Wanaoishambulia ACT-Wazalendo kujiunga SUK wajiulize kama CHADEMA hawajapokea ruzuku ya Novemba 2020

Wanaoishambulia ACT-Wazalendo kujiunga SUK wajiulize kama CHADEMA hawajapokea ruzuku ya Novemba 2020

Nani kayatambua?

Wameyatambua wao hao

Chadema haijatambua uchaguzi wowote

Ni maajabu wewe kusema CDM wametambua matokeo wakati hawajatoa tamko lolote kukubali huo upumbavu

Mtoa ruzuku yeye ajenge hiyo ruzuku kutokana na hesabu zake kichwani mwake..hata akiamua kusema CDM haikupata kura hata moja hivyo hawana ruzuku yeyote ni sawa kivyake

We do no care mzee
Mimi nimehoji tu bwashee.

Bila ruzuku Mnyika na watumishi wote hapo Ufipa hawana mshahara ujue!
 
Badala ya kuleta ushahidi wa CHADEMA kupokea hiyo ruzuku, unataka sisi ndio tutafute ukweli ili hali wewe ndio umeleta hii habari!

Hata hivyo, hilo likitokea sitashangaa kwani niliwahi tabiri jambo kama hilo kufanywa.
Ana stress huyo anaona wapinzani wanakula teuzi yeye anasugua matako tu hapo kwa buku saba.
 
Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar.

Kigezo ni kwamba Chadema na ACT wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi"

Wanachosahau makamanda wa Chadema ni kuwahoji viongozi wao kama hawajapokea ruzuku ya mwezi November kutoka serikalini.

Ikumbukwe kuwa ruzuku ni zao la kura na idadi ya wabunge na madiwani ambao chama kimepata kwenye uchaguzi mkuu.

Natumai Matola na Salary slip mtauhoji uongozi kwa niaba yetu.

Maendeleo hayana vyama!
Nikiangalia siasa za hovyo za wanasiasa wetu,natamani Kama wangeangalia mahojiano yaliyofsnywa na mtangazaji wa citizen,Sam,yenye title"UHURUTO MAZE"na waliokuwa viongozi wa Jubilee part,Isaac Mwaura,Aden Duale,na Kipchumba Murkomen,
Yaani watu wanaongea kwa weredi balaa,kila kitu kinawekwa wazi,sio huku kwetu ni kusifia tu,au kushindwa kujibu maswali.
 
Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar. Kigezo ni kwamba Chadema na ACT wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi" Wanachosahau makamanda wa Chadema ni kuwahoji viongozi wao kama hawajapokea ruzuku ya mwezi November kutoka serikalini. Ikumbukwe kuwa ruzuku ni zao la kura na idadi ya wabunge na madiwani ambao chama kimepata kwenye uchaguzi mkuu. Natumai Matola na Salary slip mtauhoji uongozi kwa niaba yetu. Maendeleo hayana vyama!

Kamuamshe marehemu Sita au mfuate mama Samia wao ndio walikuwa maspika wa bunge la katiba, wawaulize zile pesa ambazo wabunge wa ukawa walitoka bungeni walizipeleka wapi?
 
Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar.

Kigezo ni kwamba Chadema na ACT wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi"

Wanachosahau makamanda wa Chadema ni kuwahoji viongozi wao kama hawajapokea ruzuku ya mwezi November kutoka serikalini.

Ikumbukwe kuwa ruzuku ni zao la kura na idadi ya wabunge na madiwani ambao chama kimepata kwenye uchaguzi mkuu.

Natumai Matola na Salary slip mtauhoji uongozi kwa niaba yetu.

Maendeleo hayana vyama!
Politics is"who,gets where and how"
 
Maendeleo hayana chama chedema lazima wapokee pesa ili waendelee utaendeleaje kwa kususa na kuzira
 
Back
Top Bottom