Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nelson...Hapa mzee saidi inaonyesha huijui historia ya dunia!!!!Wewe unajua historia ya visiwa hivyo wakazi wake wa kwanza ni watu wa nasaba gani?????Au unadhani historia imeanzia walipokuja waarabu pwani ya afrika mashariki???????Usiniangushe mzee saidi
Nelson...Hii mind set ya Oman oriented anayo mzee wangu said mohamed kwa kisingizio cja unasaba wa kindugu na kidini
Nelson,Hapa sasa mzee wangu unanidanganya!!!Wewe unajua dunia imeumbwa mwaka gani na visiwa hivyo vimeanza kukaliwa na watu mwaka gani???
Masultan hawana damu katika mikono yao????You cant be serious mzee wangu!!!!Afu kuhusu west Africa na antlantic slave trade tungezaliwa west africa tungejadili hilo!!!Sisi tupo east Africa!!!!Nelson...
Ukweli haukataliki muhimu ni kuwa uwe kweli ni ukweli.
Lakini ni muhimu ujue kuwa kuna propaganda nyingi katika historia ya utumwa.
Unazungumza utumwa Zanzibar lakini umekuwa kimya kuhusu Transatlantic Slave Trade.
Yawezekana huna ujuzi wala maarifa ya historia hii.
Ninapokusoma jinsi unavyoandika na hata pale ninapokuongoza katika kanuni za uandishi unakuwa mkaidi na kurejea katika makosa yale yale basi najua kuwa hapa hakuna kitu.
Sultan kaondoka Zanzibar hana damu katika vidole vyake.
Jela za mateso na mauaji ziliingia Zanzibar baada ya mapinduzi.
Historia ya jela hizi Wazanzibari wote wangependa kusahau.
Wazanzibari wameukataa utawala ulioko madarakani toka 1964 kwenye sanduku la kura mara sita.
Nakupa yote haya kwa ushahidi na jambo la kusikitisha maraisi wote hao wameshindwa na mgombea yule yule mmoja.
Kilele cha fedheha hii ni pale baada ya kushindwa wa 2015.
Uchaguzi ule ukafutwa.
Kila uchaguzi damu ya Wazanzibari inamwagika.
Wewe unakuja na lugha "Wabantu hatusahau."
Wajue kwanza Wazanzibari ni nani.
Ndipo nikakuuliza nini tafsiri ya CCM kushindwa kila uchaguzi?
Wazanzibari wanayakataa mapinduzi?
Huenda hadi hapa tulipo hujanijua labda ungenijua ungechukua tahadhari lau kidogo.
Nimeshiriki katika uandishi wa historia ya mapinduzi nikiwa Mtafiti Msaidizi wa Dr. Harith Ghassany.
Dr. Ghassany haitaji kuelezwa.
Nimealikwa Zanzibar mara nne kufanya mihadhara wa wazi kuhusu historia ya Zanzibar: Zanzibar State University, Mwinyi Baraka Foundation, na mara mbili na Zanzibar Research and Public Policy (ZRPP) kufanya pitio kwa vitabu viwili kuhusu historia ya mapinduzi.
Nimezungumza kuhusu kitabu cha Hashir Seif Hashir: "Mimi Mapinduzi na Umma Party," na kitabu cha Khamis Abdulla Ameir, "Maisha Yangu."
Aaah mzeee wangu umeanza kuleta ubishi kama ulivyokua unafanya pindi upo UDSM???Nelson...
Nakuelewa vizuri zaidi unapoandika Kiswahili.
Sass nikupe elimu gani????Ya dini za wanadamu kuhusu dunia au elimu ya nje ya dini kuhusu dunia mzee wangu???Nelson,
Uwanja ni wako kutusomesha.
Sasa unataka na sisi tuamini vitabu vya Ameir na Hashir wakati mtazamo wao kisiasa unajulikana ni Oman oriented mind set!!!!Wewe historia ya udhalimu zanzbar umeona inaanzia 1964 eeeeh!!!Lakini walowezi wa kiarabu na masultani wao hapo nyuma hutaki mabaya yao yasemwe kwa kisingizio ushahidi hakuna na kisingizio cha unasaba wa kindugu na kidini?????Nelson...
Ukweli haukataliki muhimu ni kuwa uwe kweli ni ukweli.
Lakini ni muhimu ujue kuwa kuna propaganda nyingi katika historia ya utumwa.
Unazungumza utumwa Zanzibar lakini umekuwa kimya kuhusu Transatlantic Slave Trade.
Yawezekana huna ujuzi wala maarifa ya historia hii.
Ninapokusoma jinsi unavyoandika na hata pale ninapokuongoza katika kanuni za uandishi unakuwa mkaidi na kurejea katika makosa yale yale basi najua kuwa hapa hakuna kitu.
Sultan kaondoka Zanzibar hana damu katika vidole vyake.
Jela za mateso na mauaji ziliingia Zanzibar baada ya mapinduzi.
Historia ya jela hizi Wazanzibari wote wangependa kusahau.
Wazanzibari wameukataa utawala ulioko madarakani toka 1964 kwenye sanduku la kura mara sita.
Nakupa yote haya kwa ushahidi na jambo la kusikitisha maraisi wote hao wameshindwa na mgombea yule yule mmoja.
Kilele cha fedheha hii ni pale baada ya kushindwa wa 2015.
Uchaguzi ule ukafutwa.
Kila uchaguzi damu ya Wazanzibari inamwagika.
Wewe unakuja na lugha "Wabantu hatusahau."
Wajue kwanza Wazanzibari ni nani.
Ndipo nikakuuliza nini tafsiri ya CCM kushindwa kila uchaguzi?
Wazanzibari wanayakataa mapinduzi?
Huenda hadi hapa tulipo hujanijua labda ungenijua ungechukua tahadhari lau kidogo.
Nimeshiriki katika uandishi wa historia ya mapinduzi nikiwa Mtafiti Msaidizi wa Dr. Harith Ghassany.
Dr. Ghassany haitaji kuelezwa.
Nimealikwa Zanzibar mara nne kufanya mihadhara wa wazi kuhusu historia ya Zanzibar: Zanzibar State University, Mwinyi Baraka Foundation, na mara mbili na Zanzibar Research and Public Policy (ZRPP) kufanya pitio kwa vitabu viwili kuhusu historia ya mapinduzi.
Nimezungumza kuhusu kitabu cha Hashir Seif Hashir: "Mimi Mapinduzi na Umma Party," na kitabu cha Khamis Abdulla Ameir, "Maisha Yangu."
Nelson,Kassim hanga anajulikana na mitazamo yake ilikua inajulikana ndani ya SMZ!!!!
Nelson...Sasa unataka na sisi tuamini vitabu vya Ameir na Hashir wakati mtazamo wao kisiasa unajulikana ni Oman oriented mind set!!!!Wewe historia ya udhalimu zanzbar umeona inaanzia 1964 eeeeh!!!Lakini walowezi wa kiarabu na masultani wao hapo nyuma hutaki mabaya yao yasemwe kwa kisingizio ushahidi hakuna na kisingizio cha unasaba wa kindugu na kidini?????
Nelson,
Huwa sikwepi swali.
Ubaguzi siku zote tunao katika jamii ila unapishana kwa viwango.
Mimi naweza nikakuuliza Tanzania Bara kuna ubaguzi?
Nini jibu lako?
Gavana,
Hili ni swali gumu sana kwao.
Kinachowashangaza ni hii subra yetu.
Wabantu mnajifanya kusahau swali hiliUkweli lazima usemwe mzee na mabaya ya wadhalimu lazima yasemwe hata vipite vizazi 100!!!!!!Wabantu hatusahau
Wapi aliandika Tanzania bara ni NchiKuna nchi inaitwa tanzania bara??
Jibu hili Swali mbona mumekuwa mabubuSubira ya kitu gani?mna ajenda gani??
Nelson...Aaah mzeee wangu umeanza kuleta ubishi kama ulivyokua unafanya pindi upo UDSM???
Kwa nini hatajwi?Today,
Kassim Hanga hatajwi katika mapinduzi ya Zanzibar.
Ila nafikilia endapo angekuwa anaitwa sheikh Mohammed Rafi bin jecha, asingetajwa?Sass unategemea CUF(HIZBU) wamtaje mzee okelo???
Ni washenzi, uvamizi ni kinachoendelea huko Ukraine 🇺🇦
Yale Mapinduzi yalitokea ndani na yalilenga kumkomboa mzanzibari wa kawaida
Hao watu hawana nia njema na amani yetu mkuu
Sidhani kama wana nafasi, maana Zanzibar sasa hivi tuna majority rule wangoje mpangilio wa amani wa kiulimwengu uparanganyike na Bara iiache zanzibar ndio wapate cha kufanya mkuu
Sasa hao utakuta ni Waislam wanaosimuliwa hadithi za uongo hasa zinanasibishwa na familia ya sultan na Uislam, ambao hawana taarifa za kutosha kuhusu tawala za Jamshid au walinufaika in one way or another
Au kwa makusudi wamekoshwa bongo zao