Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Ndiyo niliuliza mambo specific kuhusu umiliki ardhi, umiliki wa nyenzo za uzalishaji mali, umiliki wa watumwa n.k

Hivi unafuatilia
Mjadala wewe?

ndio mimi nakuuliza hizo haki hivi sasa zipo , tanganyika na zanzibar??
 
Rejea post #279 mkuu

Nilifafanua specifically nini nataka mnijibu

Jitahidi usome na uelewe komenti basi ili usikose vyote mkuu
ndio mimi nakuuliza hizo haki hivi sasa zipo , tanganyika na zanzibar??
 
Darasa langu ni la uso kwa uso!!!Sio wanafunzi wangu wote wana access za social network,s mzee wangu!!!!Kuna sehemu naandaa
Kweli wengine huzaliwa si rizki😛

Darasa sio hapa kuna sehemu inaandaliwa na ninaalika pia wanazuoni wa kidini na wazee wa ASP na TANU na ACT Wazalendo na CUF!!!!Usiwe na haraka nimekwambia uwe radhi kufundishika usijali!!😛
 
ndio mimi nakuuliza hizo haki hivi sasa zipo , tanganyika na zanzibar??
Zipo mkuu ni wazimu usiosameheka kulinganisha hali ilivyo sasa na ilivyokuwa chini ya tawala dhalimu ya kisultan

Kielimu- baada ya mapinduzi matukufu shule zilifunguliwa na wanafunzi wengi wa kiafrika waliweza soma ambapo kabla ni 12% pekee ya wanafunzi wote walikuwa ni wa kiafrika walikuwepo shuleni

Huduma za afya - zikawa bure, hata walalhoi wa kibantu waliweza enda hospital kuambulia walau panadol

Serikali- nafasi nyingi sana zilizokaliwa na washenzi wa kiarabu walipewa waafrika

Ardhi kama nyenzo ya uzalishaji mali- iligawanywa toka kwa waarabu kwenda kwa waafrika hapo kabla ardhi kqribu yote ilikuwa ya waarabu huku wenyeji wakibaki kama vijakazi ktk nchi yao

List ni ndefu ndo maana nakwambia uliza kitu specific nakupa majibu

Nami nikuulize swali?
 
Zipo mkuu

Hizo data ulizitoa wapi ??
 
Dah Gavana wewe ni mjinga sana.

Elimu na data si lazima anaezitoa aww mzanzibar

Ila ni lazima njia iliyotumika kuzikusanya iwe credible

Hivi una elimu gani?

Hii ni komenti yangu ya mwisho kwako maana ni wazi hujui unachokiongelea

Ndio mimi ni mjinga sana ndio nikataka nielimishwe na nyinyi mnaosoma Stories na History ya Zanzibar

Mimi sijakuambia data ni lazima azitoe Mzanzibari nilikuuliza zile data ulizitoa wapi unaniambia nisome kitabu cha huyo mzungu

Nikakuuliza jee huyo ni mzanzibari ?? umekuja na mtungo wa malalamiko ?+

Nakuuliza tena huyo aliyeandika hicho kitabu ni mzanzibari ?? na hicho kitabu ni cha story au history ?+
 
B5A3A698-E3C3-4236-8683-B26C5AC33916.jpeg
 
Dah Gavana wewe ni mjinga sana.

Elimu na data si lazima anaezitoa aww mzanzibar

Ila ni lazima njia iliyotumika kuzikusanya iwe credible

Hivi una elimu gani?

Hii ni komenti yangu ya mwisho kwako maana ni wazi hujui unachokiongelea

Aliyebaguliwa ni mzanzibari anayeandika malalamiko ni mkoloni Muingereza , kama vile sisi hatukusoma wala kuona yaliyokuwepo kabla 1964 wala hatuna watoto waliosoma baada 1964 na hivi sasa 😛😛
 
😂😂😂😂😂

Sasa utafiti umefanyika kizani unapata wapi credibility ya kuwa ni wa halali?
Vipi kama wamepika data mzee wangu?

Hili suala nyeti sana hatuwezi kukubali kuletewa taarifa za kupikwa na kughushiwa tunataka taarifa credible toka vyanzo vya kuaminika na si bla bla mzee wangu
Count...
Hakuna unyeti wowote wala usitaabike katika hayo niliyokueleza.

Chukulia kuwa si kweli ungeamini kama ungeletewa ushahidi wa kimahakama.

Mimi ninaposomesha historia ya mapinduzi kuna mengi naulizwa na wanafunzi wangu mengine yana ithibati ya vyanzo mengine naeleza kama nilivyoelezwa.

Muhimu huwa "credibility" yangu.
Je Mohamed Said ni mtaalamu wa somo hili kuweza kuaminika?

Hanga kauliwa nakupa mfano.

Waliofanya kitendo hiki wote walikuwa kimya hakuna aliyeona mauaji yake ila wauaji.

Lakini kwa kuwa Hanga hakuwepo popote akili ya kawaida ikaelekeza kuwa Hanga ameuliwa.

Tungedai ushahidi wa kimahakama taarifa za kuuawa Hanga chembelecho zingekuwa ni za "kupikwa" na "kughishiwa."

Yapo mengi niyajuayo kutokana na uhusiano wangu na walioshiriki katika mapinduzi.

Ukija kwangu na lugha za kibri ukiamini kuwa unajua ili unishinde katika mjadala utatoka kama ulivyokuja.

Lakini ukija kwangu kwa adabu na heshima kuwa nakwenda kwa mtu mjuzi nichote elimu nakuhakikishia In Shaa Allah utajifunza mengi.

Angalia nimeandika makala ngapi, nimeandika vitabu vingapi, nimehadhiri vyuo vikuu vingapi.

Ingia: mohamedsaidsalum.blogspot.com

Ingia Google na fanya search hapa JF.

Hizi ni darsa tosha kwako.
 
Darasa sio hapa kuna sehemu inaandaliwa na ninaalika pia wanazuoni wa kidini na wazee wa ASP na TANU na ACT Wazalendo na CUF!!!!Usiwe na haraka nimekwambia uwe radhi kufundishika usijali!!
Nelson ...
Labda nikutahadharishe.

Wewe huwezi kuwa na wazee wa ASP na TANU ikawa mimi hawanijui.
TANU imeundwa na wazee wangu.

Waasisi wa African Association 1929: Cecil Matola (President), Kleist Sykes (Secretary), Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Ibrahim Hamisi, Raikes Kusi na Rawson Watts na wote hawa ni rika la babu yangu Salum Abdallah katika Dar es Salaam ya 1920s.

Waasisi wa TANU wengine wameniona mimi nazaliwa hapa Dar es Salaam.
Nimeishi na wao hadi wanakufa.

Mimi nimeandika kitabu cha historia ya uhuru wa Tanganyika, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press, London 1998.

Hawa ndiyo walimu wangu walionisomesha historia ya uhuru na historia ya Julius Nyerere.

Sisi wazee wetu wote ndani ya TANU walikuwa ASP.

Abdul Sykes na Dossa Aziz ndiyo waliompeleka Nyerere Zanzibar kumjulisha kwa Karume.

Abbas Sykes ndiye aliyekuwa mpelekaji fedha kwa Karume hadi wakati wa mapinduzi.

Haya ni machache tu ningeweza kukueleza mengi.

Jaha Ubwa na Abdulaziz Twala ASP wanamapinduzi walikuwa marafiki wakubwa wa baba yangu wakija hadi kwetu.

Hawa waliuliwa baada ya mapinduzi.
Wewe utaniletea mimi wazee gani wa TANU na ASP wanifundishe mimi historia.

Unaizungumza CUF na ACT Wazalendo.
Mimi siko hapa kufanya utani.

Angalia picha hapo chini.
Picha inazungumza maneno 1000.

1675588323779.jpeg

Kushoto Juma Duni Haji, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba na Mohamed Said
Kampeni za Uchaguzi Mkuu 1995 nyumbani kwa Mama Ummy bint Anzuwani, Ngamiani Tanga.

1675588935258.jpeg

Kulia ni Dome Okochoi Budohi (TANU Card No. 6) na Mohamed Said Nairobi 1972.
1675589092556.jpeg

Kushoto Ally Kleist Sykes (TANU Card No. 2) na Mohamed Said Muthaiga Club, Nairobi 1989
(TANU Card No. 3 Abdulwahid Kleist Sykes TANU Card No. 1 Territorial President Julius Kambarage Nyerere).​
 
Back
Top Bottom