The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Yalikuwa nini?yale hayakua maandamano
Yaite vyovyote upendavyo, lakini ni maandamano!yale hayakua maandamano
Nyie ndio mnao wapotosha viongoziyale hayakua maandamano
So, what?Nyie ndio mnao wapotosha viongozi
Maandamano (kutoka kitenzi "andaa" kilichonyambuliwa kwa viambishi -ma- na -na-; kwa Kiingereza procession, kutoka Kilatini processio, pia cortege) ni kundi la watu wanaotembea pamoja kwa utaratibu maalumu.
wahujumu uchumi kwa ujumla, alafu cha ajab hii story hamtaki isemwe ila ndo itaendelea ivo ivo kusemwa kwamba mliharibu miundo mbinu na mlipata malipo yenuYalikuwa nini?
wapi duniani ushawahi kuona maadamano mtu anachoma huduma muhimu za jamii? hamuwezi kujificha kwenye icho kivuli, isingekua baadhi ya watu kusema kuna watu waliuliwa bahati mbaya basi wote hao ilitakiwa iwe skukuu ya wao kuchomwaYaite vyovyote upendavyo, lakini ni maandamano!
sasa wewe sjui tunakusaidiaje, unatafuta kila njia kuhalalisha kwamba yalikua maandamano na unajua kabisa waliharibu miundo mbinu kama haya ndo mnaita maandamano basi tunafuraha sana kwa wao kuuuliwa EXCEPT baadhi waliotoa taarifa kwamba kuna baadhi kwa bahati mbaya walikua ndan risasi zikawapata lasivo hao ngombe wote ni kuwekwa sehem moja na kuchomwaNyie ndio mnao wapotosha viongozi
Maandamano (kutoka kitenzi "andaa" kilichonyambuliwa kwa viambishi -ma- na -na-; kwa Kiingereza procession, kutoka Kilatini processio, pia cortege) ni kundi la watu wanaotembea pamoja kwa utaratibu maalumu.
mhalifu dawa yake kifoYaite vyovyote upendavyo, lakini ni maandamano!
ingekua wako na mabango wanatembea kwa pamoja apo amna wa kuwagusa, pia wangekua na kiongozi ata mmoja kiuhalisia ingekua a big deal kama wangeuliwa ila kwa kua walijikuta jeuri sasa wamekutana na fezuliEndapo maandamano yangeweza kuanzia maeneo kama Kariakoo na Mjini kati wangeshindwa kuyadhibiti.
Lakini kama yatatokea tena Kimara au Mbezi na Tabata kutaka kuja mjini ni rahisi kuwadhibiti kwa kuwa wanafata barabara kubwa.....
Zingatia hii D9Gen Z wa Tanzania walipotishia kuandamana kupinga uchafuzi ulioitwa uchaguzi, wengi, hasa machawa, waliwabeza wakijipa imani kuwa wasingeweza. Mbona waliweza. Hata haya maandamano yanayopangwa kufanyika siku ya kuadhimisha uhuru wa Tanganyika yatafanyika, na serikali haitafanya kitu.
Mosi, Gen Z hawatishiki wala hawaogopi yeyote. Pili, wanajua wanachotaka, hasa ikizingatiwa kuwa watawala vipofu na viziwi wamewapuuzia, kuwasingizia, kuwakamata, kuwatesa, kuwafunga, na kuwaua baadhi yao. Tatu, wamekomaa na wanajua hali halisi ya kile wanachofanya.
Nne, watawala wameishatishika na wanatafuta ‘maridhiano’ ili kuepuka lawama na kulinda kitumbua chao haramu. Tano, Gen Z licha ya kuwa na dhamira thabiti, wanajua namna dunia ilivyotafsiri maandamano yao hadi kuwakemea watawala na kutishia kuwachunguza.
Sita, watawala watagwaya kwa kuogopa kuchochea moto uliokwisha washa na Gen Z. Saba, wamejifunza kutokana na maandamano yaliyopita na namna dunia ilivyoyapokea vizuri.
Nane, shida zao hazijatatuliwa wala kuonekana, huku watawala wakisingizia kuwa walioandamana si Watanzania.
Tisa, Gen Z wana hasira na kisasi kutokana na walivyotendwa vibaya. Kumi, Gen Z watapata kuungwa mkono na Watanganyika wanaoona nchi yao ikibakwa na kuporwa na wageni kutoka visiwani.
Hizo ndizo baadhi ya sababu zinazonisukuma kuwaonya wanaojidanganya na kukataa kujifunza, wakidhani wanaweza kuzima moto wa Gen Z.
Basi yanayokuja ndio maandamano, achana na yaliyopita. Yanayokuja tunakuja kunywa chai ikulu na kusaidia kufua chupi za wanaoishi ikuluyale hayakua maandamano
Ni kweli nakuunga mkono Yale hayakuwa maandamano ila yalikuwa mauaji ya halaiki!yale hayakua maandamano