Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

Nahisi ndio wenye milima tanga nzima [emoji3] ile milima ya usambaa
Na ndiko asili yetu iliko. Ukimuona Msambaa maeneo ya bondeni, basi ujue ameenda kutafuta. Ila maisha yake ya kudumu yeye na vizazi vyake, ni kwenye Milima ya Usambaa.
 
Wasegeju mbona hamuwataji jamani.
... pia kuna kundi kubwa la wamasai na wasonjo waliohamishiwa Tanga kutoka Ngorongoro hivi karibuni. Hawa ni chachu wataibadilisha sana Tanga in 10 yrs.
 
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Wewe ndiyo hujui kitu kuhusu Tanga,nenda Lushoto uone hakuna mtu anaishi kwenye nyumba ya mbavu za mbwa na kuezekwa kwa nyasi. Niambie kuna tajiri gani wa Kidigo au mbondei hapo Tanga? Wasambaa ndiyo wanashindana na waarabu na wachaga kwenye biashara kubwa kubwa kama katika sekta ya usafiri nk. Wabondei ni wapenda sifa tu lakini huko kwao ni choka mbaya na wadigo ni mamwinyi tu.
 
Ukisema unatoka Tanga watu wanajua huyu ni msambaa,wasambaa tuko vizuri wakina Msagati
Wasambaa ndiyo kabila kubwa katika mkoa wa Yanga,wapo kuanzia Lushoto,Korogwe,Muheza,Mkinga na Tanga mjini. Wasambaa ni Taifa Kubwa hapa Tanga
 
Wazigua huwa waganga waganga issue zao wao tunguli tu, na kule uziguani kila nyumba ina mganga..
Kijiji kinaongoza kwa idadi kubwa ya waganga wa kienyeji ni Kwamsisi,kila baada ya nyumba mbili ya tatu mganga.
 
Wasambaa wale, huoni walivyo
Yaelekea una chuki sana na Wasambaa,ila haitaondoa umasikini wa kabila lako mnaishi kwenye nyumba za mbavu za mbwa na kuezekwa kwa nyasi. Nyie kabila lenu wavivu,washirikina,wapenda ngono uzembe na hamkusoma ndiyo maana unawaonea wivu Wasambaa Taifa Kubwa. Pole sana kwa umasikini wa akili na mali.
 
Attachments

  • FB_IMG_1636177105560.jpg
    FB_IMG_1636177105560.jpg
    11.5 KB · Views: 18
  • FB_IMG_1645716447004.jpg
    FB_IMG_1645716447004.jpg
    69.6 KB · Views: 19
  • FB_IMG_1636177112949.jpg
    FB_IMG_1636177112949.jpg
    26.1 KB · Views: 17
  • FB_IMG_1636177105560.jpg
    FB_IMG_1636177105560.jpg
    11.5 KB · Views: 18
Tanga kuna wasambaa, wazigua, wabondei, wadigo na kadhalika sasa kati yao wanaoongoza kwa upambanaji ni wasambaa, sawa na uende kigoma utakuta kuna wagoma, wamanyema, wabembe, waha kabila la wapambanaji hapo ni waha, Ruvuma utakuta wangoni, wamatengo, wandendeule, wamanda, wanyasa lakini kabila la wapambanaji kule ni wamatengo ndio matajiri japo wangoni hubeba jina na utambulisho wa mkoa, ukifika mbeya utakuta wasafa, wanyakyusa, wandali, wamalila, wanyamwanga, lakini kabila la wanyakyusa hubeba jina la mkoa japo wasafa wenyeji wapo
Wewe ni mgosi wa ndima ahsante
 
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Swadakta
 
Pale unapofikiria kwa makalio...wasambaa ndo matajiri Tanga na Wana elimu Tanga fuatilia wakina professor Riziki Shemdoe, Kijazi marehemu, Shekilango mpaka ana mtaa hapa Sinza. Wasambaa ndo advanced na wachapakazi hata kwa sura nzuri na interaction na wazungu wapo.

Kama unabisha fuatilia watu wengi Serikalini kwa wanaotoka Tanga ni kabila gani hayo majina ya "She" yapo kibao na ni wachapakazi .

Soko la Mgandini ni wasambaa ,kule chuma na Ngamiani ... Tajiri kama Shehoza ni msambaa ni wachache sana kwa umaskini Wasambaa. Nilikaa hapo ukienda pale 15 ni wafanyabiashara wakubwa.

Nenda mpaka Arusha ,Dar, Moshi kaone balaa la wasambaa ..

Wadigo ujuaji mwingi kujua kiswahili wanajifanya wanajua kila kitu.
Hao sheehe sheehe sheehe hata sheetani ndugu yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna wale wanafanana na wa kwere sijui ndio wazigua!? Msiba mtupu
 
Hao sheehe sheehe sheehe hata sheetani ndugu yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nyie kazi yenu kulewa hadi wanaume wanashindwa tendo la ndoa mnasaidiwa na hawa Wasambaa na wakamba kutoka Kenya,usikute hata wewe ni Msambaa huyu Mzee Mushi kabambikiwa tu chezea Msambaa wewe.
 
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
sanalii hivi Wasambaa wamekufanya nini [emoji23]
 
Pale unapofikiria kwa makalio...wasambaa ndo matajiri Tanga na Wana elimu Tanga fuatilia wakina professor Riziki Shemdoe, Kijazi marehemu, Shekilango mpaka ana mtaa hapa Sinza. Wasambaa ndo advanced na wachapakazi hata kwa sura nzuri na interaction na wazungu wapo.

Kama unabisha fuatilia watu wengi Serikalini kwa wanaotoka Tanga ni kabila gani hayo majina ya "She" yapo kibao na ni wachapakazi .

Soko la Mgandini ni wasambaa ,kule chuma na Ngamiani ... Tajiri kama Shehoza ni msambaa ni wachache sana kwa umaskini Wasambaa. Nilikaa hapo ukienda pale 15 ni wafanyabiashara wakubwa.

Nenda mpaka Arusha ,Dar, Moshi kaone balaa la wasambaa ..

Wadigo ujuaji mwingi kujua kiswahili wanajifanya wanajua kila kitu.
Hivyi Wadigo si ndio wale ambao akiona mto umefurika anarusha rungu lake akiona limevuka mto anaona na yeye anaweza vuka huo mto matokeo yake anasombwa na maji?
Anyway ni utani tu nimechukia baada ya kuona wasambaa wameshushwa hadhi
 
Back
Top Bottom