo Serukamba 2020 apewe jimbo gani.
Atakabana na Mama Malecela.
Naamini MUTUNGI ameshapewa maelekezo ya kuifuta CHADEMANijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.
Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?
Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa NCCR Mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.
Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee kwa mara ya kwanza nakubaliana na uchambuzi wako!Nijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.
Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?
Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa NCCR Mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.
Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.
Maendeleo hayana vyama!
Mbatia hana miundombinu ya kuweza kushawishi vijana..... Ni afadhali hata mzee Hashim Rungwe Spunda vijana wanamkubali na zile swaga zake!
Yule mbona keshazeeka sana, hata kusimama Dk 5 jukwaani ni mzikiHao wangebaki huko huko Chadema mimi nampongeza sana Kubenea na mchungaji Msigwa.
Huyo Mbatia mwenyewe itabidi akagombee Kawe maana pale Vunjo yupo kipenzi cha CCM Dr Augustino Lyatonga Mrema!
Comrade mmewaingiza hawa jamaa cha kike alafu mnakuja kuwananga namna hii?
Freeman alipata nguvu ya kuzunguka huku na kule kutafuta vijana kwa sababu kile chama ni " chao"......tofauti na akina Mbatia ambao ni watu wa mshahara!..anahitaji KIJANA wa kuweza kufanya kazi hiyo.
..wakina Zitto, Halima Mdee, John Mrema, hawakuandikishwa cdm na wazee wa rika la mzee mtei.
..hata Freeman Mbowe anatakiwa aingize kundi jipya la VIJANA kuanzia mwaka huu mpaka 2025.
Utamjua mwezi October kunako majaliwa!
Nijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.
Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?
Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa NCCR Mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.
Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.
Maendeleo hayana vyama!
Huyo Prof Jay yuko chama gani?VIP na Wabunge wa chadema kushinda kwenye chaguzi zijazo mbona hii mada hamuanzish Kwan hamjui kua bengen atarud profesa Jay tu ndio atakua chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wangebaki huko huko Chadema mimi nampongeza sana Kubenea na mchungaji Msigwa.
Huyo Mbatia mwenyewe itabidi akagombee Kawe maana pale Vunjo yupo kipenzi cha CCM Dr Augustino Lyatonga Mrema!
Anaenda kujaribu tena bwashee!Kawe Hakuna mtu anayeweza kumpa kura Mbatia ...kashagombea huko nyuma lakini hakuweza kuvutia wapiga kura .
Mimi nina miaka michache sana niingie kwenye umri wa kustaafu, tokea niko Sekondari Mrema alikuwepo na ni yeye aliyepigania wakulima wa kahawa walipwe bei kamili wakanunue pembejeo wenyewe; matokeo yake kahawa Kilimanjaro imebaki kwenye mashamba ya wazungu tuu.Hao wangebaki huko huko Chadema mimi nampongeza sana Kubenea na mchungaji Msigwa.
Huyo Mbatia mwenyewe itabidi akagombee Kawe maana pale Vunjo yupo kipenzi cha CCM Dr Augustino Lyatonga Mrema!