Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Mbona wewe unatumia fedha alizohongwa mkeo, je unakubaliana na umalaya wake?Kwahiyo mmeyakubali matokeo ya uchaguzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wewe unatumia fedha alizohongwa mkeo, je unakubaliana na umalaya wake?Kwahiyo mmeyakubali matokeo ya uchaguzi?
Mzee tofautisha kuwekewa kwenye akaunti na kuitumia, serikali ina akaunt ya cdm kwahiyo wanaweza weka saa yoyote wakitaka hapa la kujiuliza cdm wameitumia hiyo pesa kama wameitumia tupe ushahidi kuwa imetumikaNimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar.
Kigezo ni kwamba Chadema na ACT wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi"
Wanachosahau makamanda wa Chadema ni kuwahoji viongozi wao kama hawajapokea ruzuku ya mwezi November kutoka serikalini.
Ikumbukwe kuwa ruzuku ni zao la kura na idadi ya wabunge na madiwani ambao chama kimepata kwenye uchaguzi mkuu.
Natumai Matola na Salary slip mtauhoji uongozi kwa niaba yetu.
Maendeleo hayana vyama!
Na hii thread imeanzishwa na kamanda kuhoji mambo ya chama chao? Mbona humlaumu kada mwenzako kwa kushupalia Mambo ya CDM?Hapa umewachokoza makamanda wa ufipa. Natanguliza pole kwa mapovu yatakayo kupata.
Lakni kwani ,makamanda mbona wanahangaika sana na mambo ya ACT? Zitto kaweka mambo wazi, kama hujaridhia na maamuzi ya chama,anzisha chama chako.
Hela ya usajili ni kama m20 tu hivi, sasa makamanda mkichangishana inatosha kabsa kuanzisha chama lenu la wavuta bangi. Ova
Kama kweli ni cha wavuta bangi na mtu anaushahidi,kwanini nipinge au kukataa??😂😂😂😂Na hii thread imeanzishwa na kamanda kuhoji mambo ya chama chao? Mbona humlaumu kada mwenzako kwa kushupalia Mambo ya CDM?
Hivi wewe ungeambiwa chama chako ni cha wavuta bangi ungeacha kutoa povu? Usiendekeze tabia ya kinafik.
Amandla...
.Uchaguzi mkuu ulikuwa Huru na Haki!
Wow! Kwi kwi kwi kwiiii!Sio kupokea bali wameingiziwa ,sasa ukiingiziwa hela utazikataa? Mimi siyakubali matoke0 na hata ukiniingizia hela nazila tu maana cha Mlevi huliwa na Mgema.
Du, wameanza matusi. Hawawezekani hawaaa. Ndio watawakabili chama cha majambazi hawa. Maana wewe unatukana wao wanafanya kweli.Ni very funny jitu zima lenye mvi mpaka matakoni kama Johnthebaptist lipo hapa linafananisha Ruzuku ambayo ni mali ya umma wanagawa kwa vyama vyote kwa formula maalumu na Ushiriki wa moja kwa moja na serikali dhalimu?
Yaani kama civilization ya watu tuliamua kwa pamoja vyama vya siasa vyote vipate ruzuku kwa formula maalumu ili viweze kujiendeleza kuhakikisha nchi inasimama kwenye system ya demokrasia
Punguani Johnthebaptist anadhani ruzuku ni mali ya CCM anagawa kwa vyama vya siasa kama zawadi with masharti..no,ni hela zetu wananchi tunawapa hivyo vyama
Kumbuka,vyama vya siasa kwa makusudi tuliamua kuvipa ruzuku na kuvinyima visipokee hela kutoka nje maana hela kutoka nje zinaweza kua hatari zaidi....
Kama mnataka,futeni ruzuku,katiba irekebishwe vyama viwe huru kupokea hela kutoka kwa yeyote duniani halafu uone the difference hapa
Tulikaa na tukaweka ruzuku makusudi kuzuia external financial influence of sort isiwe kubwa,japo wanapokea kwa njia za chini,ila sio wazi kiivyo
Ruzuku ni wananchi tunawapa vyama vya siasa vyote CCM included!
Usilete ukichaa aisee
Halalisha haramu kuwa halali. Nimependa koment zako. Mkiendelea kukoment namna hii itachukua miaka mingi sana kuitoa CCM madarakani.Hakuna uhusiano kati ya kukubali matokeo na kuchukua ruzuku, matokeo feki ya uchaguzi yalitangazwa na NEC ya CCM, hayo hayatambuliki, pesa za ruzuku ni kodi halali wanazokatwa wananchi wa taifa hili na serikali, hivyo serikali kama wakusanyaji ni wajibu wao kuvipa ruzuku vyama vyote vinavyostahili, na hili ni takwa la sheria sio mapenzi ya CCM, narudia tena hakuna uhusiano kati ya kuyakubali matokeo na kuchukua ruzuku.
Ndio SISI WANANCHI NI WAJINGA SANA TU. WATU WAANZE CHAMA WAKILETE KTK SIASA BAADHI YETU MILIONI 14 WASHBIKIE VYAMA HIVYO HALAFU TUWE TUNAVILIPA RUZUKU. Balaa gani wametuletea wabunge. Licha ya mishahara ya karibia miilioni 12 kwa mwezi acha miposho SHUKRANI YAO WAMETUBEBESHA TENA MZIGO WA KULIPIA RUZUKU VYAMA VYAO. MIMI SIPIGI TENA KURA WALA KUWA NA CHAMA. Sishiriki ktk dhuluma. KWANI NI LAZIMA WAB6NGE WAWE NA VYAMA? SI MTU YOYOTE AJIELEZE NA SERA ZAKE TUTAMCHAGUA? HIVI WALE WANAOPOTEZA KTK UCHAGUXI WANAFIDIWA NINI? SASA SABABU ZIPI VYAMA VIPEWE RUZUKU? VILIANZA NA RUZUKU? MBONA TANU ILIKUWA INAENDESHWA BILA RUZUKU AU CCM YA MWANZO? SI WANACHAMA NDIO WALIHUSIKA TU NA MIRADI YAO WALIYOANZISHA?Ina maana sisi wananchi ni Walevi?
Siamini kama hao ni ufipa! Watakuja welevu zaidid kama salary slip kujibu hoja hiiHahahaaaa....... hao ndio vijana wa Ufipa mkuu aka bavicha!
Kumbe huwa unahongwa mama watoto.....nilijua ni ile biashara yako ya mbege!Mbona wewe unatumia fedha alizohongwa mkeo, je unakubaliana na umalaya wake?
Hakika mkuu!Maendeleo hayana chama chedema lazima wapokee pesa ili waendelee utaendeleaje kwa kususa na kuzira
Ngoja tuone mkuu!mpaka sasa makamanda hawajajibu wanapovuka tu, ngoja tusubiri huenda watakaa kikao wakaleta jibu la kueleweka.
Hahahaaaa.........kama namuona vile Halima Mdee anavyowasanifu!Machadema yamejitia kitanzi yenyewe kwa uroho wa ruzuku.
Kwani madiwani mmewatoa wapi?Tatizo lenu wote akili zinafanana, misalaba ya taifa.
Hao wabunge 20 umewatoa wapi?!
Wafia chama wata Dislike huu uzi😂😂Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar.
Kigezo ni kwamba Chadema na ACT wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi"
Wanachosahau makamanda wa Chadema ni kuwahoji viongozi wao kama hawajapokea ruzuku ya mwezi November kutoka serikalini.
Ikumbukwe kuwa ruzuku ni zao la kura na idadi ya wabunge na madiwani ambao chama kimepata kwenye uchaguzi mkuu.
Natumai Matola na Salary slip mtauhoji uongozi kwa niaba yetu.
Maendeleo hayana vyama!
Ungekuwa na ushahidi ungeweka. Lakini ujue kuwa kuna tofauti kati ya chama CHA wavuta bangi na chama CHENYE wavuta bangi. Ili uthibitishe kuwa Chadema ni chama CHA wavuta bangi itabidi uthibitishe kuwa sharti la kuwa mwanachama wa Chadema ni uwe mvuta bangi. Kwa maneno mengine wanachama WOTE wa Chadema wanavuta bangi. Hii ni pamoja na wale ambao sasa hivi sio wanachama wa CHADEMA.Kama kweli ni cha wavuta bangi na mtu anaushahidi,kwanini nipinge au kukataa??😂😂😂😂
Mkuu inaoneokana kwenu hakuna wakubwa.Ungekuwa na ushahidi ungeweka. Lakini ujue kuwa kuna tofauti kati ya chama CHA wavuta bangi na chama CHENYE wavuta bangi. Ili uthibitishe kuwa Chadema ni chama CHA wavuta bangi itabidi uthibitishe kuwa sharti la kuwa mwanachama wa Chadema ni uwe mvuta bangi. Kwa maneno mengine wanachama WOTE wa Chadema wanavuta bangi. Hii ni pamoja na wale ambao sasa hivi sio wanachama wa CHADEMA.
Usipofanya hivyo itaonyesha kuwa wewe ni mmoja wa wale ambao uzushi na matusi ndio msingi wa maisha yako.
Amandla....