Wanaofanya kazi ya kupoteza watu ndani ya "Kitengo" wanapataje kazi hii?

Usisahau na wale wanaovaa suti kwenda kukata Umeme
 
Siungi mkono hoja yako, kama unakula nyama ya mbuzi, kuku na ng'ombe unamkamata na kumchinja, unamchuna na ngozi, au wale wanaoua kitimoto kwa kumpiga na kitu kizito kichwani unataka kusema ni sawa na hawa hitmen, mfano wako upo irrelevant, mnyama ni mnyama na binadamu ni binadamu, kama u anahisi anayeua paka ni katili basi anayechinja ng'ombe ni katili pia na wewe unayekwenda buchani kununua nyama na kusema nyama nzuri kilo 1 tukuweke kundi lipi?

Napinga ukatili dhidi ya wanyama lakini anayetoa roho ya mwanadamu mwenzake si sawa na anayeua mnyama.

Hitmen wale ni watekelezaji, kuna mafunzo wanapewa ya utii na ukatili, sio watu wa kujiuliza, wanachoambiwa wanasimamia usalama wa Taifa, mhanga hapo kwanza kabisa anapewa jina baya, sifa mbaya na pia wanaambiwa ni mtu hatari kwa usalama wa nchi, kinachofuata ni utekelezaji na kupewa sifa/reward kama cheo, pesa n.k..

Hivyo vitengo kuna viapo vyao hasa kutii na kufuata mamlaka toka juu, kuna taratibu zao kama ukiwa msaliti adhabu yako ni ipi, we hakuna kuuliza, ukishaambiwa flani hapasai kuendelea kupumua hakuna kuuliza na kubishia wakubwa zako, wengine akili zao huwa kama wanachanganyikiwa flani tokana na matukio wanayofanya lakini hakuna jinsi. Tazama hata movies wale askari huwa wanakwenda vitani wakirudi huwa wengine akili zinaruka wengine wanaugua ile inaitwa PTSD..

Fikiria kwa nini askari anaogopa na kuitii command ya mkubwa wake aende front vitani aka risk maisha yake kuliko kukataa command aliyopewa, wamefunzwa hivyo, na kuna watu ambao wanajua kucheza na akili za wanadamu.
 
Ni vijana kutoka uvccm
 
Kama yule Polisi wa Matekani aliyembonya yule Muafrika na goti had I akakata roho, duh! Iliniuma sana.. Kuna siku nitamkamata tu mamamamaelism yake
 
Kuna wafungwa na mahabusu wale wenye kesi ngumu hasa za unyang'anyi, mauaji nk .. Na wengine ni wale mabanditu wa mitaani

Yoyote kati ya huarifiwa kwamba leo kuna kazi maalum utajulishwa muda JIANDAE
 
Kamuulize makonda au jiwe kule chato kama utaweza maana wao ndio wataalamu wa hizo Mambo.
 

Wengi humu ndani hamfahu hili.
Hitmen ni nick name tu, hata ww unaweza kuwa under right condition.

Kwanza wale wote ni askari, huwa hand picked within taasis husika.
Ndani ya taasis kuna vitengo vingi, moja ya kitengo vinavyohusika na hiyo kitu viko classified as paramilitary units or special operation units, within hizi unit kuna specialized skills officer.
Kazi zao hasa ni direct actions, sabotage, kidnapping, dissapearance, political protections, judicial killings ( hizi hufanyika under orders kutoka serikalini )

selection zao hawa huwa recruited kutoka kwenye majeshi mbali mbali mostly commando. Na ni hand picked na viongozi wao ,Na mara chache regular soldiers ambao wana out perform kwenye field yao. The hupewa mafunzo zaid kwenye field husika. Remember si kila anaekuwa selected ana pass mafunzo.

Under goverment protection hawa jamaa wana operate kwa usiri mkubwa in such serikal nyingi duniani zenye vikos kama hivi hukana kuhusika na mambo hayo.

Yes they exist
 
Asomaye na afahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…