Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Nelson ...
Labda nikutahadharishe.

Wewe huwezi kuwa na wazee wa ASP na TANU ikawa mimi hawanijui.
TANU imeundwa na wazee wangu.

Waasisi wa African Association 1929: Cecil Matola (President), Kleist Sykes (Secretary), Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Ibrahim Hamisi, Raikes Kusi na Rawson Watts na wote hawa ni rika la babu yangu Salum Abdallah katika Dar es Salaam ya 1920s.

Waasisi wa TANU wengine wameniona mimi nazaliwa hapa Dar es Salaam.
Nimeishi na wao hadi wanakufa.

Mimi nimeandika kitabu cha historia ya uhuru wa Tanganyika, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press, London 1998.

Hawa ndiyo walimu wangu walionisomesha historia ya uhuru na historia ya Julius Nyerere.

Sisi wazee wetu wote ndani ya TANU walikuwa ASP.

Abdul Sykes na Dossa Aziz ndiyo waliompeleka Nyerere Zanzibar kumjulisha kwa Karume.

Abbas Sykes ndiye aliyekuwa mpelekaji fedha kwa Karume hadi wakati wa mapinduzi.

Haya ni machache tu ningeweza kukueleza mengi.

Jaha Ubwa na Abdulaziz Twala ASP wanamapinduzi walikuwa marafiki wakubwa wa baba yangu wakija hadi kwetu.

Hawa waliuliwa baada ya mapinduzi.
Wewe utaniletea mimi wazee gani wa TANU na ASP wanifundishe mimi historia.

Unaizungumza CUF na ACT Wazalendo.
Mimi siko hapa kufanya utani.

Angalia picha hapo chini.
Picha inazungumza maneno 1000.

Kushoto Juma Duni Haji, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba na Mohamed Said
Kampeni za Uchaguzi Mkuu 1995 nyumbani kwa Mama Ummy bint Anzuwani, Ngamiani Tanga.

View attachment 2507092
Kulia ni Dome Okochoi Budohi (TANU Card No. 6) na Mohamed Said Nairobi 1972.
View attachment 2507094
Kushoto Ally Kleist Sykes (TANU Card No. 2) na Mohamed Said Muthaiga Club, Nairobi 1989
(TANU Card No. 3 Abdulwahid Kleist Sykes TANU Card No. 1 Territorial President Julius Kambarage Nyerere).​
Kwani mzee wangu wazee wa TANU na ASP wewe unajua wapo wangapi Tanzania nzima mzee wangu???Wewe ukija utatambulishwa na wanakufahamu utawaona na usiowafahamu utawaona!!!Nimekuomba uwe na haiba ya mwanafunzi mwema ambayo ni subira
 
Kwani mzee wangu wazee wa TANU na ASP wewe unajua wapo wangapi Tanzania nzima mzee!!!Wewe ukija utatambulishwa na wanakufahamu utawaona na usiowafahamu utawaona!!!Nimekuomba uwe na haiba ya mwanafunzi mwema ambayo ni subira
😝😝😝😝😝😆😆
 
Nelson ...
Labda nikutahadharishe.

Wewe huwezi kuwa na wazee wa ASP na TANU ikawa mimi hawanijui.
TANU imeundwa na wazee wangu.

Waasisi wa African Association 1929: Cecil Matola (President), Kleist Sykes (Secretary), Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Ibrahim Hamisi, Raikes Kusi na Rawson Watts na wote hawa ni rika la babu yangu Salum Abdallah katika Dar es Salaam ya 1920s.

Waasisi wa TANU wengine wameniona mimi nazaliwa hapa Dar es Salaam.
Nimeishi na wao hadi wanakufa.

Mimi nimeandika kitabu cha historia ya uhuru wa Tanganyika, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press, London 1998.

Hawa ndiyo walimu wangu walionisomesha historia ya uhuru na historia ya Julius Nyerere.

Sisi wazee wetu wote ndani ya TANU walikuwa ASP.

Abdul Sykes na Dossa Aziz ndiyo waliompeleka Nyerere Zanzibar kumjulisha kwa Karume.

Abbas Sykes ndiye aliyekuwa mpelekaji fedha kwa Karume hadi wakati wa mapinduzi.

Haya ni machache tu ningeweza kukueleza mengi.

Jaha Ubwa na Abdulaziz Twala ASP wanamapinduzi walikuwa marafiki wakubwa wa baba yangu wakija hadi kwetu.

Hawa waliuliwa baada ya mapinduzi.
Wewe utaniletea mimi wazee gani wa TANU na ASP wanifundishe mimi historia.

Unaizungumza CUF na ACT Wazalendo.
Mimi siko hapa kufanya utani.

Angalia picha hapo chini.
Picha inazungumza maneno 1000.

Kushoto Juma Duni Haji, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba na Mohamed Said
Kampeni za Uchaguzi Mkuu 1995 nyumbani kwa Mama Ummy bint Anzuwani, Ngamiani Tanga.

View attachment 2507092
Kulia ni Dome Okochoi Budohi (TANU Card No. 6) na Mohamed Said Nairobi 1972.
View attachment 2507094
Kushoto Ally Kleist Sykes (TANU Card No. 2) na Mohamed Said Muthaiga Club, Nairobi 1989
(TANU Card No. 3 Abdulwahid Kleist Sykes TANU Card No. 1 Territorial President Julius Kambarage Nyerere).​
Waalikwa wengine wa darasa letu watatoka vyama vya ACT wazalendo na CUF mzee wangu!!!Darasa letu ni kwa minajili ya kujifunza sio mizaha ya kisiasa mzee wangu!!!Natumaini umenielewa
 
Ukimpa swali anakwepa sasa huo sio maana ya mdahalo wa kisomi!!!Mm nilimpuuzia kaka
Darasa sio hapa kuna sehemu inaandaliwa na ninaalika pia wanazuoni wa kidini na wazee wa ASP na TANU na ACT Wazalendo na CUF!!!!Usiwe na haraka nimekwambia uwe radhi kufundishika usijali!!

😝😝😝😝😝😝😝
 
Count...
Hakuna unyeti wowote wala usitaabike katika hayo niliyokueleza.

Chukulia kuwa si kweli ungeamini kama ungeletewa ushahidi wa kimahakama.

Mimi ninaposomesha historia ya mapinduzi kuna mengi naulizwa na wanafunzi wangu mengine yana ithibati ya vyanzo mengine naeleza kama nilivyoelezwa.

Muhimu huwa "credibility" yangu.
Je Mohamed Said ni mtaalamu wa somo hili kuweza kuaminika?

Hanga kauliwa nakupa mfano.

Waliofanya kitendo hiki wote walikuwa kimya hakuna aliyeona mauaji yake ila wauaji.

Lakini kwa kuwa Hanga hakuwepo popote akili ya kawaida ikaelekeza kuwa Hanga ameuliwa.

Tungedai ushahidi wa kimahakama taarifa za kuuawa Hanga chembelecho zingekuwa ni za "kupikwa" na "kughishiwa."

Yapo mengi niyajuayo kutokana na uhusiano wangu na walioshiriki katika mapinduzi.

Ukija kwangu na lugha za kibri ukiamini kuwa unajua ili unishinde katika mjadala utatoka kama ulivyokuja.

Lakini ukija kwangu kwa adabu na heshima kuwa nakwenda kwa mtu mjuzi nichote elimu nakuhakikishia In Shaa Allah utajifunza mengi.

Angalia nimeandika makala ngapi, nimeandika vitabu vingapi, nimehadhiri vyuo vikuu vingapi.

Ingia: mohamedsaidsalum.blogspot.com

Ingia Google na fanya search hapa JF.

Hizi ni darsa tosha kwako.
Hanga aliuliwa na nani mzee wangu ebu tujuze????
 
Ndio mimi ni mjinga sana ndio nikataka nielimishwe na nyinyi mnaosoma Stories na History ya Zanzibar

Mimi sijakuambia data ni lazima azitoe Mzanzibari nilikuuliza zile data ulizitoa wapi unaniambia nisome kitabu cha huyo mzungu

Nikakuuliza jee huyo ni mzanzibari ?? umekuja na mtungo wa malalamiko ?+

Nakuuliza tena huyo aliyeandika hicho kitabu ni mzanzibari ?? na hicho kitabu ni cha story au history ?+
Gavana,
Nimefanya uchambuzi kidogo kuhusu waandishi wa historia ya Zanzibar.

Hayo hao chini ni maneno niliyoandika katika uchambuzi wa kitabu cha Khamis Abdulla Ameir, ''Maisha Yangu.'':

''Waandishi wa historia ya mapinduzi ya Zanzibar wamegawanyika katika makundi manne.

Kundi la kwanza ni kundi la waandishi wasomi kutoka nje, Ulaya na Marekani. Kwa muda mrefu uandishi wa historia ya mapinduzi ya Zanzibar ulitawaliwa na waandishi wageni wakiandika historia ambayo hawakupata kuishi ndani yake wakiandika kwa kutegemea utafiti.

Waandishi hawa wameandika historia za watu ambao hawakupata kuwaona wala kuwajua si kwa mbali wala kwa karibu.

Kipindi hiki kilianza mara tu baada ya mapinduzi.

Kundi la pili ni la waandishi Wazanzibari wenyewe ambao nimewapa jina, ‘’Waandishi Mapinduzi Daima’’ na nimewaongezea jina lingine la Kiingereza nawaita ‘’Waandishi ‘’Pick and Choose,’’ yaani kalamu zao zinachagua kuandika yale yanayowapendeza wao na viongozi wa serikali inayoongozwa na Baraza la Mapinduzi.

Waandishi hawa wanaweza kuandika historia ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sentensi mbili ikawa kamaliza kila kitu.

Bahati mbaya sana historia ya waandishi hawa ndiyo kwa miaka mingi imekuwa historia rasmi ya mapinduzi ya Zanzibar.

Baada ya waandishi hawa na baada ya kipindi kirefu kupita likaja kundi la tatu kundi la ‘’Waandishi Mavamazi,’’ ikiwa na maana kuwa wao msimamo wao ni kuwa hapakuwa na mapinduzi bali mavamizi ya Tanganyika kuivamia Zanzibar kwa silaha wakitumia mamluki wa Kimakonde kutoka Kipumbwi, shamba la mkonge la Sakura Tanga kuongoza na kuongeza nguvu ya wanamapinduzi wa Zanzibar kupindua serikali halali.

Waandishi hawa wameandika historia ya mapinduzi wakiwa wamehama Zanzibar miaka mingi iliyopita baada ya mapinduzi na ikiwa unapenda, ‘’mavamizi.’’

Waandishi hawa wamejitahidi sana kuondoa pazia la usiri uliokuwa umegubika mengi yaliyopitika katika mapinduzi.

Hawa wameeleza jela za mateso na mauaji kuwa sehemu ya uendeshaji na utawala wa serikali ya Baraza la Mapinduzi.

Hawa ‘’Waandishi Mavamizi,’’ wamekwenda hatua moja mbele kwa kuongeza simulizi juu ya uandishi wa vitabu.

Simulizi hizi zimeweka wazi mengi katika mapinduzi kupita vitabu vyote vilivyoandikwa kabla.

Kwa kuhitimisha nukta hii ningependa kuchomekeza hapa kuwa Khamis Abdulla Ameir juu ya kuwa na mengi katika historia ya mapinduzi katika kitabu chake anasema hana taarifa ya Wamakonde walioingia Zanzibar kusaidia kupindua serikali ya ZNP/ZPPP.

Mwisho kwa sasa ni kundi la nne la waandishi niliowapa jina, ‘’Waandishi Wasahihishaji,’’ ambao hawa wamejaribu kuweka wazi kila kitu katika historia ya mapinduzi ya Zanzibar ili yaeleweke yote yaliyopitika ambayo waandishi waliotangulia hawakuyaandika ama kwa kutoyajua au kwa kuyaficha.

Mlango wa staili ya uandishi huu ulifunguliwa mwaka wa 2010 na Dr. Harith Ghassany kupitia kitabu chake, ‘’Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.’’

Baada ya kitabu cha Dr. Harith Ghassany pakapiga ukimya kwa ‘’Waandishi Wasahihishaji,’’ hadi alipotokea Hashil Seif na kitabu chake, ‘’Mimi Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar.’’

Baada ya kitabu hiki ndiyo ameingia Khamis Abdulla Ameir na kitabu hiki ‘’Maisha Yangu.’’

Nimebahatika kujuana na baadhi ya waandishi wa historia ya Zanzibar na nimefanyanao mazungumzo kuhusu mapinduzi.

Nimejifunza mengi kutoka kwao.

Hapa ndipo ilipo tofauti kubwa sana kati ya baadhi yetu na hawa waandishi wengine hapa ambao wao hawakujaaliwa kuwa na uhusiano wowote na historia hii.

Hii ndiyo sababu unaona hata lugha zao wanapozungumza kuhusu mapinduzi zimetoka staha kiasi wakati mwingine wanatukana khasa.

Hapo chini ni baadhi ya vitabu kuhusu historia ya Zanzibar ambavyo viko katika Maktaba yangu:

1675593965111.png

1675594335887.png

Michael Lofchie
University of Iowa 2011
(Zanzibar: Background to Revolution (1965)
1675594522206.jpeg

Kushoto Sheikh Ali Muhsin
Muscat
(Conflicts and Harmony in Zanzibar (1997)
275854532_1136813083732735_7934064388417798716_n.jpg

Khamis Abdulla Ameir
Zanzibar 2021
(Maisha Yangu (2020)
1675594883438.jpeg

Dr. Harith Ghassany
Muscat 2015
(Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru 2010)​
 
Vipi historia ya zanzbar kuanzia mwaka 1200,s mpaka mwaka 1964 unaijua mzee wangu?????Au wewe umeanzia mwaka 1964???

Hapo chini ni baadhi ya vitabu ambavyo viko katika Maktaba yangu:

View attachment 2507203
View attachment 2507210
Michael Lofchie
University of Iowa 2011
(Zanzibar: Background to Revolution (1965)
View attachment 2507214
Kushoto Sheikh Ali Muhsin
Muscat
Conflicts and Harmony in Zanzibar (1997)
275854532_1136813083732735_7934064388417798716_n.jpg

Khamis Abdulla Ameir
Zanzibar 2021
(Maisha Yangu (2020)
View attachment 2507220
Dr. Harith Ghassany
Muscat 2015
(Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru 2010)​
 
Hanga aliuliwa na nani mzee wangu ebu tujuze????
Nelson...
Kwani mzee wangu wazee wa TANU na ASP wewe unajua wapo wangapi Tanzania nzima mzee wangu???Wewe ukija utatambulishwa na wanakufahamu utawaona na usiowafahamu utawaona!!!Nimekuomba uwe na haiba ya mwanafunzi mwema ambayo ni subira
Nelson...
BAADA YA KIFO CHA BILAL WAIKELA WANACHAMA WA TANU ILE YA 1954 WAMEBAKIA WANGAPI?
Mimi nina hesabu yangu ya wanachama wa TANU ile ya New Street mwaka wa 1954.
Hadi leo sasa ni miaka 68 imetimia toka kuundwa kwa TANU.

Fikra hii ya kutaka kuwajua wanachama wa TANU wa 1954 imenijia baada ya kila mtafiti anaekuja kunihoji na wakati wengine watu wa vyombo vya habari huwa wananipa maswali ambayo huwaambia kuwa watapata historia ya uhakika sana endapo watapata kuzungumza na Mama Maria Nyerere.

Huwaeleza hawa hivyo kwa sababu wao wanavutiwa sana na zile ziku za mwanzo a kuunda TANU wakati Julius Nyerere kafika Dar es Salaam na kakutana na Abdul Sykes.

Mama Maria na mumewe wote walikuwa karibu mno na Abdul Sykes mkewe Bi. Mwamvua Mrisho kwa hiyo wana mengi katika siku zile za mwanzo za kuunda TANU.

Historia hii ya Nyerere na Abdul Sykes imewavutia watu wengi sana.

Bahati mbaya mwaka wa 1952 ndiyo mwaka niliozaliwa mimi na huwaeleza wanaonihoji ukweli huu na huwaambia mwaka huo ndiyo mwaka baba yangu anamtia Nyerere machoni kamkuta nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu.

Huwaambia ikiwa nyie mnataka historia hii kwa ukamilifu kabisa kwa nini hamuombi kuonana na Mama Maria?

Siku hizi Abbas Sykes alikuwa hai lakini mengi aliyoona Abbas Sykes nilikuwa nayajua kwa yeye na nimeyaeleza yanafahamika.

Ndipo siku moja nikajiuliza kwani hawa wanachama wa TANU ya 1954 wamebakia wangapi?

Nikawa najisemeza mwenyewe na kuanza kuwahesabu wale ambao mimi nawajua.

Mwalimu Nyerere alikuwa keshafariki mwaka wa 1999 na hapa ikanijia siku nilipokwenda kumpa pole Balozi Abbas Sykes nyumbani kwale alipotoka London kuchukua mwili wa Mwalimu Nyerere baada ya kifo chake.

Abbas Sykes alimjua Nyerere toka siku ya kwanza alipofika nyumbani kwao na wamekuwa pamoja uhai wao wote.

Katika ndege ile ATC iliyobeba mwili wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere walikuwa wanachama watatu wa TANU ile ya 1954; Julius Nyerere ambae alikuwa keshaaga dunia, Mama Maria na Abbas Sykes.

Abbas Sykes ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa ATC.

Nikawa naendelea kujisemeza lazima watakuwapo wana TANU wa 1954 walio hai ambao mimi siwajui wako Dar es Salaam na kwengineko mikoani.
Lakini hawa unawapataje?

Historia a TANU yote haipo na CCM warithi wa TANU haielekei kama wanaithamini sana historia ya TANU na waasisi wake.

Kingunge Ngombale Mwiru alikuwa hai na kwa kauli yake mwenyewe anasema yeye aliingizwa TANU na Ally Sykes miaka hiyo ya mwanzo.

Akili inagota simpati mwana TANU mwingine katika wale niliopata kuwajua.
Anakuja Bilal Rehani Waikela kichwani mwangu kutoka Tabora.

Najiambia na kujiuliza kuwa hawa wanachama wa TANU 1954 sasa wanahesabika kiganjani?

Ina maana wote wameshakufa?

Wamebakia Mama Maria Nyerere, Abbas Sykes na Rehani Bilal Waikela?
Usilojua usiku wa kiza.

Kumbe hapa jirani ya nyumbani kwangu Magomeni Mapipa kuna mwana TANU 1954 jina lake Athmani Matenga.

Nilipokwenda kumuona akaniambia kuwa yeye kadi yake ya TANU kauziwa na Ali Msham kwenye tawi alilofungua nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu.

Na haya ndiyo katika maajabu ya Allah si tu kuwa Othman Matenga yu hai hadi leo hii bali yupo pia kwenye picha ya tawi la TANU la Ali Msham ya mwaka wa 1955.

Mzee Athmani Matenga akanieleza kuwa alikwenda kumpokea Nyerere alipotoka UNO safari ya kwanza 1955 na kushiriki katika yale maandamano makubwa akiwa anaendesha pikipiki yake.

Nikawa sasa nina wanachama wa TANU 1954 wanne walio hai - Mama Maria Nyerere, Abbas Sykes, Bilal Rehani Waikela na Athmani Matenga.

Kisha siku moja ghafla nikatembelewa na Rajabu Matimbwa muasisi wa kwaya ya kwanza ya TANU New Street mwaka wa 1954.

Leo hivi ninavyoandika wana TANU 1954 baada ya kifo cha Bilal Rehani Waikela wamebakia watatu - Mama Maria Nyerere, Athmani Matenga na Rajabu Matimbwa.

Allah katuwekea wazalendo hawa ili waje kuwa mashahidi wa historia ya kweli ya chama cha TANU na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.

Picha ya kwanza ni Abbas Sykes, Bilal Rehani Waikela, kulia Bi. Titi Mohamed, Maria Nyerere, Julius Nyerere, Rashid Kawawa na nyuma ya Nyerere ni Tewa Said Tewa, Othman Matenga kama alivyo hivi sasa na picha ya mwisho wa pili kushoto aiyevaa tarbush ni Othman Matenga katika ujana wake yuko katika sherehe ya TANU Tawi la Ali Msham, Magomeni Mapipa.

292848779_1213444942736215_6434349946508261153_n.jpg

292734996_1213448336069209_3396669029162638263_n.jpg

292518295_1213449902735719_5216065328508121377_n.jpg
292772882_1213450582735651_3027302249625651102_n.jpg
 
Basi tufanye utaratibu na kwenye darasa bibi yetu mama maria audhurie kidogo!!!!Ngoja nione tunafanyaje kuhusu yeye!!!!Lakini kuna vingi tuu unapaswa kujua kuhusu TANU ya enzi hizo!!!!!Bas ngoja niendeele na utaratibu wa kuandaa darasa letu na kuomba vibali na itafaki za kiserikali na sheria za nchi tuzingatie!!!Kua na subira mzee wangu
 
Nelson...

Lakini kuna historia ya upande wa pili pia!!!Bahati mbaya msimulizi wetu mzee Aman Abeid Karume hayupo hai!!!!!Simulizi waga ni za pande zaidi ya moja ili kupata ukweli mzee wangu
 
Yote hayo kwa kutafuta nini?

Mimi ndiye niliywasomesha watu historia ya TANU na historia ya Mwalimu Nyerere.

Maktaba yangu ni kati ya maktaba tatu zilizosheheni historia ya Nyerere: Maktaba ya Dr. Salim Ahmed Salim, Brg. General Hashim Mbita na ya Mohamed Said.

Soma ''Nyerere Biography'' (2020) utayakuta haya yameandikwa na waaandishi: Prof. Shivji, Prof. Saida Yahya Othman na Dr. Ng'wazi Kamata.

1675598096259.jpeg

1675598145300.jpeg

281588672_1185648655515844_2842660970470023133_n.jpg

Jopo la Waandishi wa ''Nyerere Biography'' walinizawadia kitabu kwa mchango wangu katika utafiti na uandishi wa kitabu hicho.​
 
Lakini kuna historia ya upande wa pili pia!!!Bahati mbaya msimulizi wetu mzee Aman Abeid Karume hayupo hai!!!!!Simulizi waga ni za pande zaidi ya moja ili kupata ukweli mzee wangu
Nelson...
Nimetafiti historia ya Zanzibar nikiwa Mtafiti Msaidizi wa Dr. Harith Ghassany kwa miaka 7.

Mbali ya nyaraka nina sauti na picha pia.

Maktaba yangu haina mfanowe na si kama haya nimesema mimi.

Mbona unahangaika sana?
Huamini?

Mimi nimezungumza Northwestern University, Chicago.

Hawa ndiyo wanaongoza duniani katika African History.

1675598791000.jpeg
 
Back
Top Bottom