Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Hapa mzee saidi inaonyesha huijui historia ya dunia!!!!Wewe unajua historia ya visiwa hivyo wakazi wake wa kwanza ni watu wa nasaba gani?????Au unadhani historia imeanzia walipokuja waarabu pwani ya afrika mashariki???????Usiniangushe mzee saidi
Nelson...
Ikiwa sijui historia hii ndiyo nafasi yako ya kunifunza.
 
Nelson...
Ukweli haukataliki muhimu ni kuwa uwe kweli ni ukweli.

Lakini ni muhimu ujue kuwa kuna propaganda nyingi katika historia ya utumwa.

Unazungumza utumwa Zanzibar lakini umekuwa kimya kuhusu Transatlantic Slave Trade.

Yawezekana huna ujuzi wala maarifa ya historia hii.

Ninapokusoma jinsi unavyoandika na hata pale ninapokuongoza katika kanuni za uandishi unakuwa mkaidi na kurejea katika makosa yale yale basi najua kuwa hapa hakuna kitu.

Sultan kaondoka Zanzibar hana damu katika vidole vyake.

Jela za mateso na mauaji ziliingia Zanzibar baada ya mapinduzi.

Historia ya jela hizi Wazanzibari wote wangependa kusahau.

Wazanzibari wameukataa utawala ulioko madarakani toka 1964 kwenye sanduku la kura mara sita.

Nakupa yote haya kwa ushahidi na jambo la kusikitisha maraisi wote hao wameshindwa na mgombea yule yule mmoja.

Kilele cha fedheha hii ni pale baada ya kushindwa wa 2015.

Uchaguzi ule ukafutwa.

Kila uchaguzi damu ya Wazanzibari inamwagika.

Wewe unakuja na lugha "Wabantu hatusahau."

Wajue kwanza Wazanzibari ni nani.

Ndipo nikakuuliza nini tafsiri ya CCM kushindwa kila uchaguzi?

Wazanzibari wanayakataa mapinduzi?

Huenda hadi hapa tulipo hujanijua labda ungenijua ungechukua tahadhari lau kidogo.

Nimeshiriki katika uandishi wa historia ya mapinduzi nikiwa Mtafiti Msaidizi wa Dr. Harith Ghassany.

Dr. Ghassany haitaji kuelezwa.

Nimealikwa Zanzibar mara nne kufanya mihadhara wa wazi kuhusu historia ya Zanzibar: Zanzibar State University, Mwinyi Baraka Foundation, na mara mbili na Zanzibar Research and Public Policy (ZRPP) kufanya pitio kwa vitabu viwili kuhusu historia ya mapinduzi.

Nimezungumza kuhusu kitabu cha Hashir Seif Hashir: "Mimi Mapinduzi na Umma Party," na kitabu cha Khamis Abdulla Ameir, "Maisha Yangu."
Masultan hawana damu katika mikono yao????You cant be serious mzee wangu!!!!Afu kuhusu west Africa na antlantic slave trade tungezaliwa west africa tungejadili hilo!!!Sisi tupo east Africa!!!!
 
Nelson...
Ukweli haukataliki muhimu ni kuwa uwe kweli ni ukweli.

Lakini ni muhimu ujue kuwa kuna propaganda nyingi katika historia ya utumwa.

Unazungumza utumwa Zanzibar lakini umekuwa kimya kuhusu Transatlantic Slave Trade.

Yawezekana huna ujuzi wala maarifa ya historia hii.

Ninapokusoma jinsi unavyoandika na hata pale ninapokuongoza katika kanuni za uandishi unakuwa mkaidi na kurejea katika makosa yale yale basi najua kuwa hapa hakuna kitu.

Sultan kaondoka Zanzibar hana damu katika vidole vyake.

Jela za mateso na mauaji ziliingia Zanzibar baada ya mapinduzi.

Historia ya jela hizi Wazanzibari wote wangependa kusahau.

Wazanzibari wameukataa utawala ulioko madarakani toka 1964 kwenye sanduku la kura mara sita.

Nakupa yote haya kwa ushahidi na jambo la kusikitisha maraisi wote hao wameshindwa na mgombea yule yule mmoja.

Kilele cha fedheha hii ni pale baada ya kushindwa wa 2015.

Uchaguzi ule ukafutwa.

Kila uchaguzi damu ya Wazanzibari inamwagika.

Wewe unakuja na lugha "Wabantu hatusahau."

Wajue kwanza Wazanzibari ni nani.

Ndipo nikakuuliza nini tafsiri ya CCM kushindwa kila uchaguzi?

Wazanzibari wanayakataa mapinduzi?

Huenda hadi hapa tulipo hujanijua labda ungenijua ungechukua tahadhari lau kidogo.

Nimeshiriki katika uandishi wa historia ya mapinduzi nikiwa Mtafiti Msaidizi wa Dr. Harith Ghassany.

Dr. Ghassany haitaji kuelezwa.

Nimealikwa Zanzibar mara nne kufanya mihadhara wa wazi kuhusu historia ya Zanzibar: Zanzibar State University, Mwinyi Baraka Foundation, na mara mbili na Zanzibar Research and Public Policy (ZRPP) kufanya pitio kwa vitabu viwili kuhusu historia ya mapinduzi.

Nimezungumza kuhusu kitabu cha Hashir Seif Hashir: "Mimi Mapinduzi na Umma Party," na kitabu cha Khamis Abdulla Ameir, "Maisha Yangu."
Sasa unataka na sisi tuamini vitabu vya Ameir na Hashir wakati mtazamo wao kisiasa unajulikana ni Oman oriented mind set!!!!Wewe historia ya udhalimu zanzbar umeona inaanzia 1964 eeeeh!!!Lakini walowezi wa kiarabu na masultani wao hapo nyuma hutaki mabaya yao yasemwe kwa kisingizio ushahidi hakuna na kisingizio cha unasaba wa kindugu na kidini?????
 
Kassim hanga anajulikana na mitazamo yake ilikua inajulikana ndani ya SMZ!!!!
Nelson,
Tufahamishe mitazamo ya Hanga tungependa kuelimika.

NB: Nimeandika makala ya Hanga na ilisomwa na watu 10,000 katika blog yangu: mohamedsaidsalum.blogspot.com

Ingia hapo fanya search.
 
Sasa unataka na sisi tuamini vitabu vya Ameir na Hashir wakati mtazamo wao kisiasa unajulikana ni Oman oriented mind set!!!!Wewe historia ya udhalimu zanzbar umeona inaanzia 1964 eeeeh!!!Lakini walowezi wa kiarabu na masultani wao hapo nyuma hutaki mabaya yao yasemwe kwa kisingizio ushahidi hakuna na kisingizio cha unasaba wa kindugu na kidini?????
Nelson...
Sikulazimishi kuamini kitu chochote.

Huna elimu ya kusoma vitabu.

Umeandika sana hapa lakini unaandika mtindo unaitwa "barua" huna rejea yoyote.

Huenda hujui kama hapa uko katika ukumbi wa elimu na elimu yote duniani iko katika vitabu.

Na ni nani wanaandika vitabu?

Vitabu vinaandikwa na watu wenye maarifa.

Na maarifa yanapatikana vipi?

Maarifa yanapatikana kwa kusoma vitabu.

Hujamsoma, Hashil Seif wala Khamis Abdulla Ameir lakini uko hapa unajadili historia ya Zanzibar na Mohamed Said aliyetafiti historia ya Zanzibar na kuzungumza historia hiyo hadharani Zanzibar kwa kualikwa na wenyewe wasomi wa Kizanzibari.

PS: Acha !!! na ??? ukifanya hivyo katika unachoandika hii inakuonyesha wewe kuwa hujui sheria za uandishi.

Chuo chochote duniani mwaka wa kwanza wanasomesha namna ya kuandika.

Nadhani umenielewa.
 
Ukweli lazima usemwe mzee na mabaya ya wadhalimu lazima yasemwe hata vipite vizazi 100!!!!!!Wabantu hatusahau
Wabantu mnajifanya kusahau swali hili

Nelson,
Huwa sikwepi swali.

Ubaguzi siku zote tunao katika jamii ila unapishana kwa viwango.
Mimi naweza nikakuuliza Tanzania Bara kuna ubaguzi?

Nini jibu lako?
 
Kuna nchi inaitwa tanzania bara??
Wapi aliandika Tanzania bara ni Nchi

Jibu hili Swali

Nelson,
Huwa sikwepi swali.

Ubaguzi siku zote tunao katika jamii ila unapishana kwa viwango.
Mimi naweza nikakuuliza Tanzania Bara kuna ubaguzi?

Nini jibu lako?
 
Subira ya kitu gani?mna ajenda gani??
Jibu hili Swali mbona mumekuwa mabubu

Nelson,
Huwa sikwepi swali.

Ubaguzi siku zote tunao katika jamii ila unapishana kwa viwango.
Mimi naweza nikakuuliza Tanzania Bara kuna ubaguzi?

Nini jibu lako?
 
Aaah mzeee wangu umeanza kuleta ubishi kama ulivyokua unafanya pindi upo UDSM???
Nelson...
Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam sikuwa nafanya ubishi kwani si tabia yangu.

Chuo Kikuu nilikuwa nawashangaza walimu wangu kwa yale niliyokuwa nayajua katika historia ya Tanganyika.

Nakumbuka siku nilipomwambia mwalimu wangu kuwa Julius Nyerere hakuasisi TANU kama inavyoelzwa.

Kishindo chake kilikuwa kizito.
"Una hakika na unalosema?"

Nikamjibu mwalimu kuwa chama cha TANU kimetoka mbali sana toka 1929 babu zangu walipounda African Association.

Nikamweleza mwalimu hadi kufika kwa Nyerere Dar-es-Salaam na kukutana na Abdul Sykes.

Siku nyingine nikamshangaza mwalimu mwingine akisomesha historia ya vyama vya wafanyakazi.

Nikamwambia kuwa hicho kitabu anachotumia kina makosa.

Nikasema hakijamtaja babu yangu ambae maisha yake ni katika sehemu ya historia ya vyama vya wafanyakazi Tanganyika.

Darasa zima likaangua kicheko.
Walidhani nafanya maskhara.

Nikaeleza historia ya babu yangu Salum Abdallah akiwa muasisi wa TANU Tabora na muasisi wa Tanganyika Railways African Union (TRAU) na Kassanga Tumbo 1955.

Nikaeleza mgomo wa 1960 uliodumu siku 82.

Darasa zima lilikuwa kimya kama limemwagiwa maji baridi.

Siwezi kubishana kuhusu historia hizi kwani mimi ni sehemu ya historia hii.

Anaeleta ubishi ni yule ambae unaumia roho hataki kukubali kuwa historia yote hii ni ya wazalendo hao niliowataja na wao hawamo.

1675487204994.jpeg

Kulia ni Kassanga Tumbo na Pembeni yake ni Salum Abdallah
 
Ni washenzi, uvamizi ni kinachoendelea huko Ukraine 🇺🇦

Yale Mapinduzi yalitokea ndani na yalilenga kumkomboa mzanzibari wa kawaida
Hao watu hawana nia njema na amani yetu mkuu

Mapinduzi hayakutokea ndani yalimalizia tu ndani, Na hapo ndipo matatizo yote yanapoanzia.
 
Sidhani kama wana nafasi, maana Zanzibar sasa hivi tuna majority rule wangoje mpangilio wa amani wa kiulimwengu uparanganyike na Bara iiache zanzibar ndio wapate cha kufanya mkuu

Bila ya hata aibu unajisifia ukandamizaji na unyonyaji.
 
Sasa hao utakuta ni Waislam wanaosimuliwa hadithi za uongo hasa zinanasibishwa na familia ya sultan na Uislam, ambao hawana taarifa za kutosha kuhusu tawala za Jamshid au walinufaika in one way or another

Au kwa makusudi wamekoshwa bongo zao

kwahiyo hadithi za ukweli zinasimuliwa na Wakristo?
 
Back
Top Bottom