Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Hii timu imeshindwa michuano ya kimataifa na sasa wanataka kuharibu ligi ya nyumbani kwa ushirikina wao. Waliroga sana uwanja wa taifa na sasa wanataka kuroga kila uwanja nchini ili wawe wanashinda wao tu wakati timu yao ni mbovu. Nashauri TFF waishushe Yanga daraja au waiue tu moja kwa moja, tumewachoka kwa uchawi wao, hawa ndiyo wanaoharibu mpira wetu.View attachment 3235766
Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk