PostGE2025 Wanaobeza maandamano ya Desemba 9 wanarudia makosa haya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Gen Z wa Tanzania walipotishia kuandamana kupinga uchafuzi ulioitwa uchaguzi, wengi, hasa machawa, waliwabeza wakijipa imani kuwa wasingeweza. Mbona waliweza. Hata haya maandamano yanayopangwa kufanyika siku ya kuadhimisha uhuru wa Tanganyika yatafanyika, na serikali haitafanya kitu.

Mosi, Gen Z hawatishiki wala hawaogopi yeyote. Pili, wanajua wanachotaka, hasa ikizingatiwa kuwa watawala vipofu na viziwi wamewapuuzia, kuwasingizia, kuwakamata, kuwatesa, kuwafunga, na kuwaua baadhi yao. Tatu, wamekomaa na wanajua hali halisi ya kile wanachofanya.

Nne, watawala wameishatishika na wanatafuta ‘maridhiano’ ili kuepuka lawama na kulinda kitumbua chao haramu. Tano, Gen Z licha ya kuwa na dhamira thabiti, wanajua namna dunia ilivyotafsiri maandamano yao hadi kuwakemea watawala na kutishia kuwachunguza.

Sita, watawala watagwaya kwa kuogopa kuchochea moto uliokwisha washa na Gen Z. Saba, wamejifunza kutokana na maandamano yaliyopita na namna dunia ilivyoyapokea vizuri.

Nane, shida zao hazijatatuliwa wala kuonekana, huku watawala wakisingizia kuwa walioandamana si Watanzania.

Tisa, Gen Z wana hasira na kisasi kutokana na walivyotendwa vibaya. Kumi, Gen Z watapata kuungwa mkono na Watanganyika wanaoona nchi yao ikibakwa na kuporwa na wageni kutoka visiwani.

Hizo ndizo baadhi ya sababu zinazonisukuma kuwaonya wanaojidanganya na kukataa kujifunza, wakidhani wanaweza kuzima moto wa Gen Z.
 
Endapo maandamano yangeweza kuanzia maeneo kama Kariakoo na Mjini kati wangeshindwa kuyadhibiti.
Lakini kama yatatokea tena Kimara au Mbezi na Tabata kutaka kuja mjini ni rahisi kuwadhibiti kwa kuwa wanafata barabara kubwa.....
 
Nyie ndio mnao wapotosha viongozi
Maandamano
(kutoka kitenzi "andaa" kilichonyambuliwa kwa viambishi -ma- na -na-; kwa Kiingereza procession, kutoka Kilatini processio, pia cortege) ni kundi la watu wanaotembea pamoja kwa utaratibu maalumu.
sasa wewe sjui tunakusaidiaje, unatafuta kila njia kuhalalisha kwamba yalikua maandamano na unajua kabisa waliharibu miundo mbinu kama haya ndo mnaita maandamano basi tunafuraha sana kwa wao kuuuliwa EXCEPT baadhi waliotoa taarifa kwamba kuna baadhi kwa bahati mbaya walikua ndan risasi zikawapata lasivo hao ngombe wote ni kuwekwa sehem moja na kuchomwa
 
Endapo maandamano yangeweza kuanzia maeneo kama Kariakoo na Mjini kati wangeshindwa kuyadhibiti.
Lakini kama yatatokea tena Kimara au Mbezi na Tabata kutaka kuja mjini ni rahisi kuwadhibiti kwa kuwa wanafata barabara kubwa.....
ingekua wako na mabango wanatembea kwa pamoja apo amna wa kuwagusa, pia wangekua na kiongozi ata mmoja kiuhalisia ingekua a big deal kama wangeuliwa ila kwa kua walijikuta jeuri sasa wamekutana na fezuli
 
Gen Z wa Tanzania walipotishia kuandamana kupinga uchafuzi ulioitwa uchaguzi, wengi, hasa machawa, waliwabeza wakijipa imani kuwa wasingeweza. Mbona waliweza. Hata haya maandamano yanayopangwa kufanyika siku ya kuadhimisha uhuru wa Tanganyika yatafanyika, na serikali haitafanya kitu.

Mosi, Gen Z hawatishiki wala hawaogopi yeyote. Pili, wanajua wanachotaka, hasa ikizingatiwa kuwa watawala vipofu na viziwi wamewapuuzia, kuwasingizia, kuwakamata, kuwatesa, kuwafunga, na kuwaua baadhi yao. Tatu, wamekomaa na wanajua hali halisi ya kile wanachofanya.

Nne, watawala wameishatishika na wanatafuta ‘maridhiano’ ili kuepuka lawama na kulinda kitumbua chao haramu. Tano, Gen Z licha ya kuwa na dhamira thabiti, wanajua namna dunia ilivyotafsiri maandamano yao hadi kuwakemea watawala na kutishia kuwachunguza.

Sita, watawala watagwaya kwa kuogopa kuchochea moto uliokwisha washa na Gen Z. Saba, wamejifunza kutokana na maandamano yaliyopita na namna dunia ilivyoyapokea vizuri.

Nane, shida zao hazijatatuliwa wala kuonekana, huku watawala wakisingizia kuwa walioandamana si Watanzania.

Tisa, Gen Z wana hasira na kisasi kutokana na walivyotendwa vibaya. Kumi, Gen Z watapata kuungwa mkono na Watanganyika wanaoona nchi yao ikibakwa na kuporwa na wageni kutoka visiwani.

Hizo ndizo baadhi ya sababu zinazonisukuma kuwaonya wanaojidanganya na kukataa kujifunza, wakidhani wanaweza kuzima moto wa Gen Z.
Zingatia hii D9
FB_IMG_1762863537843.jpg
 
Back
Top Bottom