Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

Mugabe Tulisha kuwa nae bongo
simwingine naye ni Mbowe
Usituvuruge
Mnajivuruga wenyewe ili muonekane mnavurugwa.
Tunachokihofia ni pale joka mla watu akimaliza kuwala wanaoonekana adui hatujui watakaofuata kuliwa ni kina nani!?

Futeni vyama vingine ili chuki zinazotokana na uchafuzi wa demokrasia zisiwepo.
 
Naendeleza wito huu, sio tuu wanaohama vyama wasibezwe, bali hata wapinzani, wanaotembelea Ikulu na kumpongeza rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya, pia wasibezwe, wana hoja za msingi.

Paskali
Uelewa wa safari ya matumaini ulikua mgumu maana matumaini yeliwekwa kwenye ( )bila kuyajua na zaid ilikua hisia za watu.
 
Sisi CCM?!.
P
Tafadhari kaka mkuu mshauri Lowasa atoke CHADEMA,Ili tupumue tuanze kumtengeneza mgonjwa wa ubeleji kushika kijiti.
Akianani nakuambia moto wake utakuwa hatari uliopita cha mtoto, jana nimemuomba sana Mungu CCM wabebe mzigo wao.
 
CHADEMA wako bize na maradi wao wa "Politician laundering"
 
Hapo unajidanganya wabunge wskipatikana kwasababubya upepo wa kisiasa na hali ya ccm kwa wakat huo
 
Ccm itabaki kua inang'ara kwasabwbu upinzani umelegea sana na hawana hoja wanavijembe tu au vihoja
 
Nakuunga Mkono hii ni analytical trend reading upo sawa kabisa. Kama vyama vya upinzani hawatolifanyia kazi hili linakuja tena bila shaka.
 
Hongereni bana uzembe wa mwenyekiti wetu umetuponza ......hivi maandamano ya kumtoa yana katazwa nayo
 
Naendeleza wito huu, sio tuu wanaohama vyama wasibezwe, bali hata wapinzani, wanaotembelea Ikulu na kumpongeza rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya, pia wasibezwe, wana hoja za msingi.

Paskali

Naona umekuwa mtabiri na wewe siku hizi...hongera sana ushekhe Yahya unauweza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…