Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndiko asili yetu iliko. Ukimuona Msambaa maeneo ya bondeni, basi ujue ameenda kutafuta. Ila maisha yake ya kudumu yeye na vizazi vyake, ni kwenye Milima ya Usambaa.Nahisi ndio wenye milima tanga nzima [emoji3] ile milima ya usambaa
Kuna mdogo wangu anaitwa GENTAMYCINE! Ametibiwa mara kadhaa hapo Lutindi, mambo yameshindikana kabisa. Kwa sasa tumemhamishia Mirembe Dodoma.Lutindi oyee mkichaa asipopona Lutindi hawezi pona popote.
... pia kuna kundi kubwa la wamasai na wasonjo waliohamishiwa Tanga kutoka Ngorongoro hivi karibuni. Hawa ni chachu wataibadilisha sana Tanga in 10 yrs.Wasegeju mbona hamuwataji jamani.
Wewe ndiyo hujui kitu kuhusu Tanga,nenda Lushoto uone hakuna mtu anaishi kwenye nyumba ya mbavu za mbwa na kuezekwa kwa nyasi. Niambie kuna tajiri gani wa Kidigo au mbondei hapo Tanga? Wasambaa ndiyo wanashindana na waarabu na wachaga kwenye biashara kubwa kubwa kama katika sekta ya usafiri nk. Wabondei ni wapenda sifa tu lakini huko kwao ni choka mbaya na wadigo ni mamwinyi tu.Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Wasambaa ndiyo kabila kubwa katika mkoa wa Yanga,wapo kuanzia Lushoto,Korogwe,Muheza,Mkinga na Tanga mjini. Wasambaa ni Taifa Kubwa hapa TangaUkisema unatoka Tanga watu wanajua huyu ni msambaa,wasambaa tuko vizuri wakina Msagati
Kijiji kinaongoza kwa idadi kubwa ya waganga wa kienyeji ni Kwamsisi,kila baada ya nyumba mbili ya tatu mganga.Wazigua huwa waganga waganga issue zao wao tunguli tu, na kule uziguani kila nyumba ina mganga..
Yaelekea una chuki sana na Wasambaa,ila haitaondoa umasikini wa kabila lako mnaishi kwenye nyumba za mbavu za mbwa na kuezekwa kwa nyasi. Nyie kabila lenu wavivu,washirikina,wapenda ngono uzembe na hamkusoma ndiyo maana unawaonea wivu Wasambaa Taifa Kubwa. Pole sana kwa umasikini wa akili na mali.Wasambaa wale, huoni walivyo
Bumbuli hiyoUzi bila picha haunogi bhana
Wewe ni mgosi wa ndima ahsanteTanga kuna wasambaa, wazigua, wabondei, wadigo na kadhalika sasa kati yao wanaoongoza kwa upambanaji ni wasambaa, sawa na uende kigoma utakuta kuna wagoma, wamanyema, wabembe, waha kabila la wapambanaji hapo ni waha, Ruvuma utakuta wangoni, wamatengo, wandendeule, wamanda, wanyasa lakini kabila la wapambanaji kule ni wamatengo ndio matajiri japo wangoni hubeba jina na utambulisho wa mkoa, ukifika mbeya utakuta wasafa, wanyakyusa, wandali, wamalila, wanyamwanga, lakini kabila la wanyakyusa hubeba jina la mkoa japo wasafa wenyeji wapo
Sehemu nyingi walipotawaliwa na Waarabu zipo nyuma kimaendeleo wakisubiri kila mwaka kuletewa msaada tende na haluwa kutoka Arabuni wakati wa mfungo. Waarabu watu wa hovyo sanaWasambaa ni km walikopi utamaduni wa mzungu na wabondei na wadigo wakakopi kwa waarabu
SwadaktaUkisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Hao sheehe sheehe sheehe hata sheetani ndugu yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pale unapofikiria kwa makalio...wasambaa ndo matajiri Tanga na Wana elimu Tanga fuatilia wakina professor Riziki Shemdoe, Kijazi marehemu, Shekilango mpaka ana mtaa hapa Sinza. Wasambaa ndo advanced na wachapakazi hata kwa sura nzuri na interaction na wazungu wapo.
Kama unabisha fuatilia watu wengi Serikalini kwa wanaotoka Tanga ni kabila gani hayo majina ya "She" yapo kibao na ni wachapakazi .
Soko la Mgandini ni wasambaa ,kule chuma na Ngamiani ... Tajiri kama Shehoza ni msambaa ni wachache sana kwa umaskini Wasambaa. Nilikaa hapo ukienda pale 15 ni wafanyabiashara wakubwa.
Nenda mpaka Arusha ,Dar, Moshi kaone balaa la wasambaa ..
Wadigo ujuaji mwingi kujua kiswahili wanajifanya wanajua kila kitu.
Na nyie kazi yenu kulewa hadi wanaume wanashindwa tendo la ndoa mnasaidiwa na hawa Wasambaa na wakamba kutoka Kenya,usikute hata wewe ni Msambaa huyu Mzee Mushi kabambikiwa tu chezea Msambaa wewe.Hao sheehe sheehe sheehe hata sheetani ndugu yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sanalii hivi Wasambaa wamekufanya nini [emoji23]Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Hivyi Wadigo si ndio wale ambao akiona mto umefurika anarusha rungu lake akiona limevuka mto anaona na yeye anaweza vuka huo mto matokeo yake anasombwa na maji?Pale unapofikiria kwa makalio...wasambaa ndo matajiri Tanga na Wana elimu Tanga fuatilia wakina professor Riziki Shemdoe, Kijazi marehemu, Shekilango mpaka ana mtaa hapa Sinza. Wasambaa ndo advanced na wachapakazi hata kwa sura nzuri na interaction na wazungu wapo.
Kama unabisha fuatilia watu wengi Serikalini kwa wanaotoka Tanga ni kabila gani hayo majina ya "She" yapo kibao na ni wachapakazi .
Soko la Mgandini ni wasambaa ,kule chuma na Ngamiani ... Tajiri kama Shehoza ni msambaa ni wachache sana kwa umaskini Wasambaa. Nilikaa hapo ukienda pale 15 ni wafanyabiashara wakubwa.
Nenda mpaka Arusha ,Dar, Moshi kaone balaa la wasambaa ..
Wadigo ujuaji mwingi kujua kiswahili wanajifanya wanajua kila kitu.