Nakubaliana na hili 100%.Yanga walichomeshwa na Kipa wao mzembe.....Belouzdad si chochote
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na hili 100%.Yanga walichomeshwa na Kipa wao mzembe.....Belouzdad si chochote
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Mkuu hili Kundi D, hata Al Ahaly asipofanya juhudi anaweza asitoboe robo fainali. Kundi gumu ni balaa.Tulidhani hawa madeama ni underdog, angalia mpira wanaoopiga Belouizdad wanatamani mpira uishe.
Yanga asiposhinda kesho kwa Mkapa basi ndoto yao itakuwa imeishia hapo.
Full Time MADEAMA 2 BELOUIZDAD 1
Kuweka kumbukumbu sawa msimamo unaonyesha.
View attachment 2830713
Nadhani watakaoshinda mechi zao za nyumbani na draw moja ya ugenini ndo watapitaMkuu hili Kundi D, hata Al Ahaly asipofanya juhudi anaweza asitoboe robo fainali. Kundi gumu ni balaa.
Akija kupasuliwa na Yanga mtamkataa.Halafu bado ni bwana mdogo ana miaka 19,sasa imagine mechi inayokuja yanga ndo anawafuata kwao Ghana
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiwadharau Madeama ,kwao mechi itakuwa 50/50Akija kupasuliwa na Yanga mtamkataa.
Timu isipo funga mechi moja zina anza habari za Mayele, kwa hio mechi zote Yanga alizo cheza ni nyepesi? kipindi Mayele yupo Yanga walikua hawapotezi mechi? Real Madrid ina mshambuliaji gani wa maana sasa hivi na inatapa matokeo chanya?Watu wengi hawaelewi shida ya yanga hawana striker sasa wategemee magoli yafungwe kutoka midfield ya akina Aziz ki na Nzengeli ni kazi sana kwenye hizi mechi ngumu. Ukaishia hao wawili kazi umemaliza.
Yanga watam Miss sana mayele ndo alikua Messi wa yanga game nyingi hizi ngumu alikua anaziamua yeye mwenyewe.
Game ya leo yanga hata akifungwa goli moja atakupa amejitahidi sana. Yanga haendi popote labda dunia ipasuke.
Amka uto ucje chafua kitanda kwa kukata gogo ucngznShindwa, kesho al ahly analia, cr akija analia, madeama akija analia, point tisa hzo, tukienda kwa al ahly draw, madeama kwake analia, hatujapita?
Usifananishe Real Madrid na takatakaTimu isipo funga mechi moja zina anza habari za Mayele, kwa hio mechi zote Yanga alizo cheza ni nyepesi? kipindi Mayele yupo Yanga walikua hawapotezi mechi? Real Madrid ina mshambuliaji gani wa maana sasa hivi na inatapa matokeo chanya?
mkuu unaziweza shombo? tuanzie hapo tu,
Ngoja mcheze mechi utakuja kurudi kwenye comment yangu mkuu!Timu isipo funga mechi moja zina anza habari za Mayele, kwa hio mechi zote Yanga alizo cheza ni nyepesi? kipindi Mayele yupo Yanga walikua hawapotezi mechi? Real Madrid ina mshambuliaji gani wa maana sasa hivi na inatapa matokeo chanya?
Situlikubaliana kwamba hawa medeama ndio underdog yaani mbwa wa chini tena koko wasio na maana katika kundi hili wakati yanga ndio favorite ama imekuwaje tenaTulidhani hawa madeama ni underdog, angalia mpira wanaoopiga Belouizdad wanatamani mpira uishe.
Yanga asiposhinda kesho kwa Mkapa basi ndoto yao itakuwa imeishia hapo.
Full Time MADEAMA 2 BELOUIZDAD 1
Kuweka kumbukumbu sawa msimamo unaonyesha.
View attachment 2830713
Sasa simba imeingiaje tena kwa hii convoAcha woga....Yanga sio Simba ya kina Bocco na Saidoo...
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Taka taka nu wewe ambae huna akili, katika goli 3 alizo shinda Al Ahly goli gani limefungwa na mshambuliaji natural?
Umechanganyikiwa wewe,Al Ahly tena?Taka taka nu wewe ambae huna akili, katika goli 3 alizo shinda Al Ahly goli gani limefungwa na mshambuliaji natural?
Hata mimi nilidhani hivo,lakini Madeama sio underdog kwa mbugi waliyopigaSitulikubaliana kwamba hawa medeama ndio underdog yaani mbwa wa chini tena koko wasio na maana katika kundi hili wakati yanga ndio favorite ama imekuwaje tena
Sina haja ya kurudi ume andika hisia sio uhalisia Mamelodi sundowns mpka wamefika final hawakua na mshambuliaji natural game ya mwisho ndio Peter Shalulile alicheza zingine zote walitumia force number 9 , Medeama jana magoli yete mawili yanefungwa na viungo, game ya Pyramid na Mazembe hakukua na goli la mshambuliaji ikija Yanga mna anza upuuziNgoja mcheze mechi utakuja kurudi kwenye comment yangu mkuu!
Wewe tangu upigwe [emoji2772] akili zilikuruka unaongea ujinga tu
Mkuu CRB akija kuwafunga Madeama kwao inakwaje hapo?CRB angeshinda jana yanga tungekuwa na wakati mgumu sana.
Kifupi yanga tumeshafuzu