Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Achana na dhana ni mbaya sana ...Mkuu naona unfagilia sana DHAMBI ya nepotism/cronyism/patronage, and spoils system, kuna nchi zimeparaganyika kwa sababu ya hiyo dhambi, ni mbaya sana
Achana na dhana ni mbaya sana ...Mkuu naona unfagilia sana DHAMBI ya nepotism/cronyism/patronage, and spoils system, kuna nchi zimeparaganyika kwa sababu ya hiyo dhambi, ni mbaya sana
we ndyo unadhana mbaya sana, watoto na familia ya president wanaweza enyoy to the maximum bila hyo dhambi ya neoptismAchana na dhana ni mbaya sana ...
Tawire !!Huenda dingi wao mmoja
Mkuu jaribu kuangalia kwanini watoto wa marais hao watatu tu? nadhani tufanye utafiti wa kina kuna shida sehemu, mimi nawapenda sn waislam ni ndugu zangu na jirani zangu na siwezi kuwabagua hata kdg, hizi dini zililetwa na watu weupe wala huwa siziwazi sn.Umeona Mchengerwa na Mke wake wanapambana bungeni, Aweso na mke wake, Mwinyi na ndugu zake, kuna tatizo sehemu kiongozi tuweke dini pembeni tuangalie mzizi wa tatizoNyie makafiri mna chuki sana na waislamu,
Hamuwezi kujadili jambo bila kuingiza udini,
Chuki zenu hua mnashindwa kabisa kuzificha,
Mna fanya tuamini kua haya malalamiko yenu ni chuki ya udini tu na hakuna kingine,
Tamaa ni hulka ya kila Binadamu ambayo haihusiani na dini,gender,genetics,tribe,skin color na mengineyo.
Unasema tuweke dini pembeni wakati wewe ndio umeleta udini! kwahiyo hao watu uliowataja ndio wanauwakilisha uislamu,wanawakilisha waislamu wote sio?Mkuu jaribu kuangalia kwanini watoto wa marais hao watatu tu? nadhani tufanye utafiti wa kina kuna shida sehemu, mimi nawapenda sn waislam ni ndugu zangu na jirani zangu na siwezi kuwabagua hata kdg, hizi dini zililetwa na watu weupe wala huwa siziwazi sn.Umeona Mchengerwa na Mke wake wanapambana bungeni, Aweso na mke wake, Mwinyi na ndugu zake, kuna tatizo sehemu kiongozi tuweke dini pembeni tuangalie mzizi wa tatizo
Lakini dhana ni mbayawe ndyo unadhana mbaya sana, watoto na familia ya president wanaweza enyoy to the maximum bila hyo dhambi ya neoptism
Upo sahihi hata wakristo waovu akina Mwigulu Nchemba, Tulia tunao mkuu wala sikatai kabisaUnasema tuweke dini pembeni wakati wewe ndio umeleta udini! kwahiyo hao watu uliowataja ndio wanauwakilisha uislamu,wanawakilisha waislamu wote sio?
Wagalatia wote ni wasafi sio? as i told you,tabia ya mtu haihusiani na dini yake wala kabila lake,kila jamii na kila dini ina watu wazuri na watu wabaya.
Mtoto wa, Rais kuwa tajiri, sio, hoja,hoja anaupataje u tajiri huo, kwa Afrika kuna makando kando mengi, wizi, wa Mali ya umma, matumizi mabaya ya rasilimali, mzazi, anaiba mtoto anasimamia Mali za wizi,
View attachment 3455465View attachment 3455472
View attachment 3455471View attachment 3455504
View attachment 3455485View attachment 3455502View attachment 3455500
Tangu uhuru wa Tanganyika na baadaye Tanzania, tumebarikiwa kuwa na marais sita waliopishana kwa mitindo ya uongozi na athari zao kwa jamii. Kwa mtazamo fulani, viongozi hawa wanaweza kuonekana katika makundi mawili tofauti.
Kundi la kwanza ni lile la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamin William Mkapa, na John Pombe Magufuli. Wote hawa, licha ya ukubwa wa hadhi yao, waliishi maisha yaliyoacha familia zao pembeni mwa siasa na mamlaka. Watoto wao hawakuibua mijadala mikubwa ya umma, jambo linaloweza kufasiriwa kama ishara ya udhu wa kiuongozi na uzalendo wa hali ya juu. Uongozi wao haukugeuzwa urithi wa kifamilia, bali ulizingatia zaidi urithi wa kitaifa.
Kundi la pili linahusisha Ali Hassan Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete, na Samia Suluhu Hassan. Katika enzi zao, taifa lilishuhudia upepo tofauti: uwepo wa familia katika majukwaa ya siasa na nafasi za umma. Si jambo geni kwa demokrasia kuona jamaa wa viongozi kushiriki kwenye utumishi wa umma, lakini hali hii pia huacha maswali ya tafakuri kuhusu mipaka ya mamlaka na nafasi ya urithi wa kisiasa. Kwa wengine, inaweza kuonekana kama sehemu ya mchango wa kifamilia kwa taifa; kwa wengine tena, kama ishara ya kulegea kwa viwango vya udhu na uwajibikaji wa kizalendo.
Kwa jumla, tofauti hizi huonyesha namna tafsiri ya uzalendo na udhu zinavyoweza kuchukua sura mbili: upande mmoja, kujitenga kwa familia na siasa; upande mwingine, ushiriki wa familia kama mwendelezo wa urithi wa kifamilia katika medani ya kitaifa.
Wewe unaonekana umeshajikatia tamaa ya maisha,ndio maana una andika mavitu usioyaelewa,ndio maana unaingiza udini kwenye uzi ambao sio wa kidini coz huna unachokijua hapa Duniani zaidi ya kukaririshwa na mchungaji,ndio maana kumbe hua mnaitwa Kondoo,Mlishindwa kunijibu maswali yangu kuhusu uislamu ya daraja ya chini kabisa sasa ningekuja na maswali ya daraja ya juu si mnge mtukana wenyewe huyo mtume wenu feki ....unasemaje nachuki wakati ukweli upo wazi kabisa....tatizo lenu nyinyi ni kuzaliwa na dini za kurithi sisi wengine atukuraka kurithiswa dini tulitumia akili zetu vizuri ...ndiyo maana mimi hakuna mkristo wala muislamu wa kunitiisha kwenye upumbavu na upotovu wa mafundisho potovu na yakitapeli maana nazij7a dini vizuri na dini ya kweli ya mungu ni Ukristo ila siyo wa makanisani wala wa madhehebuni
😁😁😁Ngoja nq mimi nijigeuze Shekh ili nikamuombee Samia ulinzi wa majini ili wewe unipongeze na kuniona ni mwenye akili 😁😁😁😁 👉💩💩💩Wewe unaonekana umeshajikatia tamaa ya maisha,ndio maana una andika mavitu usioyaelewa,ndio maana unaingiza udini kwenye uzi ambao sio wa kidini coz huna unachokijua hapa Duniani zaidi ya kukaririshwa na mchungaji,ndio maana kumbe hua mnaitwa Kondoo,
Jana nilikupa maandiko,hukua na lakujibu zaidi ya kujiuma uma tu kama vile unatongozwa ili ukaliwe.
Basi anaongozwa na tamaa, angeweza kufanya biashara halali mbona angetajirika tuHuyu Abdul ni tapeli na mpiga dili mzuri sn
Uvivu na kupenda vya kuokota ndo msingi mkubwa wa ni kwanini hawa watu wajihusishe na dili za kuchota pesa za bure bure.Nadhani ni utamaduni unaotokana na sehemu walizokulia. Pwani ni watu wavivu wanaopenda vya kuokota. Na jingine ni mila. Kama umesoma hadithi nyingi za uarabuni, utakuta kuna tendency ya watoto wa wafalme kufaidi kutokana na mafanikio ya baba zao na kuwa na jeuri kubwa.
Uvivu na kupenda vya kuokota ndo msingi mkubwa wa ni kwanini hawa watu wajihusishe na dili za kuchota pesa za bure bure.Nadhani ni utamaduni unaotokana na sehemu walizokulia. Pwani ni watu wavivu wanaopenda vya kuokota. Na jingine ni mila. Kama umesoma hadithi nyingi za uarabuni, utakuta kuna tendency ya watoto wa wafalme kufaidi kutokana na mafanikio ya baba zao na kuwa na jeuri kubwa.
Huyu Abdul hakumfuata Lissu nyumbani kwake (Nyumbani kwa Lissu) alipelekwa na Hezekiel Wenje, je Wenje alibisha kuwa hakumpeleka Abdul kwa Lissu?....jibu ni HAPANA, ila alitaka kubadili jinsi ya presentation kuwa alienda kumsalimia?, hapo haijulikani. Lakini aliyefuatwa aliweka wazi sababu za kumfuata......Bado watanzania wenye uwezo mdogo wa kufikiri watasema Abdul hakwenda nyumbani kwa Lissu.......Angekuwa ni Freeman Mbowe angenyamaza kimya baada ya kuchukua mshiko wake.......Lissu ni tofauti, mtu anapigwa risasi moja ya mguu anakufa, Lissu kapigwa 17 na moja anadunda nayo kila mahali.....Hiyo ni Mungu tu, ashukuriwe.......It is a miracle. Lissu siku zote ni mkweli, hafichi. Kwanini Bi Chura Kiziwi alimwita Simba? Mbona Mbowe hakuitwa hata jina la CHUI?Kibaya zaidi ni kushirikiana na Rostam Aziz kumtesa Lisu na kuidhoofisha chadema
Marafiki zake ni akina Rosta na majangili mengine ya mali za ummaBasi anaongozwa na tamaa, angeweza kufanya biashara halali mbona angetajirika tu