Wanaofanya kazi ya kupoteza watu ndani ya "Kitengo" wanapataje kazi hii?

Kuwa yatima no baba no mama no ndugu wa karibu na wewe kupita kiasi .

Kuwa na uwezo mkubwa shuleni na akili kubwa mtaani .

Kuwa mtu wa kujichanganya sana na jamii .

Kuwa na historia ya kunyanyasika na huko nyuma kiasi umekuwa affected psychologically .

Basi utatafutwa popote ili ufanye hayo .

Ila kumbuka kwenda shule maana details zako zinachukuliwa shuleni sio uwe mtu wa mtaani .

Nitarudi baadae ikiwa kuna atakayebisha nitakuja kutoa mifano na baadhi ya majina ukayafuatilie ila jua sio mimi ila ni wao.[emoji120]
 
Jaribuni mpitieni documentary ya Richard kukliski aka the ice man
Jamaa alitumiwa sana na mafia mob,wanasiasa nk kuwatimizia kazi zao za kuwaua watu,anaoagizwa
Kwenye moja ya mahojiano yake alikuwa anasema alikuwa Ana enjoy
Kuua

Ova
 
Sasa umejibu swali au umetoa ufafanuzi wa aina hiyo ya watu ?! Mtoa mada anataka kujua je wanaabudu, je wanapewa mafunzo, je wanafamilia, je wanahisi hatia kwa watendayo, je wanalazimishwa au ni kwa hiari yao.
 
Wengi ni zao la Jeshi huwez ingia fresh from school...
 
Yuko yule kijana wa UVCCM aliyemtisha Zitto , nadhani wengi wanatokea huku
 
Kitu kimoja Mungu alifanya fair ni kuwa kama uliua basi na wewe utatoweka kwa njia hiyo hiyo.
 
Fatilia Kisa cha John Gweru wa Zimbabwe
Sasa umejibu swali au umetoa ufafanuzi wa aina hiyo ya watu ?! Mtoa mada anataka kujua je wanaabudu, je wanapewa mafunzo, je wanafamilia, je wanahisi hatia kwa watendayo, je wanalazimishwa au ni kwa hiari yao.
 
Ninavyotambua afisa usalama yoyote yuko tayari kwa lolote na kwa muda wowote! Na ndio maana wanapitia mafunzo tena si ya kitoto na wote wako vizuri mno!... Hivyo yoyote yule anaweza kuua!
 
Watafute uwaulize. Nawe unataka kupoteza watu. Fikiria ukipotezwa kabla ya kutaka kujiunga na wahalifu hawa.
 
Hii ni hadisi ya kufikirika. As far as I know ukiona mtu amepigwa aubkuuliwa kifo cja ajabu utagundua ni ugomvi wa kutembea na mke wa mtu, au majizi kupunjana mgawo wa mali waliyoiba, au kulipa kisasi mtu kaua ndugu zake, au vita vya kikabila hasa nchi zetu jirani Rwanda na Kenya. Usiumize kichwa chako.
 
Kuna mwingine tena kapotezwa au?
Unauliza SWALI gani hilo? Hilo ndio JIBU! Sasa hivi jaribu kutulia na kuwa MTAZAMAJI!

Na usishiriki JAMBO lolote ambalo huna UHAKIKA nalo, kwa sababu kinachoendelea kufanyika sasa hivi ni SMOOTH CRIMINAL.

UDHALIMU NA UBEDUI ulipitiliza, kwahiyo WADAU ni fursa kwao kulipiza KISASI.
 

..waliomshambulia Lissu hawakuwa wazembe.

..walimtupia risasi nyingi na 16 ziliingia mwilini mwake.

..they hit their target. Suala la target kufa hiyo ni habari nyingine.

..kilichotokea ni jambo la muujiza Lissu kuepuka kifo.

..mnaosema sniper angefanya kazi nzuri mnakosea.

..Kwasababu hata Snipers hawana uhakika wa 100% kufanikisha mission zao.

..Mwisho mnaweza kusema labda wangetumia BOMU LA NYUKLIA. lakini hata ktk shambulizi la nyuklia kuna wahanga wame-survive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…