Ni very funny jitu zima lenye mvi mpaka matakoni kama Johnthebaptist lipo hapa linafananisha Ruzuku ambayo ni mali ya umma wanagawa kwa vyama vyote kwa formula maalumu na Ushiriki wa moja kwa moja na serikali dhalimu?
Yaani kama civilization ya watu tuliamua kwa pamoja vyama vya siasa vyote vipate ruzuku kwa formula maalumu ili viweze kujiendeleza kuhakikisha nchi inasimama kwenye system ya demokrasia
Punguani Johnthebaptist anadhani ruzuku ni mali ya CCM anagawa kwa vyama vya siasa kama zawadi with masharti..no,ni hela zetu wananchi tunawapa hivyo vyama
Kumbuka,vyama vya siasa kwa makusudi tuliamua kuvipa ruzuku na kuvinyima visipokee hela kutoka nje maana hela kutoka nje zinaweza kua hatari zaidi....
Kama mnataka,futeni ruzuku,katiba irekebishwe vyama viwe huru kupokea hela kutoka kwa yeyote duniani halafu uone the difference hapa
Tulikaa na tukaweka ruzuku makusudi kuzuia external financial influence of sort isiwe kubwa,japo wanapokea kwa njia za chini,ila sio wazi kiivyo
Ruzuku ni wananchi tunawapa vyama vya siasa vyote CCM included!
Usilete ukichaa aisee