Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

Identity ya Tanga ni wasambaa, hao wadigo na wabondei wao kazi yao ni kucheza bao na draft..Msambaa popote utakapomkuta anasifika kwakuchapa kazi, hata kwa elimu hakuna kabila lolote Tanga lililowazidi wasambaa, hata kisiasa Wasambaa ndo wanaongoza kwakutoa mawaziri wengi
 
Na kweli aisee, kumbe ndio maana umeme ni shida kumbe ni mgosiiiii ndio deeva 🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanaobeba wadigo na wabondei Ni wanawake wao kwa zile tabia zao za kuwashangaza wanaume toka bara. Mfano.
Mwanamme kubebwa mpaka chooni au bafuni na kuogeshwa huku pumb zikiwa zimewekwa kwenye kisahani.
Tabia ya Hawa wanawake kuto omba pesa hata Kama kampikia mpenzi wake pilau ya samaki.
Kwa ufupi Kama wewe Ni mjinga wanaweza kukuteka kimapenzi mpaka ukaisahau familia. Kwenye mauno wako vizuri hata wamakonde wanaona wivu.
 
Wadigo ndy wenye Tanga mjini,,

Wengine wote kelele tu.
 
Wadigo ndy wenye Tanga mjini,,

Wengine wote kelele tu.
Ndio wenyeji lakini Kama walivyo fanywa wazaramo Dar, ndio hivyo hivyo walivyo fanywa wadigo Tanga.
Sasa hivi wadigo utawakuta Mwakidila, Kitopeni, Chumvini, Magomeni yaani sehemu za kishenzi shenzi . mjini wanakuja kufanya kazi za ndani na kuuza maembe.
 
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Mdigo anafungua duka lake saa tatu na nusu asubuhi
 
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Acha upuuzi na ukabila. Kwani hao unaowasema ni waswahili? Mbona kiswahili hakina mwenyewe? Tanga ni yao wote
Kumbaff kabisa
 
Watu wa Lutindi wanakaukichaa ila wana akili sana
Lutindi haina vichaa ,ile hospitali ni kwa watanzania woteilijengwa kisarawe ila wajerumani wakaihamishia lutindi sababu ya utulivu na hali ya hewa.
Watu wa lutindi wana akili maana wajerumani wako pale tangu 1886.
Bibi yangu kazakiwa 1925 ila alikuwa anajua kusoma na kuandika.
Lutindi ina wasomi wengi sana na umeme uki tangu 1975
 
Wadigo wana wadharau sana wasambaa lakini kiihalisia wasambaa hawanaga aibu ya kufanya kazi na wanapambana balaaa,

Uwezi kumuona mdigo unabeba gunia la viazi au anauza urembo , ila wasambaa popote kambi kama wa vietnum

Angalia hata hapa kariakoo mtaa wa muheza au stand ya gari za manzese kuenda nyuma ukipisha na vijana 10 basi wa 3 ni wagosi wa kaya

Hawa wahuni wanafanya kila aina ya kazi

Wadigo wanazingua sana hawataki kazi za kudhalilika nyumbani kwao ndio maana wengi ni mabaharia wa melini na wazamiaji ndio maisha wanayo yaweza

Unaweza kukutana na mdigo ana miaka 40 bado ana ndoto za kwenda ughaibuni


Sheeenzi kabisaaaaaa
 
Hahaaa umewananga sana kina mwapachu wadigo wale
Kina Mwapachu hawakua wadigo piwa ndio maana walipenya Hadi uwaziri.
Nataka mdigo OG wa Mwakidila msomi.
Sawa wamewahi kutoa Tanzania one na huyu bwanamdogo aliyepaniwa na Mwandonga, zaidi ya hao naona wadigo Kama watembeza madafu na samaki kwenye baiskeli.
 
Back
Top Bottom