Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

Sasa mantiki ya hili suala ni ipi? Washitakiwe kwa kusababisha hofu kwa jamii
Wangekuwa chini ya Private sector ungeona hili likitokea au ungesikia wanasababisha Taharuki kwa jamii ila kwakuwa ni wa serkalini hutasikia hilo
 
Itakuwa mazoezi ya kupima utayari wa vyombo vya uokozi na usalama kama vina rasilimali watu, zana na uwezo wa kuongoza maelfu ya watu kwenda sehemu salama kukitokea janga.

Satelaiti za Marekani zingeweza kutoa tahadhari ya kweli kuhusu tetemeko, volcano na mawimbi makubwa ktk tovuti yao kuhusu Afrika ya Mashariki na hususan maeneo ya Pwani ya mashariki iliyo mkabala na bahari ya Hindi.
 
Embu acheni ulimbukeni andikeni IOWave23 mtapata majibu. Ni simulations hizo kuna mtu alieleza hapo juu hamkuelewa. JF hii ya sasa kuna kizazi cha vilaza wengi sana. An Influx from Instagram and Facebook.
 
Hata mm nashangaa Yaani taarifa zao haziaminiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…