Wanaohoji utajiri wa Abduli mama wanapaswa kufikiri nje ya box

Kuna utajiri wa aina mbili - utajiri halali na ule wa kutumia wizi, utapeli, ubaddhirifu, ufisadi, udanganyifu, utumiaji mbaya wa cheo na ukwepaji kodi
Sasa hawa mamailionea wetu ni wa aina gani? SUALI
 
Sijui kama ni kweli hapa kuna chuki ya kidini zaidi ya sifa za wahusika mwanangu. Embu soma tena vizuri uelimike na kuachana na visingizio vya udini na uduni
Wewe nae umetokea wapi? Au umekurupuka tu kutoka usingizini? Niliyemquote kisha elewa,

Halafu unamwita mwanao nani hapa? Jifundishe kuheshimu watu kwanza kama unataka kuheshimiwa coz jf unapokelewa kama unavyokuja.
 
Naona UMEVURUGWA! Uzi huu umekugusaaa?
 
Kibaya zaidi ni kushirikiana na Rostam Aziz kumtesa Lisu na kuidhoofisha chadema
Hakuna namna wangemuachia Tundu Lissu apambane na SAMIA. Wanajua uwezo wake ni mdogo.
Jana nasikia hotuba yenyewe alishindwa kusoma!
 
Wewe nae umetokea wapi? Au umekurupuka tu kutoka usingizini? Niliyemquote kisha elewa,

Halafu unamwita mwanao nani hapa? Jifundishe kuheshimu watu kwanza kama unataka kuheshimiwa coz jf unapokelewa kama unavyokuja.
Nisamehe bure mwanangu. Kweli, niligutuka toka usingizini.
 
kwahiyo ile hela baada ya lisu kuikataa dogo kapita show room kavuta ndinga,
 
Kuna mtoto wa rais kapigwa 6 jera kwa kuuza ndege ya serikali, ungemuona wakati anatumbua hizo dolar miaka hiyo watetezi walikuwa kama wewe.
 
Ikiletwa hoja ukumbini ukaona mtu amechomekea mambo ya dini situka jua huyo ni mtu maalumu kaja kwa makusudi kupunguza speed ya uzi na hao watu wapo humu kwa kazi hiyo na wanalipwa posho.
 
Kuna mtoto wa rais kapigwa 6 jera kwa kuuza ndege ya serikali, ungemuona wakati anatumbua hizo dolar miaka hiyo watetezi walikuwa kama wewe.
Bongo bahati mbaya ,haiwezi kutokea
 
Mo kamrithisha mwanae kampuni ambayo ni ya familia,sasa we pungasese unaleta mifano ya kufananisha nchi na kampuni wanakuswela?
 
Hela
Zenu una nn ww mku,, unalipa kodi ww sanasana ukoo wako unasoma na kutibiwa bure vijijini huko kodi unalipa ww hyo vat unalipa ukinunua shat jipya tutokee hapa
Acha masiriko paka mapepe, hunifikii hata kwa shilingi pumbavu wewe, unadhani mimi mlala hoi kama wewe paka shume, lione na lisura lake kama umelamba ndimu. Ww na kizazi chako mtakuwa machawa mpaka kwenye matako yenu nyau weee
 
Kabisaaa, yaan mijitu inanuka njaa sababu ya kusifia matumbo ya watu mxiuuu, mijitu ya pwani sijui ikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…