Wanaohoji utajiri wa Abduli mama wanapaswa kufikiri nje ya box

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709

​

1756320444169.png
1756320745928.png

​

1756320722380.png
1756321657644.png

1756321227461.png
1756321580975.png
1756321518641.png

Tangu uhuru wa Tanganyika na baadaye Tanzania, tumebarikiwa kuwa na marais sita waliopishana kwa mitindo ya uongozi na athari zao kwa jamii. Kwa mtazamo fulani, viongozi hawa wanaweza kuonekana katika makundi mawili tofauti.

Kundi la kwanza ni lile la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamin William Mkapa, na John Pombe Magufuli. Wote hawa, licha ya ukubwa wa hadhi yao, waliishi maisha yaliyoacha familia zao pembeni mwa siasa na mamlaka. Watoto wao hawakuibua mijadala mikubwa ya umma, jambo linaloweza kufasiriwa kama ishara ya udhu wa kiuongozi na uzalendo wa hali ya juu. Uongozi wao haukugeuzwa urithi wa kifamilia, bali ulizingatia zaidi urithi wa kitaifa.

Kundi la pili linahusisha Ali Hassan Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete, na Samia Suluhu Hassan. Katika enzi zao, taifa lilishuhudia upepo tofauti: uwepo wa familia katika majukwaa ya siasa na nafasi za umma. Si jambo geni kwa demokrasia kuona jamaa wa viongozi kushiriki kwenye utumishi wa umma, lakini hali hii pia huacha maswali ya tafakuri kuhusu mipaka ya mamlaka na nafasi ya urithi wa kisiasa. Kwa wengine, inaweza kuonekana kama sehemu ya mchango wa kifamilia kwa taifa; kwa wengine tena, kama ishara ya kulegea kwa viwango vya udhu na uwajibikaji wa kizalendo.

Kwa jumla, tofauti hizi huonyesha namna tafsiri ya uzalendo na udhu zinavyoweza kuchukua sura mbili: upande mmoja, kujitenga kwa familia na siasa; upande mwingine, ushiriki wa familia kama mwendelezo wa urithi wa kifamilia katika medani ya kitaifa.
 
Attachments

  • 1756321036781.png
    1756321036781.png
    2.2 MB · Views: 30
So uache mwanao apate tabu, basi usizae. Mbona mnakuwa wajinga sana? Baba ni Raisi ila mtoto sio Raisi; ana haki ya kujitafuta, hata kuwa mbunge.

Unafikiria tu awe na maslahi halafu ashindwe kuwapa wanawe, si atakuwa mjinga? Yule Mo mbona kamrithisha mwanae utajiri. Punguza chuki; tena kama wakiume, jiangalie sana.

Hizo mali hata wapewe, sidhani kama yanakuhusu kimtindo. Hao unaowataja unawajua watoto wao? Watoto wao walikuwa makada kabla ya wazazi wao kuwa wakubwa. Abdul ni mfanyabiashara miaka mingi sana.

Kama unaacha wanao wateseke, hauna akili nzuri. Basi Katiba ingeweka kwamba watoto wa kiongozi wasipewe nafasi. Huko kwenye Taasisi mnajaza, mkikosa ndugu mnaleta watu wa kabila lenu, then unakuja kuropoka ujinga hapa.

Tafuta kazi ya kufanya ujiimarishe kiakili. Utakuwa na fundo moyoni kwa jambo ambalo halikuhusu. Angalia riziki yako.
 
So uache mwanao apate tabu basi usizae ,mbona mnakuwa wajinga sana ....Baba ni Raisi ila mtoto sio Raisi ,ana haki ya kujitafuta hata kuwa mbunge .

. Unafikiria tu awe na maslahi halafu ashindwe kuwapa wanawe si atakuwa mjinga ...Yule Mo mbona kamrithisha mwanae utajiri , Punguza chuki tena kama wakiume jiangalie sana .

Hizo mali hata wapewe sidhani kama yanakuhusu kimtindo ,hao unaowataja unawajua watoto wao ? Watoto wao walikuwa makada kabla ya wazazi wao kuwa wakubwa ...Abdul ni mfanyabiashara miaka mingi sna ...

Kama unaacha wanao wateseke hauna akili nzuri ,basi katiba ingeweka kwamba watoto w a kiongozi wasipewe nafasi..Huko kweny Taasisi mnajaza mkikosa ndugu mnaleta watu wa kabila lenu then unakuja kuropoka ujinga hapa..

Tafuta kazi ya kufanya ujiimarishe kiakili ,utakuwa na fundo moyoni kwa jambo ambalo halikuhusu , angalia ridhiki yako .
Umetumwa, unajituma, au uchawa tu? Sijui kama imesoma na kuambua kitu. Kwani ni mara ya kwanza kuwa na Rais?
 
Wealth creation inaweza kufanyika bila wizi. Kwa kuzitumia tu fursa zilizopo unaweza kutengeneza utajiri.

Lakini ujasiriamali ni nadra sana ukuletee pesa mingi kwa wakati mmoja.

Kinachowaponza viongozi na familia zao, ni tamaa ya utajiri uliokithiri, ambao unawafanya wajihusishe na dili chafu udanganyifu kwenye tender na kutengeneza mtandao wa wizi
 
So uache mwanao apate tabu basi usizae ,mbona mnakuwa wajinga sana ....Baba ni Raisi ila mtoto sio Raisi ,ana haki ya kujitafuta hata kuwa mbunge .

. Unafikiria tu awe na maslahi halafu ashindwe kuwapa wanawe si atakuwa mjinga ...Yule Mo mbona kamrithisha mwanae utajiri , Punguza chuki tena kama wakiume jiangalie sana .

Hizo mali hata wapewe sidhani kama yanakuhusu kimtindo ,hao unaowataja unawajua watoto wao ? Watoto wao walikuwa makada kabla ya wazazi wao kuwa wakubwa ...Abdul ni mfanyabiashara miaka mingi sna ...

Kama unaacha wanao wateseke hauna akili nzuri ,basi katiba ingeweka kwamba watoto w a kiongozi wasipewe nafasi..Huko kweny Taasisi mnajaza mkikosa ndugu mnaleta watu wa kabila lenu then unakuja kuropoka ujinga hapa..

Tafuta kazi ya kufanya ujiimarishe kiakili ,utakuwa na fundo moyoni kwa jambo ambalo halikuhusu , angalia ridhiki yako .
Yaani mtu awe waziri mkuu mfano kisha mwanawe awe mpuuzi Fulani! Uliona wapi!!!????
 
Sasa wewe si chawa wa CHADEMA ,kwamba hauna kazj ya kufanya😂😂 umaskini mbaya sana: ona unavyofuatilia mambo hayakuhusu kisa njaa.
Kumbe wewe ni chawa 😳 😳 tena wa kujitakia kwa kujipendekeza unayedhani kila anayewakosoa machawa na wawafugao ni chawa mwenzako. Haya endelea na uchawa na ukunguni wako.
 
So uache mwanao apate tabu basi usizae ,mbona mnakuwa wajinga sana ....Baba ni Raisi ila mtoto sio Raisi ,ana haki ya kujitafuta hata kuwa mbunge .

. Unafikiria tu awe na maslahi halafu ashindwe kuwapa wanawe si atakuwa mjinga ...Yule Mo mbona kamrithisha mwanae utajiri , Punguza chuki tena kama wakiume jiangalie sana .

Hizo mali hata wapewe sidhani kama yanakuhusu kimtindo ,hao unaowataja unawajua watoto wao ? Watoto wao walikuwa makada kabla ya wazazi wao kuwa wakubwa ...Abdul ni mfanyabiashara miaka mingi sna ...

Kama unaacha wanao wateseke hauna akili nzuri ,basi katiba ingeweka kwamba watoto w a kiongozi wasipewe nafasi..Huko kweny Taasisi mnajaza mkikosa ndugu mnaleta watu wa kabila lenu then unakuja kuropoka ujinga hapa..

Tafuta kazi ya kufanya ujiimarishe kiakili ,utakuwa na fundo moyoni kwa jambo ambalo halikuhusu , angalia ridhiki yako .
Hili li paka shume sijui limetoka wapi
 
Sasa wewe si chawa wa CHADEMA ,kwamba hauna kazj ya kufanya😂😂 umaskini mbaya sana: ona unavyofuatilia mambo hayakuhusu kisa njaa.
Wewe ndiyo una njaa kujipendekeza kwa Abdul kwa kutoa mifano ya Watoto wengine ambao hawana madili michongo kama ya Abdul, wewe fanya uchawa wako wote lakini wambie waache kuwaonea kuwanyanyasa kuwateka kuwabambikia kesi za uongo chadema
 
​

View attachment 3455465View attachment 3455472​

​

View attachment 3455471View attachment 3455504​

View attachment 3455485View attachment 3455502View attachment 3455500​

​

Tangu tupate uhuru, Tanzania ishakuwa na marais sita. Unaweza kuwagawa kwenye makundi mawili yaani, kundi la Julius Nyerere, Benjamin Mkapa, na Johh Magufuli ambao watoto wao hawakuvutia mabishano iwe sasa hadi zama zile. Wanaishi maisha ya kawaida na hata wengine hawajulikani maisha yao tokana na wazazi wao kutowahusisha kwenye utawala wao.

Hawa, kwa namna moja, ni viongozi walioonyesha udhu wa hali ya juu ukimuondoa mke wa Mkapa ambaye alisifika kwa tamaa zake mbali na Mkapa kushauriwa vibaya akaingiza uwekezaji uchukuaji.

Kundi la pilli ni Ali Hassan Mwinyi, Jakaya Kikwete, na Samia Suluhu Hassan ambao ni viongozi walioingiza taifa kwenye kashfa nyingi na uwekezaji wa hovhyo ambao watoto wao walipata kismati cha kutumia na kufaidi mamlaka ya wazazi wao.

Mfano, mtoto wa Mwinyi ni rais Zanzibar licha ya kuwa waziri kwa muda mrefu na mwingine Abbas alikuwa mbunge. Mtoto wa Kikwete, Ridhiwan, na mke wa Kikwete Salma ni wabunge. Watoto wa Samia, yaani Wanu ni mbunge, na Abdul ni fixer ukiachia mbali mume wa Wanu Mohamed Mchengerwa kuwa waziri kwenye serikali ya mama mkwe wake. Je hii inaonyesha nini kuhusiana na uzalendo na udhu?
Hao hawakuwa wakishiriki kuteka kuuua kupora luzuku kuzuia mikutano kuwabambikia kesi chadema, hao Watoto hawakuwa na madili michongo kama Abdul, acha kufananisha mlima na kichuguu
 
​

View attachment 3455465View attachment 3455472​

​

View attachment 3455471View attachment 3455504​

View attachment 3455485View attachment 3455502View attachment 3455500​

​

Tangu uhuru wa Tanganyika na baadaye Tanzania, tumebarikiwa kuwa na marais sita waliopishana kwa mitindo ya uongozi na athari zao kwa jamii. Kwa mtazamo fulani, viongozi hawa wanaweza kuonekana katika makundi mawili tofauti.

Kundi la kwanza ni lile la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamin William Mkapa, na John Pombe Magufuli. Wote hawa, licha ya ukubwa wa hadhi yao, waliishi maisha yaliyoacha familia zao pembeni mwa siasa na mamlaka. Watoto wao hawakuibua mijadala mikubwa ya umma, jambo linaloweza kufasiriwa kama ishara ya udhu wa kiuongozi na uzalendo wa hali ya juu. Uongozi wao haukugeuzwa urithi wa kifamilia, bali ulizingatia zaidi urithi wa kitaifa.

Kundi la pili linahusisha Ali Hassan Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete, na Samia Suluhu Hassan. Katika enzi zao, taifa lilishuhudia upepo tofauti: uwepo wa familia katika majukwaa ya siasa na nafasi za umma. Si jambo geni kwa demokrasia kuona jamaa wa viongozi kushiriki kwenye utumishi wa umma, lakini hali hii pia huacha maswali ya tafakuri kuhusu mipaka ya mamlaka na nafasi ya urithi wa kisiasa. Kwa wengine, inaweza kuonekana kama sehemu ya mchango wa kifamilia kwa taifa; kwa wengine tena, kama ishara ya kulegea kwa viwango vya udhu na uwajibikaji wa kizalendo.

Kwa jumla, tofauti hizi huonyesha namna tafsiri ya uzalendo na udhu zinavyoweza kuchukua sura mbili: upande mmoja, kujitenga kwa familia na siasa; upande mwingine, ushiriki wa familia kama mwendelezo wa urithi wa kifamilia katika medani ya kitaifa.
Uchawa ni mbaya sana, hakuna kitu kibaya kama uchawa. Akili yote imekwenda tumboni. Pesa zinaibiwa waziwazi halafu, ninyi badala ya kuhoji pesa zilizotokana na kodi zetu?Bado Tanzania watu hawajaelimika.....yaani hata haki zenu hamjui? Angalia maisha yao kabla hajawa Makamo au rais halafu ndiyo uongee . Unajipendekeza na kuuza utu wako kwa watu wanaofisadi nchi yetu....You need to be ashamed of yourself. Acha kuongea upumbavu, unaturudisha nyuma miaka 50. Tunazungumzia ukwasi wa kupita kiasi ambao haujulikani ulipotokea (money laundering), pesa za kuhongea wanasiasa na tabia za kukaidi sheria
 
Uchawa ni mbaya sana, hakuna kitu kibaya kama uchawa. Akili yote imekwenda tumbani. Pesa zinapigwa waziwazi unaongea upumbavu. Angalia maisha yao kabla hajawa Makamo au rais halafu ndiyo uongee . Unajipendekeza na kuuza utu wako kwa watu wanaofisadi nchi yetu....You need to be ashamed of yourself.
Kibaya zaidi ni kushirikiana na Rostam Aziz kumtesa Lisu na kuidhoofisha chadema
 
So uache mwanao apate tabu basi usizae ,mbona mnakuwa wajinga sana ....Baba ni Raisi ila mtoto sio Raisi ,ana haki ya kujitafuta hata kuwa mbunge .

. Unafikiria tu awe na maslahi halafu ashindwe kuwapa wanawe si atakuwa mjinga ...Yule Mo mbona kamrithisha mwanae utajiri , Punguza chuki tena kama wakiume jiangalie sana .

Hizo mali hata wapewe sidhani kama yanakuhusu kimtindo ,hao unaowataja unawajua watoto wao ? Watoto wao walikuwa makada kabla ya wazazi wao kuwa wakubwa ...Abdul ni mfanyabiashara miaka mingi sna ...

Kama unaacha wanao wateseke hauna akili nzuri ,basi katiba ingeweka kwamba watoto w a kiongozi wasipewe nafasi..Huko kweny Taasisi mnajaza mkikosa ndugu mnaleta watu wa kabila lenu then unakuja kuropoka ujinga hapa..

Tafuta kazi ya kufanya ujiimarishe kiakili ,utakuwa na fundo moyoni kwa jambo ambalo halikuhusu , angalia ridhiki yako .
Wewe Tafuta kazi ya kufanya huu uchawa wako wa kishamba waachie wapumbavu wenzako, Abdul anakwapua mali za umma na bado anawatesa Lisu na chadema uje kumlinganisha na watoto wengine kweli? Acheni kuvuta Bangi huko gheto kwa Lukas mkajitoa fahamu na kuja kusumbua watu mitandaoni
 
So uache mwanao apate tabu, basi usizae. Mbona mnakuwa wajinga sana? Baba ni Raisi ila mtoto sio Raisi; ana haki ya kujitafuta, hata kuwa mbunge.

Unafikiria tu awe na maslahi halafu ashindwe kuwapa wanawe, si atakuwa mjinga? Yule Mo mbona kamrithisha mwanae utajiri. Punguza chuki; tena kama wakiume, jiangalie sana.

Hizo mali hata wapewe, sidhani kama yanakuhusu kimtindo. Hao unaowataja unawajua watoto wao? Watoto wao walikuwa makada kabla ya wazazi wao kuwa wakubwa. Abdul ni mfanyabiashara miaka mingi sana.

Kama unaacha wanao wateseke, hauna akili nzuri. Basi Katiba ingeweka kwamba watoto wa kiongozi wasipewe nafasi. Huko kwenye Taasisi mnajaza, mkikosa ndugu mnaleta watu wa kabila lenu, then unakuja kuropoka ujinga hapa.

Tafuta kazi ya kufanya ujiimarishe kiakili. Utakuwa na fundo moyoni kwa jambo ambalo halikuhusu. Angalia riziki yako.
Una siku ngapi hujapata choo kikubwa..??Hakuna mwenye wivu hapa tunapigwa mbona mambo yapo wazi
 
​

View attachment 3455465View attachment 3455472​

​

View attachment 3455471View attachment 3455504​

View attachment 3455485View attachment 3455502View attachment 3455500​

​

Tangu uhuru wa Tanganyika na baadaye Tanzania, tumebarikiwa kuwa na marais sita waliopishana kwa mitindo ya uongozi na athari zao kwa jamii. Kwa mtazamo fulani, viongozi hawa wanaweza kuonekana katika makundi mawili tofauti.

Kundi la kwanza ni lile la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamin William Mkapa, na John Pombe Magufuli. Wote hawa, licha ya ukubwa wa hadhi yao, waliishi maisha yaliyoacha familia zao pembeni mwa siasa na mamlaka. Watoto wao hawakuibua mijadala mikubwa ya umma, jambo linaloweza kufasiriwa kama ishara ya udhu wa kiuongozi na uzalendo wa hali ya juu. Uongozi wao haukugeuzwa urithi wa kifamilia, bali ulizingatia zaidi urithi wa kitaifa.

Kundi la pili linahusisha Ali Hassan Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete, na Samia Suluhu Hassan. Katika enzi zao, taifa lilishuhudia upepo tofauti: uwepo wa familia katika majukwaa ya siasa na nafasi za umma. Si jambo geni kwa demokrasia kuona jamaa wa viongozi kushiriki kwenye utumishi wa umma, lakini hali hii pia huacha maswali ya tafakuri kuhusu mipaka ya mamlaka na nafasi ya urithi wa kisiasa. Kwa wengine, inaweza kuonekana kama sehemu ya mchango wa kifamilia kwa taifa; kwa wengine tena, kama ishara ya kulegea kwa viwango vya udhu na uwajibikaji wa kizalendo.

Kwa jumla, tofauti hizi huonyesha namna tafsiri ya uzalendo na udhu zinavyoweza kuchukua sura mbili: upande mmoja, kujitenga kwa familia na siasa; upande mwingine, ushiriki wa familia kama mwendelezo wa urithi wa kifamilia katika medani ya kitaifa.
Hatujawahi kupata kiongozi muislam mwenye akili
 
Back
Top Bottom