Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu

Ni kweli wasambaa wameji define walivyo ushahidi ni babu wa asali toka bumbuli
Hao wengine ukweli ni kwamba tabia yao weka n kati ya i na g
 
Nenda Tamota, nenda Bungu, nenda Sheshui, Nenda Ambangulu, nenda Lutindi, nenda Kwemshai, nenda Kemagoda, nenda Kunga, Kushoto, nenda Irente, Soni, nenda Dakarani, nenda ..... Usambaani kote kaone watu wa kazi wanavyozalisha.

Kakae Mombo na Korogwe uone jinsi makenta yanavyoshusha bidhaa toka Usambaani. Halafu urudi tena na thread yako hii.
Zumbe umshambaa kaibu lutindi
 
Wasambaa ndo kabila ambalo Lina wanawakee wanaongoza kwa kuolewa hawachagui mume Wala kabila Bora mtu kafata talatibu zao ata Mimi Niko mbioni kuoa msambaa wa rushoto
 
Wasambaa ndo kabila ambalo Lina wanawakee wanaongoza kwa kuolewa hawachagui mume Wala kabila Bora mtu kafata talatibu zao ata Mimi Niko mbioni kuoa msambaa wa rushoto
Mkuu una mawazo kama yangu,kile kuna vibinti vyeupe ee vina adabu na vichapakazi aswaa,nakosa tu pakuanzia ila wanawake walushoto ni wife material
 
Nenda Tamota, nenda Bungu, nenda Sheshui, Nenda Ambangulu, nenda Lutindi, nenda Kwemshai, nenda Kemagoda, nenda Kunga, Kushoto, nenda Irente, Soni, nenda Dakarani, nenda ..... Usambaani kote kaone watu wa kazi wanavyozalisha.

Kakae Mombo na Korogwe uone jinsi makenta yanavyoshusha bidhaa toka Usambaani. Halafu urudi tena na thread yako hii.
Hivi Hawa wasambaa sindio wamepakana na wapare wa same
 
Hivi Makamba family ni kabila gani kati ya hao?
 
Pale unapofikiria kwa makalio...wasambaa ndo matajiri Tanga na Wana elimu Tanga fuatilia wakina professor Riziki Shemdoe, Kijazi marehemu, Shekilango mpaka ana mtaa hapa Sinza. Wasambaa ndo advanced na wachapakazi hata kwa sura nzuri na interaction na wazungu wapo.

Kama unabisha fuatilia watu wengi Serikalini kwa wanaotoka Tanga ni kabila gani hayo majina ya "She" yapo kibao na ni wachapakazi .

Soko la Mgandini ni wasambaa ,kule chuma na Ngamiani ... Tajiri kama Shehoza ni msambaa ni wachache sana kwa umaskini Wasambaa. Nilikaa hapo ukienda pale 15 ni wafanyabiashara wakubwa.

Nenda mpaka Arusha ,Dar, Moshi kaone balaa la wasambaa ..

Wadigo ujuaji mwingi kujua kiswahili wanajifanya wanajua kila kitu.
Nahisi ndio wenye milima tanga nzima [emoji3] ile milima ya usambaa
 
Wadigo wamechanganyikiwa maana Tanga yote ni Wasambaa 2025 madiwani wote tutachagua wasambaa ili mchanganyikiwe zaidi.Ss sio wavivu kama nyie.
 
Wadigo wamechanganyikiwa maana Tanga yote ni Wasambaa 2025 madiwani wote tutachagua wasambaa ili mchanganyikiwe zaidi.Ss sio wavivu kama nyie.

Wadigo wanawaita washamba ninyi komaeni tu mdogomdogo mmeshawashika hawana ujanja
 
Hata hata humu JF wasambaa tuko wengi na huyu mdigo mmoja tunaemlea halafu anatukashifu
 
Hivi Kuna mdigo profesa au hata daktari bingwa au hata afisa wa jeshi mwenye cheo Cha kanali?
Tangu dunia iumbwe kumesha wahi kua na waziri mdigo?
 
Mimi msambaa na napenda kazi balaa na ni sababu kwetu usambaani tumefundwa kazi tena mtu mvivu ananichoshaa
 
Back
Top Bottom