Wanaoangalia sasa hivi Madeama vs Belouizdad Yanga kazi wanayo

Mkuu hili Kundi D, hata Al Ahaly asipofanya juhudi anaweza asitoboe robo fainali. Kundi gumu ni balaa.
 
Timu isipo funga mechi moja zina anza habari za Mayele, kwa hio mechi zote Yanga alizo cheza ni nyepesi? kipindi Mayele yupo Yanga walikua hawapotezi mechi? Real Madrid ina mshambuliaji gani wa maana sasa hivi na inatapa matokeo chanya?
 
Usifananishe Real Madrid na takataka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu isipo funga mechi moja zina anza habari za Mayele, kwa hio mechi zote Yanga alizo cheza ni nyepesi? kipindi Mayele yupo Yanga walikua hawapotezi mechi? Real Madrid ina mshambuliaji gani wa maana sasa hivi na inatapa matokeo chanya?
Ngoja mcheze mechi utakuja kurudi kwenye comment yangu mkuu!
 
CRB angeshinda jana yanga tungekuwa na wakati mgumu sana.
Kifupi yanga tumeshafuzu
 
Situlikubaliana kwamba hawa medeama ndio underdog yaani mbwa wa chini tena koko wasio na maana katika kundi hili wakati yanga ndio favorite ama imekuwaje tena
 
Ngoja mcheze mechi utakuja kurudi kwenye comment yangu mkuu!
Sina haja ya kurudi ume andika hisia sio uhalisia Mamelodi sundowns mpka wamefika final hawakua na mshambuliaji natural game ya mwisho ndio Peter Shalulile alicheza zingine zote walitumia force number 9 , Medeama jana magoli yete mawili yanefungwa na viungo, game ya Pyramid na Mazembe hakukua na goli la mshambuliaji ikija Yanga mna anza upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…