Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Waliharibu CCM Kwa HOFU ya kupoteza madaraka na maslah ya wakubwa kuingiliwa, saiz haikwepeki tena.Mbona mliuvuruga sasa?
Ccm mnawajua mnawasikia?.Waliharibu CCM Kwa HOFU ya kupoteza madaraka na maslah ya wakubwa kuingiliwa, saiz haikwepeki tena.
Hiyo Haina kipingamizi Jo,marekebisho ya naweza kufanywa kupita vikao vya chama bila mapinhamiziπ€Tuanze na Katiba mpya ya Chadema
Kwani katiba mpya haiwezi kupatikana bila kugusa issue za muungano?.Matokeo ya alichofanya Nyerere ni kuleta Muungano uliojengengwa katika msingi mbovu na ndio maana mpaka leo hii inatumika nguvu na mabavu kulazimisha aina ya muungano tulionao.
Halikwepeki ndugu, ni Kwa Maslah mapana ya nchi. Hapatakuwa na uchaguzi wowote kabla ya kuandikwa KATIBA mpya. AmenCcm mnawajua mnawasikia?.
Raia mwenye kulindwa na katiba yetuTukipata katiba mpya utakuwa nani nchi hii.?
CCM ni wabinafsi na mafisadi wakubwaTatizo ni namna ya kuanza huo mchakato hamna anayemwamini mwenzie tunatanguliza ubinafsi
ulinzi gn Umekosa kwenye hii katiba ya sasa.?Raia mwenye kulindwa na katiba yetu
Hata uhuru wa siasa za majukwaani umeweza nyongwa na ntu,licha ya sheria,na katiba yetu kuutambuaulinzi gn Umekosa kwenye hii katiba ya sasa.?
Ndio maana KATIBA mpya lazima iandikwe. Hatutaki tena kutegemea maono na mawazo binafsi ya kiongozi kuamua hatma ya watu Zaid ya 60ml. Mifumo imara iamue Si maoni binafsi. AmenKwangu mimi huyu ndio Rais bora, mengine ni kelele tu za wanasiasa kutafuta Ugali..
Atakayebadilisha mfumo wa Elimu kutoka huu wa sasa kuwa unaoendana na nyakati..
Atakayefuta elimu ya kidato cha sita na baadala yake watu wapite college kuelekea university.
Atakayeondoa mfumo wa kuasses kutumia mitihani ya mwisho na kutumia GPA kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu.
Atakayeweza kuchagua either Kiswahili au English kimoja wapo kuwa lugha ya kufundishia mashuleni..
Atakayeweka utaratibu wa makampuni yote kuchukua graduates wetu kadhaa kwa ajili ya programes za intern-ship, iwe moja ya sheria kwenye uwekezaji, iwe kampuni ya mhindi, mchina, mzungu nk..
Atakayeweka sheria kali kulinda ajira za wazawa na maslahi ya wazawa kwenye kila kampuni inayofanya kazi nchini..
Atakayeiwezesha nchi kuzalisha umeme wa kutosha kwa matumizi yoote na kuhakikisha viwanda, migodi na taasisi zote na zaidi ya 80%ya watanzania wameungwa kwenye Grid..
Ndio inayoongoza nchiTuanze na Katiba mpya ya Chadema