Wanaohoji utajiri wa Abduli mama wanapaswa kufikiri nje ya box

Mkuu jaribu kuangalia kwanini watoto wa marais hao watatu tu? nadhani tufanye utafiti wa kina kuna shida sehemu, mimi nawapenda sn waislam ni ndugu zangu na jirani zangu na siwezi kuwabagua hata kdg, hizi dini zililetwa na watu weupe wala huwa siziwazi sn.Umeona Mchengerwa na Mke wake wanapambana bungeni, Aweso na mke wake, Mwinyi na ndugu zake, kuna tatizo sehemu kiongozi tuweke dini pembeni tuangalie mzizi wa tatizo
 
Unasema tuweke dini pembeni wakati wewe ndio umeleta udini! kwahiyo hao watu uliowataja ndio wanauwakilisha uislamu,wanawakilisha waislamu wote sio?

Wagalatia wote ni wasafi sio? as i told you,tabia ya mtu haihusiani na dini yake wala kabila lake,kila jamii na kila dini ina watu wazuri na watu wabaya.
 
Upo sahihi hata wakristo waovu akina Mwigulu Nchemba, Tulia tunao mkuu wala sikatai kabisa
 
Mtoto wa, Rais kuwa tajiri, sio, hoja,hoja anaupataje u tajiri huo, kwa Afrika kuna makando kando mengi, wizi, wa Mali ya umma, matumizi mabaya ya rasilimali, mzazi, anaiba mtoto anasimamia Mali za wizi,
Hunter Biden mtoto wa Joe Biden, ni, tajiri haswa,anasimamia biashara za, dingi yake, anafanya biashara ya mafuta, siraha nzito za kivita na nchi za, ulaya, wakati Biden ni rais, familia ya Biden ilitumia fulsa ya kuwa ikulu kuzilazimisha nchi za ulaya mashariki zinunue siraha kutoka kampuni yao ya familia, zikikataa, USA, itakata misaada,
Kwa ufupi Biden alitumia urais wake, taasisi ya urais kufanya deals binafsi.
Huku kwetu ndio balaa,
Hap,watoto wa kikwete, mwinyi, mkapa, samia sio, kwamba wana akili saaana, za, kibiashara ndio wamefika hapo,familia zao zimekusanya ukwasi kwa wizi, wa, Mali ya umma.
 
Wewe unaonekana umeshajikatia tamaa ya maisha,ndio maana una andika mavitu usioyaelewa,ndio maana unaingiza udini kwenye uzi ambao sio wa kidini coz huna unachokijua hapa Duniani zaidi ya kukaririshwa na mchungaji,ndio maana kumbe hua mnaitwa Kondoo,

Jana nilikupa maandiko,hukua na lakujibu zaidi ya kujiuma uma tu kama vile unatongozwa ili ukaliwe.
 
😁😁😁Ngoja nq mimi nijigeuze Shekh ili nikamuombee Samia ulinzi wa majini ili wewe unipongeze na kuniona ni mwenye akili 😁😁😁😁 πŸ‘‰πŸ’©πŸ’©πŸ’©
 
Uvivu na kupenda vya kuokota ndo msingi mkubwa wa ni kwanini hawa watu wajihusishe na dili za kuchota pesa za bure bure.

Mi naamini wangeweza kutajirika kwa dili halali ila hawana msukumo wa kufanya hivyo kwasababu ya asili ya uvivu na kutokutaka kusumbua bongo zao, kwao vya kuokota na burebure ni vitamu zaidi.
 
Uvivu na kupenda vya kuokota ndo msingi mkubwa wa ni kwanini hawa watu wajihusishe na dili za kuchota pesa za bure bure.

Mi naamini wangeweza kutajirika kwa dili halali ila hawana msukumo wa kufanya hivyo kwasababu ya asili ya uvivu na kutokutaka kusumbua bongo zao, kwao vya kuokota na burebure ni vitamu zaidi.
 
Kibaya zaidi ni kushirikiana na Rostam Aziz kumtesa Lisu na kuidhoofisha chadema
Huyu Abdul hakumfuata Lissu nyumbani kwake (Nyumbani kwa Lissu) alipelekwa na Hezekiel Wenje, je Wenje alibisha kuwa hakumpeleka Abdul kwa Lissu?....jibu ni HAPANA, ila alitaka kubadili jinsi ya presentation kuwa alienda kumsalimia?, hapo haijulikani. Lakini aliyefuatwa aliweka wazi sababu za kumfuata......Bado watanzania wenye uwezo mdogo wa kufikiri watasema Abdul hakwenda nyumbani kwa Lissu.......Angekuwa ni Freeman Mbowe angenyamaza kimya baada ya kuchukua mshiko wake.......Lissu ni tofauti, mtu anapigwa risasi moja ya mguu anakufa, Lissu kapigwa 17 na moja anadunda nayo kila mahali.....Hiyo ni Mungu tu, ashukuriwe.......It is a miracle. Lissu siku zote ni mkweli, hafichi. Kwanini Bi Chura Kiziwi alimwita Simba? Mbona Mbowe hakuitwa hata jina la CHUI?
Kwa jinsi huyu mama, Chura Kiziwi anavyoendesha nchi, ataifanya kama IRAQ au Libya, watoto wa marais ndiyo wana-run shows.......Angalia Qusay na Uday waliyokuwa wakifanya huko IRAQ au Seif Ghadaffi alivyokuwa akifanya huko Libya?
Tusifikie, lakini kwa sababu ya watanzania kuendelea kutetea ujinga kwa sababu ya tumbo (Kulipwa fedha), sitashangaa nchi yetu ikiendelea kuwa ya ovyo.Tunaendelea kuwindana kama swala au impala wakati wanaofaidika na keki ya taifa ni watoto wa wakubwa. AMKENI WATANZANIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…