Wanaoiba kura tukiwa katikati ya mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni akina nani?

Wanaoiba kura tukiwa katikati ya mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni akina nani?

Kwa afrika ni wakati muhimu wa kuludisha tamaduni zetu nzuri ,na kuachana na imani za kufikirika za kizungu na kiaarabu ambazo matokeyo hayaonekani .

Ndiyo maana imani hizi haziheshimiwi tofauti na tamaduni zetu za kiafrika tulizo zisaliti

Ilikiwa watu wakienda kinyume kwenye jamii wanaadhibiwa na hawaludi tena.
 
Dini ni imani moja dhaifu sana isiyo na Nguvu kabisa.

Mtu katoka kuua jana na leo anaapa kashika Msahafu na wala huo Msahafu haumfanyi kitu
😂
Kumbe imethibitika, dini na Imani, ni vitu viwili tofauti.
 
Kwahiyo mkaona muibe wakati wa mfungo!!
Mwanadamu anatakiwa kuwa mbali na uovu wakati wote. Iwe mfungo au siku za kawaida. Hakuna wakati wowote ule ambao Mungu huruhusu uovu.
Unanikosea sana unapoandika tukaona tuibe wakati wa mfungo.
Tafadhali usinihusishe na ujinga.
 
Dini ni imani moja dhaifu sana isiyo na Nguvu kabisa.

Mtu katoka kuua jana na leo anaapa kashika Msahafu na wala huo Msahafu haumfanyi kitu
😂
Kabisa, yaani nikiona mtu anapata madaraka kwa uhuni, kisha anajifanya mcha Mungu huwa namuona ni bonge la tapeli.
 
Salaam, Shalom!!

DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki,

Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake,

Swali LANGU, Hawa wanaoiba kura kipindi hiki wanazo dini?
Au wana dini ila Hawajafunga?

Nauliza tena, waliofanya haya, ni ATHEIST kina Kiranga ?

Ombi: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi jitafakari.

Karibuni[emoji120]
Hakuna kiongozi wa CCM anajali ukubwa wa dhambi.
 
Ni muhimu kujua kwamba hakuna wakati ambao tunaruhusiwa na Mungu kufanya dhambi/uovu na mwingine haturuhusiwi.
Hivyo ni ujinga au unafiki kujifanya watakatifu wakati wa kufunga tu.
Pili, mtu muovu ni muovu tu hata kama ni muumini asiyekosa kanisani au msikitini.
Tatu, waovu wengi hutumia dini kama kichaka cha kujificha.
Na huo ndio ukweli wenyewe !
🙏🙏
 
Salaam, Shalom!!

DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki,

Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake,

Swali LANGU, Hawa wanaoiba kura kipindi hiki wanazo dini?
Au wana dini ila Hawajafunga?

Nauliza tena, waliofanya haya, ni ATHEIST kina Kiranga ?

Ombi: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi jitafakari.

Karibuni[emoji120]
CHAMA TAWALA
 
Back
Top Bottom