Brother hilo bango ni rasmi?Zingatia hii D9
View attachment 3500565
kwan mauaji ya wahalifu yana shida gan?Ni kweli nakuunga mkono Yale hayakuwa maandamano ila yalikuwa mauaji ya halaiki!
karibuni sana ngoja tuweke nguo za kufua kabisaBasi yanayokuja ndio maandamano, achana na yaliyopita. Yanayokuja tunakuja kunywa chai ikulu na kusaidia kufua chupi za wanaoishi ikulu
Jamani tusitishike wala tusikatishwe tamaa. D9 ndo mpango mzima. Lazima tuibadilishe nchi yetu iwe ya haki na amani.karibuni sana ngoja tuweke nguo za kufua kabisa
kwan unadhan mkiandamana ndo tutawaskiliza? ni shaba na kuchomwa mpaka vichwa viwakae sawaJamani tusitishike wala tusikatishwe tamaa. D9 ndo mpango mzima. Lazima tuibadilishe nchi yetu iwe ya haki na amani.
Na nina wahakikishia tusipoandamana basi ndo sahau kabisa swala la haki Tanzania. Ebu angalia watu wetu wamekufa harafu MaCCM yako bungeni wakijiapisha na kufurahia kana kwamba hakuna chochote kilichotokea. Hiyo ni roho ya jeuri na kiburi cha hali ya juu sana
Brother kapumzike sasa, naona umechoka sana.kwan unadhan mkiandamana ndo tutawaskiliza? ni shaba na kuchomwa mpaka vichwa viwakae sawa
Gen Z wasiende kwenye maandamano ya D9 mikono mitupu maana wanaenda kupambana na ALqaeda ,Alshabaab ,hivyo inabidi waende pia na zana,,,,Gen Z wakijipanga vizuri na zana(Gobole ,AK47 ,Glock17(9mm) ,mac10,mishale ,mikuki ,mapanga shasha) wanachukua nchi saa saba mchana!Gen Z wa Tanzania walipotishia kuandamana kupinga uchafuzi ulioitwa uchaguzi, wengi, hasa machawa, waliwabeza wakijipa imani kuwa wasingeweza. Mbona waliweza. Hata haya maandamano yanayopangwa kufanyika siku ya kuadhimisha uhuru wa Tanganyika yatafanyika, na serikali haitafanya kitu.
Mosi, Gen Z hawatishiki wala hawaogopi yeyote. Pili, wanajua wanachotaka, hasa ikizingatiwa kuwa watawala vipofu na viziwi wamewapuuzia, kuwasingizia, kuwakamata, kuwatesa, kuwafunga, na kuwaua baadhi yao. Tatu, wamekomaa na wanajua hali halisi ya kile wanachofanya.
Nne, watawala wameishatishika na wanatafuta βmaridhianoβ ili kuepuka lawama na kulinda kitumbua chao haramu. Tano, Gen Z licha ya kuwa na dhamira thabiti, wanajua namna dunia ilivyotafsiri maandamano yao hadi kuwakemea watawala na kutishia kuwachunguza.
Sita, watawala watagwaya kwa kuogopa kuchochea moto uliokwisha washa na Gen Z. Saba, wamejifunza kutokana na maandamano yaliyopita na namna dunia ilivyoyapokea vizuri.
Nane, shida zao hazijatatuliwa wala kuonekana, huku watawala wakisingizia kuwa walioandamana si Watanzania.
Tisa, Gen Z wana hasira na kisasi kutokana na walivyotendwa vibaya. Kumi, Gen Z watapata kuungwa mkono na Watanganyika wanaoona nchi yao ikibakwa na kuporwa na wageni kutoka visiwani.
Hizo ndizo baadhi ya sababu zinazonisukuma kuwaonya wanaojidanganya na kukataa kujifunza, wakidhani wanaweza kuzima moto wa Gen Z.
Hata kipindi Cha Nyerere alipokuwa anadai haki na Uhuru wa nchi yetu walikuwepo watu kama wewe. Kwa hiyo sishangai. Wewe unaangalia tumbo lako na watoto wako basi. Mimi ninaangalia watoto wakitanzania miaka 10-20 ijayo.kwan unadhan mkiandamana ndo tutawaskiliza? ni shaba na kuchomwa mpaka vichwa viwakae sawa
Unawajua polisi unawasikia?? Kama walienda mahakamani kusikiliza kesi ya lissu watu wakapigwa kama wanyama na kuvunjwa vunjwa miguu na kwenda kutupwa porinii unadhani? Unacho kisema kinawekana?!ingekua wako na mabango wanatembea kwa pamoja apo amna wa kuwagusa, pia wangekua na kiongozi ata mmoja kiuhalisia ingekua a big deal kama wangeuliwa ila kwa kua walijikuta jeuri sasa wamekutana na fezuli
Nakubaliana na wewe kabisa.Unawajua polisi unawasikia?? Kama walienda mahakamani kusikiliza kesi ya lissu watu wakapigwa kama wanyama na kuvunjwa vunjwa miguu na kwenda kutupwa porinii unadhani? Unacho kisema kinawekana?!
Vijana wengi hawana cha kupoteza tumaini lao kwenye elimu kwa Sasa imekua vice versa..SIKU TUKIPATA VIKOSI VYA WAASI NCHINI KUNA VIJANA WAPO TAYARI KUJIUNGA MAANA SERIKALI HAIWASIKILIZI...I THOUGHT π€ WAKATI MWINGINE THE GREAT QUESTION OF THE DAY CANNOT BE SOLVED BY SPEECHES AND MAJORITY RESOLUTION BUT BY IRON & BLOOD hayo ni maneno ya CHANCELLOR OTTO VON BISMARCK yaliyo fanikisha GERMAN UNIFICATION.
NB. KAMA UNA NDUGU ANAE KUHUSU AKAUWAWA KINYAMA PENGINE HATA PENGINE USIONE MWILI WAKE JE?! UTAKUA NA IMANI NA SERIKALI HII KWERIIIII..LABDA KAMA HUJAWAI KUPATA MSIBA MLANGONI KWAKO
badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma Karne ya 16Nakubaliana na wewe kabisa.
Watu lazima mjue kamwe CCM haitakubali kutoka madarakani eti kisa maridhiano. Hiyo msahau kabisa. Nguvu ya wananchi ndo itaweza kuilazimisha CCM kuachia ngazi, kuja na katiba mpya na haki kutendeka kwa watu wote bila kujali chama ama madaraka.
Bila nguvu ya wananchi tusahau. Ndo maana nasisitiza D9 ni muhimu sana sana.
JAMANI LET'S D9 IINGIE KWENYE HISTORIA YA NCHI YETU VIZAZI HATA VIZAZI
kwan walipigwa bila sababu? hawakutii maagizo ulitegemea nnUnawajua polisi unawasikia?? Kama walienda mahakamani kusikiliza kesi ya lissu watu wakapigwa kama wanyama na kuvunjwa vunjwa miguu na kwenda kutupwa porinii unadhani? Unacho kisema kinawekana?!
Vijana wengi hawana cha kupoteza tumaini lao kwenye elimu kwa Sasa imekua vice versa..SIKU TUKIPATA VIKOSI VYA WAASI NCHINI KUNA VIJANA WAPO TAYARI KUJIUNGA MAANA SERIKALI HAIWASIKILIZI...I THOUGHT π€ WAKATI MWINGINE THE GREAT QUESTION OF THE DAY CANNOT BE SOLVED BY SPEECHES AND MAJORITY RESOLUTION BUT BY IRON & BLOOD hayo ni maneno ya CHANCELLOR OTTO VON BISMARCK yaliyo fanikisha GERMAN UNIFICATION.
NB. KAMA UNA NDUGU ANAE KUHUSU AKAUWAWA KINYAMA PENGINE HATA PENGINE USIONE MWILI WAKE JE?! UTAKUA NA IMANI NA SERIKALI HII KWERIIIII..LABDA KAMA HUJAWAI KUPATA MSIBA MLANGONI KWAKO
watoto wa miaka 20 ijayo unawajua? au wao wanakujua? infact ushaambiwa ukishakufa story yako ishaisha, tunajua kabisa agenda mlionayo izo story za miaka 20 ijayo unadhan ccm imeanza kutawala juziHata kipindi Cha Nyerere alipokuwa anadai haki na Uhuru wa nchi yetu walikuwepo watu kama wewe. Kwa hiyo sishangai. Wewe unaangalia tumbo lako na watoto wako basi. Mimi ninaangalia watoto wakitanzania miaka 10-20 ijayo.
kufanyaje mkuuBrother kapumzike sasa, naona umechoka sana.
Bila kupepesa macho kuna waliokuwa mule na dhamira moja tu, kuiba, na kama hakuna cha kuiba ni kuharibu.....ingekua wako na mabango wanatembea kwa pamoja apo amna wa kuwagusa, pia wangekua na kiongozi ata mmoja kiuhalisia ingekua a big deal kama wangeuliwa ila kwa kua walijikuta jeuri sasa wamekutana na fezuli
Wewe ni INSANE punguani , huna akili timamu huna exposure yoyote so hizi mada zimekuzidi your thinking capacity.kwan walipigwa bila sababu? hawakutii maagizo ulitegemea nn
alafu acheni kujificha kwenye kivuli cha kama ndugu yako hayupo kwan sisi hua hatufiwi ama?
Haya.kufanyaje mkuu
Maandamano si matembezi ya hisani. Maandamano yaweza kuambatana na riot, migomo na hata kuchoma vitu au kufunga barabara. Hakuna formula ya maandamano. Hii inaweza tokea kama shinikizo la kutaka majibu ya haraka, kulipa kisasi au kuonyesha hasira au kupambana na ukinzani ulioko mbele unaosababishwa na vyombo vya Dola vinapodhibiti maandamano.wapi duniani ushawahi kuona maadamano mtu anachoma huduma muhimu za jamii? hamuwezi kujificha kwenye icho kivuli, isingekua baadhi ya watu kusema kuna watu waliuliwa bahati mbaya basi wote hao ilitakiwa iwe skukuu ya wao kuchomwa