Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,722
- 11,336
Hii haihitaji akili ya ziada ipo wazi.Hata Mbatia mwenyewe Ubunge Hapati sembuse wengineNijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.
Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?
Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa NCCR Mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.
Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.
Maendeleo hayana vyama!
NCCR wala haifiki popote.Hao jamaa bora wangefia CDM,wangekosa ubunge wakiwa Chadema ingekuwa ni afadhali zaidi.Kwenda kufia NCCR ni kifo cha aibuComrade mmewaingiza hawa jamaa cha kike alafu mnakuja kuwananga namna hii?
Hakuna kitu kama hicho hao jamaa wameingia cha kike.CCM wanajua fika kuwa kuna Majimbo CDM watatoboa,ila sasa ili majimbo yasiwe mengi ndo wamegawa kura.Hapo NCCR wanatumiwa tu.Kambi ya upinzani hata CDM wasipoishika Tena ACT Wazalendo wanaweza kuishika hasa kwa uwingi wa wabunge toka Zanzibar.Kwa siasa hizi lolote linaweza kutokea maana lazima kambi ya upinzani iwepo, na dalili zinaonyesha lazima iwe ya kutengenezwa! Maandalizi ndo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mzee ana swaga Sana.Mungu akimjalia na 2020 agombee tena hata kama kura hazitatoshaMbatia hana miundombinu ya kuweza kushawishi vijana..... Ni afadhali hata mzee Hashim Rungwe Spunda vijana wanamkubali na zile swaga zake!
CCM hawana mpango wa kufanya NCCR kishke kambi ya upinzani,lengo la kukiinua NCCR ni kugawa kura ili CCM ipite KilainiCCM wanatumia nguvu mno kujaribu kuihuisha NCCR ili iwe chama chake kikuu cha upinzani.
Hii ni sawa na kujenga mji kwa pesa za mfukoni kwako !!
Ndiyo Maana CDM haifi.Ina vijana wengi sanaMbowe ukitaka kukosana naye gusa Chaso..
Chaso ndio mboni ya mbowe.
Mjanja sana mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
October sio mbali, mtafurahi.CCM wanatumia nguvu mno kujaribu kuihuisha NCCR ili iwe chama chake kikuu cha upinzani.
Hii ni sawa na kujenga mji kwa pesa za mfukoni kwako !!
Hata wakiukosa huo ubunge basi nafsi zao zitakuwa huru huko watapokuwa, wananchi tutawasamehe kwa kujitenga kwao na wasaliti wa Taifa.NCCR wala haifiki popote.Hao jamaa bora wangefia CDM,wangekosa ubunge wakiwa Chadema ingekuwa ni afadhali zaidi.Kwenda kufia NCCR ni kifo cha aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu vinasikitisha Sana na kufurahisha pia lakini kwa sababu viko ndani ya Political Game (PG) haina budi kuvikubari,kwa Nguvu gani na umihimu upi aliyonao NCCR-Mageuzi wakupewa Majimbo na CCM,ikiwa tu Ushawishi wa kuitikisa CCM hawana inakuwaje wapewe Majimbo???Nijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.
Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?
Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa NCCR Mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.
Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.
Maendeleo hayana vyama!
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa kimkakati zaidi ili iwasaidie kujisafishe mbele ya Dunia. Hata ndani ya CCM yenyewe wale wote wanaoonyesha chembechembe za kuhoji maamuzi au matakwa ya Mkuu kurudi tena ni ngumu sana. Hata kwa kambi ya Upinzani kwa hulka ya Zitto Kabwe sio rahisi wakubali aongoze kambi ya upinzani.Hakuna kitu kama hicho hao jamaa wameingia cha kike.CCM wanajua fika kuwa kuna Majimbo CDM watatoboa,ila sasa ili majimbo yasiwe mengi ndo wamegawa kura.Hapo NCCR wanatumiwa tu.Kambi ya upinzani hata CDM wasipoishika Tena ACT Wazalendo wanaweza kuishika hasa kwa uwingi wa wabunge toka Zanzibar.
Sent using Jamii Forums mobile app
hili nalo linawezekana lakini kumbuka ameshutumiwa sana kutaka kuua upinzani kwa makusudi hivyo ili kulificha hilo wanaweza kutengeneza upinzaniNani aliyesema lazima kuwe na wabunge wa upinzani?
Mbona Zanzibar barazani wapo CCM watupu na mwakilishi mmoja tu wa upinzani tena wa kuteuliwa na Rais na maisha yanakwenda?!