Wanaoiba kura tukiwa katikati ya mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni akina nani?

Kwa afrika ni wakati muhimu wa kuludisha tamaduni zetu nzuri ,na kuachana na imani za kufikirika za kizungu na kiaarabu ambazo matokeyo hayaonekani .

Ndiyo maana imani hizi haziheshimiwi tofauti na tamaduni zetu za kiafrika tulizo zisaliti


Ilikiwa watu wakienda kinyume kwenye jamii wanaadhibiwa na hawaludi tena.
 
Dini ni imani moja dhaifu sana isiyo na Nguvu kabisa.

Mtu katoka kuua jana na leo anaapa kashika Msahafu na wala huo Msahafu haumfanyi kitu
πŸ˜‚
Kumbe imethibitika, dini na Imani, ni vitu viwili tofauti.
 
Kwahiyo mkaona muibe wakati wa mfungo!!
Mwanadamu anatakiwa kuwa mbali na uovu wakati wote. Iwe mfungo au siku za kawaida. Hakuna wakati wowote ule ambao Mungu huruhusu uovu.
Unanikosea sana unapoandika tukaona tuibe wakati wa mfungo.
Tafadhali usinihusishe na ujinga.
 
Dini ni imani moja dhaifu sana isiyo na Nguvu kabisa.

Mtu katoka kuua jana na leo anaapa kashika Msahafu na wala huo Msahafu haumfanyi kitu
πŸ˜‚
Kabisa, yaani nikiona mtu anapata madaraka kwa uhuni, kisha anajifanya mcha Mungu huwa namuona ni bonge la tapeli.
 
Hakuna kiongozi wa CCM anajali ukubwa wa dhambi.
 
Na huo ndio ukweli wenyewe !
πŸ™πŸ™
 
CHAMA TAWALA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…