Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
 
Pale unapofikiria kwa makalio...wasambaa ndo matajiri Tanga na Wana elimu Tanga fuatilia wakina professor Riziki Shemdoe, Kijazi marehemu, Shekilango mpaka ana mtaa hapa Sinza. Wasambaa ndo advanced na wachapakazi hata kwa sura nzuri na interaction na wazungu wapo.

Kama unabisha fuatilia watu wengi Serikalini kwa wanaotoka Tanga ni kabila gani hayo majina ya "She" yapo kibao na ni wachapakazi .

Soko la Mgandini ni wasambaa ,kule chuma na Ngamiani ... Tajiri kama Shehoza ni msambaa ni wachache sana kwa umaskini Wasambaa. Nilikaa hapo ukienda pale 15 ni wafanyabiashara wakubwa.

Nenda mpaka Arusha ,Dar, Moshi kaone balaa la wasambaa ..

Wadigo ujuaji mwingi kujua kiswahili wanajifanya wanajua kila kitu.
 
Pale unapofikiria kwa makalio...wasambaa ndo matajiri Tanga na Wana elimu Tanga fuatilia wakina professor riziki shemdoe, kijazi marehemu...
Wadigo watani zangu kama watani zangu wengine wazaramo.
 
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Hao wadigo na wabondei ndo wale washinda vibarazani na wacheza bao na wanawake wao wavaa vijora na kwenda kwenye visherehe ila wasambaa ndo watu wa kazi na wainua uchumi wa Tanga
 
Kwanza hao wadigo tushawahamisha mjini tumenunua maeneo yao yote! Wako porini kabisa huko..na hata huko tunawasogeza taratibu kwa kununua mashamba! Wadigo ni mamwinyi sana..wewe njoo hapa Tanga mjini halafu uliza nani wenye vitega uchumi vya hapa ndio utajua nani wamekamata uchumi wa Tanga..
 
Wasambaa accent yao ni kama "Mkoloni wa Wagosi wa kaya"

Wadigo Accent yao ni Kama "Dr John wa wagosi wa kaya"

Accent ya Wabondei na wazigua?
 
Back
Top Bottom