Wanaoishambulia ACT-Wazalendo kujiunga SUK wajiulize kama CHADEMA hawajapokea ruzuku ya Novemba 2020


Ruzuku sio pesa ya CCM ni pesa ya Serikali! Ni ujinga kugomea pesa ambayo wakikataa itaenda kufanyiwa ufisadi ni bora watumie hiyo pesa kutoa mokopo kwa vijana na kujenga chama. Hii haina maana misamamo imebadilika mfano inawezekana kabisa wakapata njia ya kupeleka wabunge kwa muafaka maalumu bila wenyewe kukubali matokeo ya wizi
 
Kwani chadema wamesusia uchaguzi kwa sababu uchaguzi ni hisani ya chama tawala?
 

"Ikumbukwe kuwa ruzuku ni zao la kura na idadi ya wabunge na madiwani ambao chama kimepata kwenye uchaguzi mkuu."
Hiyo ni sheria ya nchi wewe unatakaje?
 
Ruzuku inatokana na Kodi za wananchi ambao ni chadema na ccm, mambo ya Kodi hayana chama

Na huu Ujinga ndo wanaotumia ccm kwamba usipotuchagua hatukuletei maendeleo, mbowe analipa Kodi kwanin asipewe ruzuku au kupelekewa maendeleo

Ruzuku sio hela magufuli anatoa mfukoni kwake
 
Ruzuku inatokana na Kodi za wananchi ambao ni chadema na ccm, mambo ya Kodi hayana chama
Eeh aisee!!
Wewe si ndio umesema ruzuku wanapewa chama kilichopata uwakirishi au sio wewe ulie sema?

Sasa chadema wamekataa huo ushindi walio upata ambao unawapa haki ya kupata ruzuku, sasa kwanini waipokee wakati hawatambui matokeo ya uchaguzi?

Kabla hujajibu soma kwanza ninacho andika ukielewe.
 
Wana mbunge mmoja kwa hiyo ruzuku ni lazima, kutokutambua matokeo sio kosa kisheria, ndo maana hawajafunguliwa mashtaka
 
Wana mbunge mmoja kwa hiyo ruzuku ni lazima, kutokutambua matokeo sio kosa kisheria, ndo maana hawajafunguliwa mashtaka
Haki nimecheka sana.
Ahsante sana aheri wewe umekuwa mkweli mkuu, Kama ni hivi basi hawa chadema ni wanafiki wa kiwango Cha lami hawa jamaa.

Basi na kule Zanzibar ACT hakuna haja ya kuwaandama mana hata wao kule SUK ipo kikatiba sio kosa kisheria!.
 
Haki nimecheka sana.
Ahsante sana aheri wewe umekuwa mkweli mkuu, Kama ni hivi basi hawa chadema ni wanafiki wa kiwango Cha lami hawa jamaa.

Basi na kule Zanzibar ACT hakuna haja ya kuwaandama mana hata wao kule SUK ipo kikatiba sio kosa kisheria!.
Wanafki kwa lipi ruzuku ni haki yao kikatiba, na chadema wapo kikatiba upinzani wao unatumbulika kikatiba, we wapi mtu Aki yake unataka Tena aiombe
 
Zanzimana anahangaika kwelikweli kuzitafuta tilioni mbili za wafadhili , mpaka analazimisha kuwapa watu ubunge wa lazima ? (mabunzi) , analazimisha kuwapa ruzuku wapinga maendeleo Chadema wanaomkwamisha kwenda uchumi wa kati wa Lumumba wa kufikirika .
 
Tatizo lenu wote akili zinafanana, misalaba ya taifa.

Hao wabunge 20 umewatoa wapi?!
Wewe punga kweli kweli hizo ni hesabu namba huwa hazidanganyi nisawa na kwenye daladala kunakuwa na seat za wanafunzi kadhaa hivyo hivyo na bunge limetenga seat kadhaa kutokana na idadi ya tiketi zilivyo nunuliwa
 
Uliza maswali ya maana tafadhali, kasome sheria ujue kwa nini.

Narudia tena, pesa ya ruzuku sio mali ya CCM, ni pesa za wananchi, tafuteni propaganda nyingine.
Kama ni mali ya wananchi kwa nini hamutambui maamuzi ya wananchi? Kwa nini hamtaki kupeleke wanawake bungeni?
 
Sio kupokea bali wameingiziwa, sasa ukiingiziwa hela utazikataa? Mimi siyakubali matoke0 na hata ukiniingizia hela nazila tu maana cha Mlevi huliwa na Mgema.
Huu ndio upuuzi wenyewe na kudanganyana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…