Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
πππππCapone...
Niwie radhi sikukujibu utafiti wa haki mahakamani.
Huu utafiti ulifanyika kimya kimya pembeni ya utafiti mwingine na kwa sababu za wazi haukuwekwa bayana.
Sio overload, ni Overlord soma komenti zangu kwa makini usijichanganye
Nimekwambia Waingereza walikuwa ndio overlords Zanzibar kama walivyokuwa kwa misri na sudan
Neno kama ni tamathali semi inayotumika kulinganisha vitu na kulinganisha Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili maana yake ni β hatua na athari ya kulinganisha, ambayo ni, ya kuona tofauti na kufanana kati ya vitu viwili, iwe watu, vitu, mahali au vitu.β
Overlord kwa kimombo maana yake ni βa person or institute of great power or authorityβ
Unaelewa hali ilivyokuwa Misri na Sudan? Kama huelewi usione aibu kusema nikupe elimu
Ila kwa Zanzibar mambo yalikuwa hivi
Mwaka 1890 walisaini mkataba wa Heligoland ambapo offficially Zanzibar ikawa protectorate ya Uingereza, unajua maana ya protectorate au nikuelezee? Kama hujui sema nikupe elimu Gavana
Na ili uelewe kuwa ktk utawala wa Zanzibar Uingereza ndio walikuwa ndio mabwana wakuu ile
Incident ya 25/08/1896 ilionesha wazi nani ndio kingmaker
Mwaka huo alikufa sultan mmoja anaitwa Hamad bin Thuwaini, mwanafamilia Khalid bin Barghash akataka kukalia kiti cha enzi lakini Uingereza ikasema hapana
Badala yake waingereza walisambaza kichapo kwa Serikali goigoi ya kisultan kwa vita fupi zaidi duniani ambapo ilichukua dakika 45 tu Barghash akaondolewa kwenye kasri na wakamuweka kibaraka waliomtaka Sultan Hamoud bin Mohammed Hiko kichapo wqtu wa historia wanakiita vita ya Anglo Zanzibar
Hata hiyo mwaka 1963 Uingereza aliacha uhuru wa mchongo chini ya sultan ila mashujaaa wetu mzee Karume na wengine walitupa uhuru kamili mwaka β64.
Kajifunze upya historia ya Zanzibar na utawala wa Uingereza ktk makoloni yake kwa kifupi soma sana indirect rule ktk makoloni tofauti duniani upanue maarifq yako
Hivi unaelewe serikali ya Uingereza ilivyofanya kazi?Nilitaka uje mwenyewe ueleze namna Mwingereza alivyokuwa ndiye mwenye nchi ya Zanzibar. Kumbe huyo sultani alikuwa hana mamlaka yoyote.
Sasa inakuwaje mnakuja kutuambia kuwa sultani na utawala wake alifanya kila baya kwa waafrika na alileta ubaguzi ???
Sijui kama unaelewa mzee wangu ila hilo si jibu
Kwenye falsafa hilo ni swali kama nililouliza
Kwakuwa huja jibu swali msingi mpaka sasa sina shaka hata kidogo kuwa aidha hujui historia ya Zanzibar au unafanya propaganda za kupotosha watu na unalipwa na maadui wa Zanzibar kutaka kuturudisha utumwani
Hivi ukiulizwa swali unatakiwa kufanyaje sio kujibu swaliNadhani umeelwa ila unakimbia kutufahamisha ili tujuwe sababu za kupinduliwa serikali ya Shamte
Ulisema kati ya sababu za kupinduliwa ni kutokuwepo usawa , ndio ukaulizwa kwani hapo Tanganyika na huku Zanzibar huo usawa upo ??
Protectorate ndio hii au vipi ??Hivi unaelewe serikali ya Uingereza ilivyofanya kazi?
Unaelewa maana ya protectorate?
Mbona kama huna elimu kabisa na hii mada
Kama huelewi sema nina muda nikufundishe ili usiwe mjinga tena
Hiyo ni story, sikutoa maana ya protectorateProtectorate ndio hii au vipi ??
Uliandika
Mwaka huo alikufa sultan mmoja anaitwa Hamad bin Thuwaini, mwanafamilia Khalid bin Barghash akataka kukalia kiti cha enzi lakini Uingereza ikasema hapana
Badala yake waingereza walisambaza kichapo kwa Serikali goigoi ya kisultan kwa vita fupi zaidi duniani ambapo ilichukua dakika 45 tu Barghash akaondolewa kwenye kasri na wakamuweka kibaraka waliomtaka Sultan Hamoud bin Mohammed Hiko kichapo wqtu wa historia wanakiita vita ya Anglo Zanzibar
Umeona nani kauliza kwanza?Kwani utapoteza kitu gani kujibu baadaye ukamwomba huyo muulizaji akujibu swali lako ??
Hiyo ni story, sikutoa maana ya protectorate
Ndiyo maana nakuuliza una elimu gani?
Maana unaonekana ni mjinga wa hii mada
Ngoja nikupe hints za mada hii
Ukitaka uchangie kisomi mada hii ni LAZIMA
UJUE HISTORIA YA ZANZIBAR NA ETHNICITY ZAKE
HISTORIA YA OMANI
HISTORIA YA UINGEREZA
NI LAZIMA UJUE UTAWALA WA UINGEREZA WA OMANI NA ZANZIBAR
Hivi ni lazima ujue vinginevyo unaonesha ujinga ulio nao tu kwa kushindwa kuelewa maana ya maneno ambayo ni common kama overlord na protectorate
Na nimekupa nafasi kama hujui useme ufundishwe hapa ujinga ukutoke
Umeona nani kauliza kwanza?
Nimemwambia mzee wetu Kuwa kama angetaka sana majibu ya swali lake kwanini asingeuliza kwanza yeye?
Aliogopa nini mpaka nilipouliza nae ndio akajifanya kuuliza
Yeye ajibu swali langu nami nitamjibu yake na si kwamba nayakimbia ila kwasababu nilianza mimi kuuliza
Umeelewa mkuu?
Nani anachukia mapinduzi? Mbona watu wapo delusional sanaKuna watu hapa afrika mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!!!Wana ajenda gani nyuma ya pazia?
Sasa mtu yuko tabora anajua niniWanadai hizbu ilishinda kihhalali uchaguzi wa zanzbar kabla ya mapinduzi!!!!!Wapo kkoo na tabora mjini kazi yao ni kuyaponda mapinduzi ya zanzbar
Ninakwambia tena hiyo ni strory kukuonesha kuwa Uingereza Ndiye alikuwa overlord, sawa mkuu?Wewe uliyesoma historia ya Zanzibar na kuelewa maana ya protectorate nakuuliza tena hiyo protectorate ndio ikifanya kazi namna hii ,
Uliandika
Mwaka huo alikufa sultan mmoja anaitwa Hamad bin Thuwaini, mwanafamilia Khalid bin Barghash akataka kukalia kiti cha enzi lakini Uingereza ikasema hapana
Badala yake waingereza walisambaza kichapo kwa Serikali goigoi ya kisultan kwa vita fupi zaidi duniani ambapo ilichukua dakika 45 tu Barghash akaondolewa kwenye kasri na wakamuweka kibaraka waliomtaka Sultan Hamoud bin Mohammed Hiko kichapo wqtu wa historia wanakiita vita ya Anglo Zanzibar
Ninakwambia tena hiyo ni strory kukuonesha kuwa Uingereza Ndiye alikuwa overlord, sawa mkuu?Wewe uliyesoma historia ya Zanzibar na kuelewa maana ya protectorate nakuuliza tena hiyo protectorate ndio ikifanya kazi namna hii ,
Uliandika
Mwaka huo alikufa sultan mmoja anaitwa Hamad bin Thuwaini, mwanafamilia Khalid bin Barghash akataka kukalia kiti cha enzi lakini Uingereza ikasema hapana
Badala yake waingereza walisambaza kichapo kwa Serikali goigoi ya kisultan kwa vita fupi zaidi duniani ambapo ilichukua dakika 45 tu Barghash akaondolewa kwenye kasri na wakamuweka kibaraka waliomtaka Sultan Hamoud bin Mohammed Hiko kichapo wqtu wa historia wanakiita vita ya Anglo Zanzibar
Kwani wewe ulisoma story au history za Zanzibar ??Ninakwambia tena hiyo ni strory kukuonesha kuwa uin Ndiye alikuwa overlord, sawa mkuu?
Kwa faida yako Protectorate
Ninakwambia tena hiyo ni strory kukuonesha kuwa Uingereza Ndiye alikuwa overlord, sawa mkuu?
Kwa faida yako Protectorate kwa kiswahili ni βnchi lindwaβ
Yani Zanzibar ilikuwa chini ya Uingereza kiulinzi
Yeyote ambae angepigana na Zanzibar maana yake ni katangaza vita na Uingereza yenyewe
Hapo umeelewa?
Hii factπππππ
Sasa utafiti umefanyika kizani unapata wapi credibility ya kuwa ni wa halali?
Vipi kama wamepika data mzee wangu?
Hili suala nyeti sana hatuwezi kukubali kuletewa taarifa za kupikwa na kughushiwa tunataka taarifa credible toka vyanzo vya kuaminika na si bla bla mzee wangu
Ndiyo ni suala la nani kauliza mwanzoSi swala la nani kauliza mwanzo , uliandika kuwa sultani alipinduliwa kwa sababu hakuna haki Zanzibar , yeye akakuuliza kama ilikuwa hakuna haki hivi sasa hiyo haki ipo ??
unaruka ruka kitu gani ?
Hebu niambie elimu yako kwanza nipate lugha rahisi ya kuwasiliana nawewe maana ni wazi kuna mambo yamekuzidi fikraKwani wewe ulisoma story au history za Zanzibar ??
Darasa sitolei humu mzee wangu!!!Nawasiliana na ubalozi wa jamuhuri ya kiislamu ya iran ili watupe nafasi ya darasa katika kituo chao cha utamaduni pale upanga!!!Pale patafaa sana mzee wangu na watu wengine watakaribishwaNdugu zangu,
Alfajir....
Nelson hajatokea kutoa darsa.
Ndiyo ni suala la nani kauliza mwanzo
Naona hujafatilia vizuri mjadala kijana
MZee wetu amedai kuwa Serikali ya sultan ilikua ya haki bila ubaguzi wowote, wote walipewa haki sawa sijui uliona hii koment kijana?
Mimi nikamchallenge athibitishe kuwa haki ilikuwepo, matabaka hayakuwepo, wote walimiliki ardhi na nyenzo za uzalishaji mali kwa usawa
Mzee wetu hajaweZa badala yake ameibua maswalinili kukimbia swali
Mimi naweka offer kuwa mara tu atakaponijibu swali langu kwa kuwa nimeulzia kwanza nami nitajibu ya kwake yote
Sawa?