Wanaofanya kazi ya kupoteza watu ndani ya "Kitengo" wanapataje kazi hii?

Kama mission aikua accomplished maana ake haikufanyika kwa usahihi
 
Kama mission aikua accomplished maana ake haikufanyika kwa usahihi

..sio kweli.

..they shot their target 16 times.

..99.999% of the time ukimpiga mtu risasi 16 huwa anakufa.

..mission ingekuwa haikufanyika kwa usahihi kama wangejulikana au kutambuliwa, au wangeshambulia mtu ambaye hawakutumwa kumshambulia.
 
Te
..sio kweli.

..they shot their target 16 times.

..99.999% of the time ukimpiga mtu risasi 16 huwa anakufa.

..mission ingekuwa haikufanyika kwa usahihi kama wangejulikana au kutambuliwa, au wangeshambulia mtu ambaye hawakutumwa kumshambulia.
Tembo risasi moja tu analala chini.

Ukweli ni kwamba watu wema hawafi
 
Huwa Wana source kutoka Kwa ma Polisi
 
Amenikumbusha baba yangu Sokoine alichofanyiwa.
Jaribu kupitia huu uzi wa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana na unatakiwa kuwa na UVUMILIVU WA KISIASA kama walivyo FAMILIA YA HAYATI KARUME, yaani mnapaswa kuiga SIASA ZA ZANZIBARI kwa upande wa CHAMA CHA MAPINDUZI-CCM.

Kwa sababu, UMAFIA huwa upo katika kila SERIKALI na WATU WA ZANZIBARI walishuhudia na kuona mambo mengi sana yakifanyika chini ya UTAWALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI-CCM.

WAZANZIBARI kwa umoja wao, waliamua kutumia CHAMA CHA MAPINDUZI-CCM ili kukwea MNAZI, yaani wanakitumia CHAMA CHA MAPINDUZI-CCM kujijenga KIUCHUMI na KISIASA - ilhali fikra, mioyo na nafsi zao hazipo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI-CCM.

Na wamefanikiwa pakubwa sana katika kujijenga KIUCHUMI, ngoja nikipata muda nitakuonesha moja ya kampuni za WAZANZIBARI zinazofanya vizuri ughaibuni kwenye uzi wa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana. WAZANZIBARI ndio jamii mojawapo inayounda JAMII YA WATU WA PWANI na JAMII YA WATU WA PWANI ni JAMII ambayo imejijenga KIUCHUMI, ukiachana na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI pamoja na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA.

Kwahiyo, muda na nyakati ndio utaamua hatima ya SIASA ZA ZANZIBARI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…