KERO Wanaofanya uvuvi Mto Ngerengere eneo la Tungi na Kihonda wawe makini, kuna mashimo yaliyochimbwa wakati wa ujenzi wa SGR yana kina kirefu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Naona wafanyakazi wa kiwanda cha MO umekuja ,
Unajua kiwanda cha MO kinavyo mwaga maji machafu kwenye kiwanda chake cha textile.

Mo alitakiwa Aya treat maji humo humo kiwandani kwake , yatoke yakiwa meupe, Kuna kipindi cha jk Kuna waziri alifika kiwandani hapo na akakiri uharifu wa mazingira unao fanywa na kiwanda cha MO na kuamriasha kiwanda hicho kufuata Sheria .lakini jamaa ni MTU anayependa kitonga, ku treat maji anaona ni gharama zinaongezeka ,kwake ni bora TU ayatiririshe mtoni ,(rangirangi na harafu Kali za kemikali)
Niwe mkweli. Sijui jinsi kiwanda cha MO kinavyomwaga maji machafu. Mm naishi huku Mkoani. Kero zetu huku ni migogoro baina ya Wafugaji na Wakulima.
Lakini hoja yangu ni kwamba jambo hilo linafanywa na watu wenye akili na utashi. Kwa nini wafanye hivyo kana kwamba hakuna Sheria zinazozuia hilo? Je, wao wanaomwaga hizo sumu kweli wanajua ila wanafanya makusudi. Je, wale watu wanaohusika Upande wa Afya na upande wa Mazingira hawapo? Je, Wale wanaotakiwa kuhakikisha Kwamba kunatakiwa kuwepo na Utii wa Sheria bila shuruti hawapo au hilo haliwahusu? n.k.
Aidha tusisahau kwamba waathirika wamewekewa mabango ya Tahadhari lakini pia nao hawataki Kuzingatia hiyo Tahadhari. Sasa tutakwenda kwa mtindo na mwondoko huo mpaka lini?
 
Mkuu hata aibu hauna ,
Hakuna kibango chochote cha tahadhari kwenye huo MTO, unajua huo mto una mamba, lakini umesikia mleta Uzi akilalamika kuhusu uwepo wa Mambo?.

Coz mamba kwao ni kitu kilicho kuwepo generation to generation.

Lakini swala la kumwaga kemikali za sumu kutoka kiwanda cha MO kwenda mtoni, wewe haikuumi , badala yake unawalaumu wananchi wahame huo MTO.

Badala ya kutia shinikizo MO afuate Sheria. Machawa ni hovyo sana
 
HHuo
Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo katika Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda.

Mto huu umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha wanapofanya shughuli za uvuvi na vifo eneo hilo, hiyo inatokana na kina kilichoongezeka katika mashimo yaliyochimbwa katika ndani ya mto wakati wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR.

Nakumbuka Disemba 16, 2024, Mwanaume anayekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 27, ambaye jina lake halijafahamika mkazi wa mtaa huo alipoteza maisha baada ya kutumbukia ndani ya Mto huo wakati akifanya shughuli ya uvuvi.

Kipindi cha Mwaka 2024 tayari jumla ya watu 4 wamepoteza maisha wakati wakiendelea na shughuli za uvuvi katika mto hali ambayo inatishia usalama wa watu wa eneo hilo hasa wanaofanya shughuli za uvuvi na kujipatia kipato.

Hali hii inatufanya kuwa na hofu katika eneo hili, hao ni watu wazima tunakuwa na hofu, watoto pia wanaweza kupoteza maisha maana kuna wengine wanakuja kucheza kando ya mto huo.

Nashauri Serikali kupitia watu wa Bonde Wami/Ruvu kwa kushirikiana na Manispaa ya Morogoro kufukia mashimo yaliyochimbwa katika mto huo wakati wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, kutokana na watu kuendelea kuyatumia katika shughuli za uvuvi jambo linalohatarisha usalama wa watu hao.

Wakati huohuo umakini unatakiwa kuongezeka kwa wote wanaofanya shughuli zao maeneo hayo watambue kuwa kina ni kirefu tofauti na hali inavyoonekana kwa juu.View attachment 3194864View attachment 3194865View attachment 3194868

Niwe mkweli. Sijui jinsi kiwanda cha MO kinavyomwaga maji machafu. Mm naishi huku Mkoani. Kero zetu huku ni migogoro baina ya Wafugaji na Wakulima.
Lakini hoja yangu ni kwamba jambo hilo linafanywa na watu wenye akili na utashi. Kwa nini wafanye hivyo kana kwamba hakuna Sheria zinazozuia hilo? Je, wao wanaomwaga hizo sumu kweli wanajua ila wanafanya makusudi. Je, wale watu wanaohusika Upande wa Afya na upande wa Mazingira hawapo? Je, Wale wanaotakiwa kuhakikisha Kwamba kunatakiwa kuwepo na Utii wa Sheria bila shuruti hawapo au hilo haliwahusu? n.k.
Aidha tusisahau kwamba waathirika wamewekewa mabango ya Tahadhari lakini pia nao hawataki Kuzingatia hiyo Tahadhari. Sasa tutakwenda kwa mtindo na mwondoko huo mpaka lini?
Hicho kiwanda hapo zamani kiliitwa Morogoro polytex limited au polyster. Baada ya ubinafshaji Mo akapewa akiendeshe. Mo kakuta hiyo miundombinu ya kuelekeza maji mtoni. Kiwanda hicho kipo kwenye eneo la viwanda vya zamani. Eneo hilo lilitengwa kando ya mji kullikuwa hakuna makazi ya watu. Watu wachache sana waliokuwa wanaishi huko walikuwa wakulima. Baada ya kukua kwa mji sasa viwanda vyote vipo katikati ya makazi
 
Mkuu hata aibu hauna ,
Hakuna kibango chochote cha tahadhari kwenye huo MTO, unajua huo mto una mamba, lakini umesikia mleta Uzi akilalamika kuhusu uwepo wa Mambo?.

Coz mamba kwao ni kitu kilicho kuwepo generation to generation.

Lakini swala la kumwaga kemikali za sumu kutoka kiwanda cha MO kwenda mtoni, wewe haikuumi , badala yake unawalaumu wananchi wahame huo MTO.

Badala ya kutia shinikizo MO afuate Sheria. Machawa ni hovyo sana
Sijawalaumu wananchi na sijasema kwamba kitendo hicho hakiniumi.
Kwamba wananchi wahame huo mto(Kuhama)haina mashiko kwani Mwananchi/Mtanzania kwa hiari yake anaweza kuishi popote hapa Tz alimradi anafuata Taratibu na havunji sheria.
Hoja yangu hapo ni kwamba; Mbona ni kama hakuna mtu hata mmoja anayekubali kuwajibika?
1. Mwananchi amelazimishwa na nani kwenda mtoni au kutumia hayo maji yenye sumu? Si amtaka na kuamua mwenyewe?
2. Kama hakuna "kibango chochote cha Tahadhari" inafikirisha sana. Kweli unataka bango la Tahadhari kubwa kuliko hilo bango linalolalamikiwa kuwa ni Kero? Mbona Mtu akihudhuria mazishi hilo ni bango tayari Tena kubwa.
Mimi ni nani hata niweze kuwa na ujasiri kumtia shinikizo MO afuate Sheria?
Mbona wahusika wanaolipwa mshahara kwa kodi zetu, wapo kimya halafu ww unanitaka niwe kimbelembele eti nimshinikize MO. That's Fools Errand.
 
HHuo

Hicho kiwanda hapo zamani kiliitwa Morogoro polytex limited au polyster. Baada ya ubinafshaji Mo akapewa akiendeshe. Mo kakuta hiyo miundombinu ya kuelekeza maji mtoni. Kiwanda hicho kipo kwenye eneo la viwanda vya zamani. Eneo hilo lilitengwa kando ya mji kullikuwa hakuna makazi ya watu. Watu wachache sana waliokuwa wanaishi huko walikuwa wakulima. Baada ya kukua kwa mji sasa viwanda vyote vipo katikati ya makazi
Nashukuru umeanza kunielewa. Hizo kero ni Issue complicated sana kwani ukianza kuzifuatilia amvike paka kengele unakuta wengi wanahusika. Kwa mantiki hiyo hakuna uhalali wa kuilaumu Serikali lakini pia hakuna sababu ya kuwalaumu wananchi kwani wao wenyewe waliokuwepo kipindi hicho hawakuwa na maono ya siku za mbele itakuwaje kwani nao wanaongezeka idadi, Maendeleo ya miundo mbinu nayo ni muhimu pia. Wananchi waathirika wafike mahali wakubaliane na msemo: "Kila siku sio Ijumaa" Wakubali kubadilika kwendana na Wakati.
 
Mamlaka husika zitoe elimu mapeema
Yeah! Ni sahihi kabisa. Ila kama halikufanyika; bado nafasi ipo - waitishe mikutano ya hadhara, Wawashirikishe Taasisi za Kidini, wapite huko mashuleni na kuweka mabango ya Tahadhari kwani Kero bado ipo na huenda ikawa ni ya kudumu.
 
Sijawalaumu wananchi na sijasema kwamba kitendo hicho hakiniumi.
Kwamba wananchi wahame huo mto(Kuhama)haina mashiko kwani Mwananchi/Mtanzania kwa hiari yake anaweza kuishi popote hapa Tz alimradi anafuata Taratibu na havunji sheria.
Hoja yangu hapo ni kwamba; Mbona ni kama hakuna mtu hata mmoja anayekubali kuwajibika?
1. Mwananchi amelazimishwa na nani kwenda mtoni au kutumia hayo maji yenye sumu? Si amtaka na kuamua mwenyewe?
2. Kama hakuna "kibango chochote cha Tahadhari" inafikirisha sana. Kweli unataka bango la Tahadhari kubwa kuliko hilo bango linalolalamikiwa kuwa ni Kero? Mbona Mtu akihudhuria mazishi hilo ni bango tayari Tena kubwa.
Mimi ni nani hata niweze kuwa na ujasiri kumtia shinikizo MO afuate Sheria?
Mbona wahusika wanaolipwa mshahara kwa kodi zetu, wapo kimya halafu ww unanitaka niwe kimbelembele eti nimshinikize MO. That's Fools Errand.
We jamaa sio mzalendo kabisa 😂,
Mo kawakuta wa tz wanatumia MTO kwa ajili shunguli za irrigation, uvuvi, kunyesha mifungo.

So unataka wananchi waeche shunguli zao za uvuvi, irrigation,etc kisa mo anachafua mazingira, unafikiri ni rahisi kiasi hicho.

Wakati kupitia kiwanda chake cha textile anao uwezo wa kuya treat maji yenye sumu, na yakawa ya salama kwa shunguli za binadamu.

Acha kutetea ujinga mtanzania mwezangu kisa buku 7
 
Dah! Inasikitisha kuona kumbe bado hujanielewa. Labda ngoja nibadilishe approach.
1. MO alipokuja na kuwakuta waTz ni nani alimpokea au alivamia? Kama aliyempokea yupo, basi anzeni nae kwenye Kuwajibishana.
2. Kama alivamia; basi taratibu za kumfurusha hapo zichukuliwe.
3. Ni nani huyo anayewataka wananchi waache shughuli zao kisa MO anachafua mazingira????! Tuepuke sana kuwasakizia watu wengine wafanye hiki au kile. Anza WEWE kufanya kitu halafu wengine watafuata.
BTW: Hakuna ujinga unaotetewa hapa zaidi ya ule ujinga wa watu kutokujua kwamba ni wajinga. Ni ngumu sana kudeal nao.
 
Binadamuu (Watu) wenye akili na Utashi wanafahamu fika kwamba maji hayo ni Hatari kwa Afya zao lakini bado kwa makusudi wanayatumia majumbani. Kwa nini wasiyaepuke?
Ni watu wa kipato cha chini kabisa wasioweza kupata hata milo miwili kwa siku, maji ya serikali hayapo katika eneo hilo na kwa miaka mingi wamekuwa wakiishi hapo
 
Mo alitakiwa Aya treat maji humo humo kiwandani kwake , yatoke yakiwa meupe, Kuna kipindi cha jk Kuna waziri alifika kiwandani hapo na akakiri uharifu wa mazingira unao fanywa na kiwanda cha MO na kuamriasha kiwanda hicho kufuata Sheria .lakini jamaa ni MTU anayependa kitonga, ku treat maji anaona ni gharama zinaongezeka ,kwake ni bora TU ayatiririshe mtoni ,(rangirangi na harafu Kali za kemikali)
Huwa wakati mwingine naamini kabisa kuna mkakati wa kuwafuta watu weusi hapa nchini, wale wanaotumia yale maji wengi wao ni watu wa kipato cha chini ambao hata mbunge wao haoni haja ya kuwatetea kwasababu na yeye ni wa rangi ileeeeeeee!!!
 
Weka picha maana aliyeleta post ameweka picha za eneo lote hakuna hata bango moja, wewe hilo bango umeliona wapi
Kwahyo kila nikipita huko mitaani niwe napiga picha😀😀 sasa si nitachelewa nikipita tena nitapiga nitakutumia
 
Back
Top Bottom