The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
- Thread starter
- #61
Nawe unasumbuliwa na uchawa na uzwazwa kwa kushabikia maangamizi ya taifa nyambaff kabisaUmaskini unakutesa , mpaka huruma ..Wazazi wako walikuwa wazembe sana.
Nawe unasumbuliwa na uchawa na uzwazwa kwa kushabikia maangamizi ya taifa nyambaff kabisaUmaskini unakutesa , mpaka huruma ..Wazazi wako walikuwa wazembe sana.
Wewe nae umetokea wapi? Au umekurupuka tu kutoka usingizini? Niliyemquote kisha elewa,Sijui kama ni kweli hapa kuna chuki ya kidini zaidi ya sifa za wahusika mwanangu. Embu soma tena vizuri uelimike na kuachana na visingizio vya udini na uduni
Naona UMEVURUGWA! Uzi huu umekugusaaa?So uache mwanao apate tabu, basi usizae. Mbona mnakuwa wajinga sana? Baba ni Raisi ila mtoto sio Raisi; ana haki ya kujitafuta, hata kuwa mbunge.
Unafikiria tu awe na maslahi halafu ashindwe kuwapa wanawe, si atakuwa mjinga? Yule Mo mbona kamrithisha mwanae utajiri. Punguza chuki; tena kama wakiume, jiangalie sana.
Hizo mali hata wapewe, sidhani kama yanakuhusu kimtindo. Hao unaowataja unawajua watoto wao? Watoto wao walikuwa makada kabla ya wazazi wao kuwa wakubwa. Abdul ni mfanyabiashara miaka mingi sana.
Kama unaacha wanao wateseke, hauna akili nzuri. Basi Katiba ingeweka kwamba watoto wa kiongozi wasipewe nafasi. Huko kwenye Taasisi mnajaza, mkikosa ndugu mnaleta watu wa kabila lenu, then unakuja kuropoka ujinga hapa.
Tafuta kazi ya kufanya ujiimarishe kiakili. Utakuwa na fundo moyoni kwa jambo ambalo halikuhusu. Angalia riziki yako.
Hii ni zaidi ya rimoti kuwa Msoga. Inawezekana hata DNA ziko huko huko!
Hakuna namna wangemuachia Tundu Lissu apambane na SAMIA. Wanajua uwezo wake ni mdogo.Kibaya zaidi ni kushirikiana na Rostam Aziz kumtesa Lisu na kuidhoofisha chadema
Nisamehe bure mwanangu. Kweli, niligutuka toka usingizini.Wewe nae umetokea wapi? Au umekurupuka tu kutoka usingizini? Niliyemquote kisha elewa,
Halafu unamwita mwanao nani hapa? Jifundishe kuheshimu watu kwanza kama unataka kuheshimiwa coz jf unapokelewa kama unavyokuja.
Kuna mtoto wa rais kapigwa 6 jera kwa kuuza ndege ya serikali, ungemuona wakati anatumbua hizo dolar miaka hiyo watetezi walikuwa kama wewe.So uache mwanao apate tabu, basi usizae. Mbona mnakuwa wajinga sana? Baba ni Raisi ila mtoto sio Raisi; ana haki ya kujitafuta, hata kuwa mbunge.
Unafikiria tu awe na maslahi halafu ashindwe kuwapa wanawe, si atakuwa mjinga? Yule Mo mbona kamrithisha mwanae utajiri. Punguza chuki; tena kama wakiume, jiangalie sana.
Hizo mali hata wapewe, sidhani kama yanakuhusu kimtindo. Hao unaowataja unawajua watoto wao? Watoto wao walikuwa makada kabla ya wazazi wao kuwa wakubwa. Abdul ni mfanyabiashara miaka mingi sana.
Kama unaacha wanao wateseke, hauna akili nzuri. Basi Katiba ingeweka kwamba watoto wa kiongozi wasipewe nafasi. Huko kwenye Taasisi mnajaza, mkikosa ndugu mnaleta watu wa kabila lenu, then unakuja kuropoka ujinga hapa.
Tafuta kazi ya kufanya ujiimarishe kiakili. Utakuwa na fundo moyoni kwa jambo ambalo halikuhusu. Angalia riziki yako.
Ikiletwa hoja ukumbini ukaona mtu amechomekea mambo ya dini situka jua huyo ni mtu maalumu kaja kwa makusudi kupunguza speed ya uzi na hao watu wapo humu kwa kazi hiyo na wanalipwa posho.Unasema tuweke dini pembeni wakati wewe ndio umeleta udini! kwahiyo hao watu uliowataja ndio wanauwakilisha uislamu,wanawakilisha waislamu wote sio?
Wagalatia wote ni wasafi sio? as i told you,tabia ya mtu haihusiani na dini yake wala kabila lake,kila jamii na kila dini ina watu wazuri na watu wabaya.
Bongo bahati mbaya ,haiwezi kutokeaKuna mtoto wa rais kapigwa 6 jera kwa kuuza ndege ya serikali, ungemuona wakati anatumbua hizo dolar miaka hiyo watetezi walikuwa kama wewe.
UnajidanganyNaona UMEVURUGWA! Uzi huu umekugusaaa?
Mo kamrithisha mwanae kampuni ambayo ni ya familia,sasa we pungasese unaleta mifano ya kufananisha nchi na kampuni wanakuswela?So uache mwanao apate tabu, basi usizae. Mbona mnakuwa wajinga sana? Baba ni Raisi ila mtoto sio Raisi; ana haki ya kujitafuta, hata kuwa mbunge.
Unafikiria tu awe na maslahi halafu ashindwe kuwapa wanawe, si atakuwa mjinga? Yule Mo mbona kamrithisha mwanae utajiri. Punguza chuki; tena kama wakiume, jiangalie sana.
Hizo mali hata wapewe, sidhani kama yanakuhusu kimtindo. Hao unaowataja unawajua watoto wao? Watoto wao walikuwa makada kabla ya wazazi wao kuwa wakubwa. Abdul ni mfanyabiashara miaka mingi sana.
Kama unaacha wanao wateseke, hauna akili nzuri. Basi Katiba ingeweka kwamba watoto wa kiongozi wasipewe nafasi. Huko kwenye Taasisi mnajaza, mkikosa ndugu mnaleta watu wa kabila lenu, then unakuja kuropoka ujinga hapa.
Tafuta kazi ya kufanya ujiimarishe kiakili. Utakuwa na fundo moyoni kwa jambo ambalo halikuhusu. Angalia riziki yako.
Pungasese baba yako mbwa weweMo kamrithisha mwanae kampuni ambayo ni ya familia,sasa we pungasese unaleta mifano ya kufananisha nchi na kampuni wanakuswela?
Acha masiriko paka mapepe, hunifikii hata kwa shilingi pumbavu wewe, unadhani mimi mlala hoi kama wewe paka shume, lione na lisura lake kama umelamba ndimu. Ww na kizazi chako mtakuwa machawa mpaka kwenye matako yenu nyau weeeHela
Zenu una nn ww mku,, unalipa kodi ww sanasana ukoo wako unasoma na kutibiwa bure vijijini huko kodi unalipa ww hyo vat unalipa ukinunua shat jipya tutokee hapa
Kabisaaa, yaan mijitu inanuka njaa sababu ya kusifia matumbo ya watu mxiuuu, mijitu ya pwani sijui ikojeNadhani ni utamaduni unaotokana na sehemu walizokulia. Pwani ni watu wavivu wanaopenda vya kuokota. Na jingine ni mila. Kama umesoma hadithi nyingi za uarabuni, utakuta kuna tendency ya watoto wa wafalme kufaidi kutokana na mafanikio ya baba zao na kuwa na jeuri kubwa.
Sijui hawaamini katika kiamaHatujawahi kupata kiongozi muislam mwenye akili
Hahahahahaha unawekwa!!Pungasese baba yako mbwa wewe