Sio overload, ni Overlord soma komenti zangu kwa makini usijichanganye
Nimekwambia Waingereza walikuwa ndio overlords Zanzibar
kama walivyokuwa kwa misri na sudan
Neno
kama ni tamathali semi inayotumika
kulinganisha vitu na kulinganisha Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili maana yake ni โ
hatua na athari ya kulinganisha, ambayo ni, ya kuona tofauti na kufanana kati ya vitu viwili, iwe watu, vitu, mahali au vitu.โ
Overlord kwa kimombo maana yake ni โa person or institute of great power or authorityโ
Unaelewa hali ilivyokuwa Misri na Sudan? Kama huelewi usione aibu kusema nikupe elimu
Ila kwa Zanzibar mambo yalikuwa hivi
Mwaka 1890 walisaini mkataba wa Heligoland ambapo offficially Zanzibar ikawa protectorate ya Uingereza, unajua maana ya protectorate au nikuelezee? Kama hujui sema nikupe elimu
Gavana
Na ili uelewe kuwa ktk utawala wa Zanzibar Uingereza ndio walikuwa ndio mabwana wakuu ile
Incident ya 25/08/1896 ilionesha wazi nani ndio kingmaker
Mwaka huo alikufa sultan mmoja anaitwa Hamad bin Thuwaini, mwanafamilia Khalid bin Barghash akataka kukalia kiti cha enzi lakini Uingereza ikasema hapana
Badala yake waingereza walisambaza kichapo kwa Serikali goigoi ya kisultan kwa vita fupi zaidi duniani ambapo ilichukua dakika 45 tu Barghash akaondolewa kwenye kasri na wakamuweka kibaraka waliomtaka Sultan Hamoud bin Mohammed Hiko kichapo wqtu wa historia wanakiita vita ya Anglo Zanzibar
Hata hiyo mwaka 1963 Uingereza aliacha uhuru wa mchongo chini ya sultan ila mashujaaa wetu mzee Karume na wengine walitupa uhuru kamili mwaka โ64.
Kajifunze upya historia ya Zanzibar na utawala wa Uingereza ktk makoloni yake kwa kifupi soma sana indirect rule ktk makoloni tofauti duniani upanue maarifq yako