Wanaobahatika kuwa Marais wa nchi hii wanapoteza fursa ya kuingia katika historia ya kudumu kwa kushindwa tu kuwapa Watanzania Katiba Mpya

😁😁😁
16532937780160.jpg
 
Matokeo ya alichofanya Nyerere ni kuleta Muungano uliojengengwa katika msingi mbovu na ndio maana mpaka leo hii inatumika nguvu na mabavu kulazimisha aina ya muungano tulionao.
Kwani katiba mpya haiwezi kupatikana bila kugusa issue za muungano?.

Wahenga walisema, "heri kenda tisa kuliko kumi nenda uje".
 
Kwangu mimi huyu ndio Rais bora, mengine ni kelele tu za wanasiasa kutafuta Ugali..

Atakayebadilisha mfumo wa Elimu kutoka huu wa sasa kuwa unaoendana na nyakati..

Atakayefuta elimu ya kidato cha sita na baadala yake watu wapite college kuelekea university.

Atakayeondoa mfumo wa kuasses kutumia mitihani ya mwisho na kutumia GPA kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu.

Atakayeweza kuchagua either Kiswahili au English kimoja wapo kuwa lugha ya kufundishia mashuleni..

Atakayeweka utaratibu wa makampuni yote kuchukua graduates wetu kadhaa kwa ajili ya programes za intern-ship, iwe moja ya sheria kwenye uwekezaji, iwe kampuni ya mhindi, mchina, mzungu nk..

Atakayeweka sheria kali kulinda ajira za wazawa na maslahi ya wazawa kwenye kila kampuni inayofanya kazi nchini..

Atakayeiwezesha nchi kuzalisha umeme wa kutosha kwa matumizi yoote na kuhakikisha viwanda, migodi na taasisi zote na zaidi ya 80%ya watanzania wameungwa kwenye Grid..
 
Ukiwa mjinga ukaona mikwara kama hii unaweza kufikiri kuwa nchi ina Rais😁😁😁
 
Ndio maana KATIBA mpya lazima iandikwe. Hatutaki tena kutegemea maono na mawazo binafsi ya kiongozi kuamua hatma ya watu Zaid ya 60ml. Mifumo imara iamue Si maoni binafsi. Amen
 
Back
Top Bottom