johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
-
- #41
Siasa ni sayansi bwashee!Mimi nina miaka michache sana niingie kwenye umri wa kustaafu, tokea niko Sekondari Mrema alikuwepo na ni yeye aliyepigania wakulima wa kahawa walipe bei kamili wakanunue pembejeo wenyewe; matokeo yake kahawa Kilimanjaro imebaki kwenye mashamba ya wazungu tuu.
Kama nchi tufikie mahali tuwe na utamaduni wa kufanya "OVERHAUL" na kuingiza damu mpya; Kanisa katoliki pamoja na kuwa uongozi ni kujitolea lakini wana ukomo wa miaka tisa (9) sasa sisi mtu tokea miaka ya 80 ni huyo huyo ndio atoe mawazo ya kutuletea maendeleo, atayatoa wapi wakati kufikiri kwake ni yale yale ya miakaya 80 ya kutamani viwanda na biashara zote zimilikiwe na Serikali?
Embu Bunge pitisheni sheria mwaka huu UDIWANI na UBUNGE wagombea wote wasiwe na umri wa "RETIREMENT AGE"
Sawa ila hiyo sayansi ilenge kulisaidia Taifa badala ya wanasiasa kuneemeka wenyewe tuuSiasa ni sayansi bwashee!
Silinde keishatangaza kwenda NCCR Mageuzi au ramli? Lakini ujue hata wengi wa waliokuwa wabunge wa Chadema walitoka vyama vingine. Kwangu mimi kama kuna kipindi walitoka vyama vingine kwenda Chadema ikaonekana sawa, kwanini wakitoka Chadema kwenda kwingine inakuwa nongwa?Nijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.
Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?
Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa NCCR Mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.
Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.
Maendeleo hayana vyama!
Mbunge gani aliyetoka Nccr mageuzi akaenda Chadema?!Silinde keishatangaza kwenda NCCR Mageuzi au ramli? Lakini ujue hata wengi wa waliokuwa wabunge wa Chadema walitoka vyama vingine. Kwangu mimi kama kuna kipindi walitoka vyama vingine kwenda Chadema ikaonekana sawa, kwanini wakitoka Chadema kwenda kwingine inakuwa nongwa?
Unazijua pasi mpenyezo? Alafu ikipigwa ni kufunga goli tu. Siasa ni Sayansi mkuu.Nijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.
Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?
Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa NCCR Mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.
Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.
Maendeleo hayana vyama!
Corona iko mlangoni kwenu inawasubiri nyie. October hamtaiona...Km unaipenda Chadema hamia huko, acha kutupigia kelele
Ila tambua Chadema Lazima ife na Nccr mageuzi anakuwa chama kikuu cha upinzani
Tukutane October
Utakufa wewe kwanza kabla ya CDMMimi sipendi Chadema nataka ife kabisa
Sasa ndio umependekeza nini hapo kwa Mbatia? Huko Kawe kwani ccm hamuweki mgombea? Kumsaidia mumpe ubunge wa viti maalum yaani ule wa kuteuliwa.Hao wangebaki huko huko Chadema mimi nampongeza sana Kubenea na mchungaji Msigwa.
Huyo Mbatia mwenyewe itabidi akagombee Kawe maana pale Vunjo yupo kipenzi cha CCM Dr Augustino Lyatonga Mrema!
Chama ni wanachama siyo mwenyekiti bwashee!Wewe sio mwenyekiti wa chama,huyajui mengi sana,hapa unapiga ramli chonganishi tu.
Nijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.
Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?
Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa NCCR Mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.
Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.
Maendeleo hayana vyama!
Hakyanani bwashe ukua...njoo ushushie RobertsonWewe unaipenda CCM kuliko Makamba family?
Usinywe bia nyingi ukajiachia kama kitimoto!
Comrade mmewaingiza hawa jamaa cha kike alafu mnakuja kuwananga namna hii?
Kwa siasa hizi lolote linaweza kutokea maana lazima kambi ya upinzani iwepo, na dalili zinaonyesha lazima iwe ya kutengenezwa! Maandalizi ndo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Km unaipenda Chadema hamia huko, acha kutupigia kelele
Ila tambua Chadema Lazima ife na Nccr mageuzi anakuwa chama kikuu cha upinzani
Tukutane October
Kada mwenzako huyo mkuu taratibuWewe unaipenda CCM kuliko Makamba family?
Usinywe bia nyingi ukajiachia kama kitimoto!
Mimi sipendi Chadema nataka ife kabisa
Kwani mmeghairi kumzawadia ubunge? Sasa nani ataenda kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani?Anaenda kujaribu tena bwashee!
Mkuu mi nasema achana kabisa na uchaguzi mkuu sio kama wa marudio.Ngoja si tupo kwanza kwa tecnlogy ilivyokua unakuta kabla ya mshindi kutangazwa tiyari matokeo yake anayo na kaisha wambia wafuasi wake kama ameshinda au kashindwa alafu utangaze tofauti mtiti ukianza kila jimbo unadhibiti vipi,Kuifuta chadema aiwezekani yaani ccm watapigwa kama mbwa October labda waibe kura na Risasi.
Kwani jiwe si ndiye aliyemzingua Nyalandu kwa kwenda kumuona Lissu? Kosa liko wapi hapo?Chama ni wanachama siyo mwenyekiti bwashee!
Hapo Ufipa mwenyekiti ndio kila kitu.