Tetesi: Wanaodhani kuwa ni Yanga wakamatwa na ushirikina huko KMC Complex

Hii timu imeshindwa michuano ya kimataifa na sasa wanataka kuharibu ligi ya nyumbani kwa ushirikina wao. Waliroga sana uwanja wa taifa na sasa wanataka kuroga kila uwanja nchini ili wawe wanashinda wao tu wakati timu yao ni mbovu. Nashauri TFF waishushe Yanga daraja au waiue tu moja kwa moja, tumewachoka kwa uchawi wao, hawa ndiyo wanaoharibu mpira wetu.
 
Hakuna anayedhani ila ni kweli Yanga ni wachawi wa kutupwa, inabidi wafungiwe tu ama kushushwa daraja, wanaua mpira wetu.
 
Juzi wamelalamika sana uwanja wa jeshi hawakupewa nafasi huko Kmc tutarajie tangazo la kuhama uwanja!
 
Hiyo inaonekana kabisa imetengenezwa ili kuiharibia Yanga kwa sifa mbovu. Yaani watu wanakuwa wapuuzi kisa usimba na uyanga, mwenye hilo begi hajulikani wala hana alama ya uyanga ila ilimradi tu kutengeneza taharuki.
 
HIZO TIMU ZA KARIAKOO NI ZA KISWAHILI.
UISILAMUUU.

KUNA MSTARI MWEMBAMBA SANA UNAOTOFAUTISHA UISLAMU NA UGANGA.

Ndio maana miaka 90 hakuna viwanja hakuna maendeleo yoyote.
Nikweli,kanda ya ziwa kote,katavi, mbeya wachawi na waganga waislam
 
Yanga na ushirikina ni vitu ambayo haviwezi kutenganishwa.
Yaani na akili zako umeangalia hiyo clip ukahitimisha kwa kuamini kuwa ni kweli. Hilo begi lilijileta lenyewe uwanjani? Mbona hawamuoneshi waliyemkamata na hilo begi ili aonekane? Hapo ni maigizo tu wamefanya kuchafuana hakuna kingine ila kwavile watu akili za kufikiria huwa zinawekwa mfukoni linapokuja swala la Simba na Yanga ndio maana
 
HIZO TIMU ZA KARIAKOO NI ZA KISWAHILI.
UISILAMUUU.

KUNA MSTARI MWEMBAMBA SANA UNAOTOFAUTISHA UISLAMU NA UGANGA.

Ndio maana miaka 90 hakuna viwanja hakuna maendeleo yoyote.
Watu Kama Wewe Ndo Mnazidi Kuniaminisha Kwamba Uislam Ni Dini Ya Kweli Kwa Maana Kwenye Quran Kuna Aya Zinasema Chuki Waliyonayo Makafir Ni Kubwa Zaidi Ya Hii Mnayoionyesha Hadharani Na Maneno Hayo Nayashuhudia Humu Jukwaani.

Ina Maana Kwa Mujibu Wako Huko Sumbawanga,Shinyanga,Na Kanda Ya Ziwa Yote Wachawi Ni Waislam Tu Wakristo Na Wasio Amini Hizi Dini Hawafanyi Uchawi? Hapana Kuna Chemba Flani Kichwani Kwa Kila Mkristo Itakuwa Ina Damage Eidha Kwa Kupenda Au Maumbile.
 
Kati ya Simba na yanga nani anajulikana CAF Kwa uchawi,!?
Sasa Simba Anajulikana Kwa Vile Anashiriki Kila Mwaka Anaishia Timu Nane Bora Wewe Timu Yako Inajulikana Buza Kwa Mama Nani Sijui
Caf Atakujuaje?
 
Hawa utopolo ni wachawi aisee jamaa wamewekeza kwenye uchawi
 

Angalizo,
Wapinzani wa Yanga (Wowote wale incl. Simba) wanaweza fanya madudu kuchafua taswira ya Yanga.
Watu wa hovyo hawaishi katika jamii!!
 
Vijana wanaodhaniwa kuwa ni yanga????!!! Ni nani anao uhakika kwamba ni yanga? Yanga ndio mwenyeji wa mechi? Iyo kudhania kwanini wasidhaniwe kuwa ni kmc? Propaganda za kitoto sana hizi,,Yani yanga wamfanyie kmc ushirikina? Kwa kipi hasa ambacho kmc anacho mpaka yanga imfanyie ushirikina? Kwamba kmc anao uwezo mkubwa kumzuia yanga asipate matokeo au namna Gani?
 
Hakuna kitu kama hicho hizo ni propaganda za kuwatoa yanga mchezoni na ni hasira za watunga uongo baada ya jana singida kukataa kuingia vyumbani na wakapata matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…