Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa ushahidi huu hapaKibaya zaidi hata wanawake wa kidigo wanaolewA sana na vijsna wa kisambaa kwa sababu ni wachacharikaji.Muda si mrefu kabila ls wadigo litapotea.Sasa hv wasambaa wameingia mpaka baharini.Vijana wengi wa kidigo wanalelewa na wazazi wao hawajitumi.
Kuna mdogo wangu anaitwa GENTAMYCINE! Ametibiwa mara kadhaa hapo Lutindi, mambo yameshindikana kabisa. Kwa sasa tumemhamishia Mirembe Dodoma.
WAVIVU WA TAWazigua?
wanaibeba tanga kwa lipi?Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
kufanya kazi sio ushamba ndio kusema ujaja ni kuchoma chapati na vitumbua kwa kina mama wa kidigo waume kushinda vibarazani?Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Huyo wala Tanga haijui anajiropokea tu au anasumbuliwa na wivu wa kimasikiniwanaibeba tanga kwa lipi?
kiswahili chenyewe hawakijuiPale unapofikiria kwa makalio...wasambaa ndo matajiri Tanga na Wana elimu Tanga fuatilia wakina professor Riziki Shemdoe, Kijazi marehemu, Shekilango mpaka ana mtaa hapa Sinza. Wasambaa ndo advanced na wachapakazi hata kwa sura nzuri na interaction na wazungu wapo.
Kama unabisha fuatilia watu wengi Serikalini kwa wanaotoka Tanga ni kabila gani hayo majina ya "She" yapo kibao na ni wachapakazi .
Soko la Mgandini ni wasambaa ,kule chuma na Ngamiani ... Tajiri kama Shehoza ni msambaa ni wachache sana kwa umaskini Wasambaa. Nilikaa hapo ukienda pale 15 ni wafanyabiashara wakubwa.
Nenda mpaka Arusha ,Dar, Moshi kaone balaa la wasambaa ..
Wadigo ujuaji mwingi kujua kiswahili wanajifanya wanajua kila kitu.