Wanaohoji utajiri wa Abduli mama wanapaswa kufikiri nje ya box

Wewe fala acha kufuatilia watu ,walaumu waliokuzaa walikuwa kajamba8.
 
Wewe ndiyo una njaa kujipendekeza kwa Abdul kwa kutoa mifano ya Watoto wengine ambao hawana madili michongo kama ya Abdul, wewe fanya uchawa wako wote lakini wambie waache kuwaonea kuwanyanyasa kuwateka kuwabambikia kesi za uongo chadema
Umaskini unakudhalilisha ,tafuta kazi sio kufuatilia watu ...
 
Acha wivu,fikra potofu hivi ww hapo ulipo hupendi mwanao awe na maisha mazuri halafu ww una chembechembe za udini
 

YAANI UNASOMA UZI, ILA UNANG'ATA MENO. UNAPATA MAUMIVU YAKIPITA KWENYE MISHIPA YA DAMU.
 
Mbona hatuhoji utajiri wa Jesca, hao wanamacho juu juu wanadhani sisi ni mamburura wanatuibia hela zetu, Ridhiwan alikmatwa china na madawa ya kulevya lakini bado anatuibia hela zetuu, abdul mama ni mwizi mikataba yotee lazima aionee Abdul
 
Hili jamaa kumbe ni zero kabisa!?
 
Hiv wewe na akina Zitto kabwa ni wanafiki sana.Wakati wa Magufuri aliteua baadhi ya watu amabo ni kabila lake tu kwenye nafasi za kawaida mkaita ni Sukuma Gang lakini Waismau wapena vyeo watoto wao Hadi familia mnasema hakuna shida.Huu ni upuuzi
 
Abdul amefanana sana na Ridhwani Kikwete
 
Huyu Abdul ni tapeli na mpiga dili mzuri sn
 
Nyie ndio mnaokaa lile jumba la masaki alilosema mstaafu wa Cuba?endeleni kuchekelea wenzeni wanaendesha ma lamboghini nyinyi hata bodaboda hamna
 
Alafu wewe ni kapuku tu hapo ngamiani sokoni
 
Umemaliza makazini wanangaliana kichogo anawekwa kutoka simiyu mara wetu anatoka ushirombo mbona hamkemei kama ofisini mmejazana kimakabila na kidini unaleta uharo hapa
 
Mbona hatuhoji utajiri wa Jesca, hao wanamacho juu juu wanadhani sisi ni mamburura wanatuibia hela zetu, Ridhiwan alikmatwa china na madawa ya kulevya lakini bado anatuibia hela zetuu, abdul mama ni mwizi mikataba yotee lazima aionee Abdul
Hela
Zenu una nn ww mku,, unalipa kodi ww sanasana ukoo wako unasoma na kutibiwa bure vijijini huko kodi unalipa ww hyo vat unalipa ukinunua shat jipya tutokee hapa
 
Umetumwa, unajituma, au uchawa tu? Sijui kama imesoma na kuambua kitu. Kwani ni mara ya kwanza kuwa na Rais?
Nadhani ni utamaduni unaotokana na sehemu walizokulia. Pwani ni watu wavivu wanaopenda vya kuokota. Na jingine ni mila. Kama umesoma hadithi nyingi za uarabuni, utakuta kuna tendency ya watoto wa wafalme kufaidi kutokana na mafanikio ya baba zao na kuwa na jeuri kubwa.
 
Mkuu naona unfagilia sana DHAMBI ya nepotism/cronyism/patronage, and spoils system, kuna nchi zimeparaganyika kwa sababu ya hiyo dhambi, ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…