johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umemaliza?Nakuibia siri tu wee Mama.
Hapa jf inaendeshwa kura ya siri ya kutafuta ni nani anaongoza kuanzisha thread za kipumbavu.
Mpaka sasa UNAONGOZA Mama.
Siasa ni sayansi.Sio kupokea bali wameingiziwa ,sasa ukiingiziwa hela utazikataa? Mimi siyakubali matoke0 na hata ukiniingizia hela nazila tu maana cha Mlevi huliwa na Mgema.
Nijuavyo CCM, Chadema na CUF wameshavuta mzigo wa November!Badala ya kuleta ushahidi wa CHADEMA kupokea hiyo ruzuku, unataka sisi ndio tutafute ukweli ili hali wewe ndio umeleta hii habari!
Suppose kuchukua ruzuku ni vibaya.Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar.
Kigezo ni kwamba Chadema na ACT wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi"
Wanachosahau makamanda wa Chadema ni kuwahoji viongozi wao kama hawajapokea ruzuku ya mwezi November kutoka serikalini.
Ikumbukwe kuwa ruzuku ni zao la kura na idadi ya wabunge na madiwani ambao chama kimepata kwenye uchaguzi mkuu.
Natumai Matola na Salary slip mtauhoji uongozi kwa niaba yetu.
Maendeleo hayana vyama!
Kuchukua ruzuku ni haki ya kikatiba ya chama cha siasa " kilichokidhi" vigezo!Suppose kuchukua ruzuku ni vibaya.
Two wrongs do not make a right.
Ina maana sisi wananchi ni Walevi?Sio kupokea bali wameingiziwa ,sasa ukiingiziwa hela utazikataa? Mimi siyakubali matoke0 na hata ukiniingizia hela nazila tu maana cha Mlevi huliwa na Mgema.
Hahahaaaa....... hao ndio vijana wa Ufipa mkuu aka bavicha!Ina maana sisi wananchi ni Walevi?
Kwahiyo mmeyakubali matokeo ya uchaguzi?Kuna jambo huko Lumumba hamlielewi, mnadhani pesa ya ruzuku ni ya kwenu, wacheni kujidanganya, ruzuku ni pesa za walipa kodi wanazokatwa na serikali, hiyo sio pesa ya serikali ya CCM, ni pesa ya wananchi hivyo Chadema wana haki ya kuichukua.
Hizi kauli za "siasa ni sayansi" naona unazitumia kuhalalisha uhuni mliofanya kwenye uchaguzi mkuu, sayansi siku zote inahitaji matumizi ya akili nyingi, nyie hizo akili hamna, ndio maana mkafanya maigizo ya kishamba.Siasa ni sayansi.
Waacheni ACT wazalendo wachape kazi Zanzibar!
Akikusikia Halima James Mdee atakucheka bwashee!Hizi kauli za "siasa ni sayansi" naona unazitumia kuhalalisha uhuni mliofanya kwenye uchaguzi mkuu, sayansi siku zote inahitaji matumizi ya akili nyingi, nyie hizo akili hamna, ndio maana mkafanya maigizo ya kishamba.
Hivyo mlkchokifanya nyie haikuwa sayansi iliyothibitishwa na yenye viwango ulimwenguni, ule wenu ulikuwa ni ushirikina.
Hakuna uhusiano kati ya kukubali matokeo na kuchukua ruzuku, matokeo feki ya uchaguzi yalitangazwa na NEC ya CCM, hayo hayatambuliki, pesa za ruzuku ni kodi halali wanazokatwa wananchi wa taifa hili na serikali, hivyo serikali kama wakusanyaji ni wajibu wao kuvipa ruzuku vyama vyote vinavyostahili, na hili ni takwa la sheria sio mapenzi ya CCM, narudia tena hakuna uhusiano kati ya kuyakubali matokeo na kuchukua ruzuku.Kwahiyo mmeyakubali matokeo ya uchaguzi?
Huyo mtu simtambui.Akikusikia Halima James Mdee atakucheka bwashee!
HahahaahahahahahaNakuibia siri tu wee Mama..
Hapa jf inaendeshwa kura ya siri ya kutafuta ni nani anaongoza kuanzisha thread za kipumbavu..
Mpaka sasa UNAONGOZA Mama.