Hii ni dharau ya Hali ya juu!!Tuombe Mungu aingilie kati
Weka hapa kwanza ushahidi wa kweli wa hizo kura unazosema zimeibiwa.Lucas mwashambwa karibu pia.
Umefunga Lucas kwaresma?Weka hapa kwanza ushahidi wa kweli wa hizo kura unazosema zimeibiwa.
Unajaribu kusema wao Hawajafunga kwaresma Wala Ramadhan?Wezi wa Kura ni Mashetani wa CCM.
Wewe mwenyewe mwizi wa kuraWeka hapa kwanza ushahidi wa kweli wa hizo kura unazosema zimeibiwa.
Dini zinatumika tu kuwatawala walalahoi!Salaam, Shalom!!
DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo, waislamu na wakatoliki...
🙏🏼Dini zinatumika tu kuwatawala walalahoi!
Lakini linapokuja swala la dola dini hurudi katika uduni wake kwamba sio chombo Cha Mungu bali wanadamu kuwatawala wanyonge!!
Unalijua saumu wewe,Do they care?
Ndo maana nimeuliza wanajali?Unalijua saumu wewe,
Uliwahi KUFUNGA hata Kwa masaa SITA tu?
Ni makobe kwahiyo!!Ndo maana nimeuliza wanajali?
Weka hapa kwanza ushahidi wa kweli wa hizo kura unazosema zimeibiwa.
Swaumu ya kula daku saa Saba au name,au kumi,njaa utaanza kuhisi saa kumi na Moja jioni,coz wanapokula wengi wao hulala Tena,that means digestion zero ! digestion itaanza saa mbili au tatu asubuhi Hadi saa Saba au nane!!Unalijua saumu wewe,
Uliwahi KUFUNGA hata Kwa masaa SITA tu?