Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam ambao kila Rais wa Tanzania anatamani kukutana nao ni akina nani?

sasa kualikwa ili kupiga makofi tu !
 
Nasikia wako mia tisa. Kesho nitasoge pale mlimani city nikawaone aisee
Maelezo ya mhe. kunenge ni kuwa utaratibu maalum wa kuwakusanya kutoka karibu nchi nzima umefuatwa vema....ina maanisha ni maongezi na wazee wote. nikijaribu kujibu swali la mleta mada, ni kundi la mababu zetu waliotulea na 'kuilea' nchi yetu hii hadi kufikia hapa ambapo tumepata viongozi hawa tulionao, wana uelewa mzuri wa historia ya nchi huku wakiaminika kuwa bado wana uwezo wa kushaurina kuonya kuhusu muenendo na uelekeo wa nchi.
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.
Mi tangu nianze kusikia hii mikutano na wazee wa Dar sijawahi kumwona hata mzee mmoja toka mtaani kwetu akaenda kuwakilisha...

Hawa wazee sijui wanawatoaga wapi
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.

Mwambie babu yako au baba kama ni mzee aende tu wala hakuna special wazee
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.

Ni kama huyu, ambao wameona mengi na ni wepesi kutusimulia ili tufahamu tulikotoka, tulipo na tunapokwenda

Kanali mstaafu na mchambuzi wa masuala ya Habari na jamii Dkt Haruni Ramadhani Kondo akifafanua jambo mbele ya waandishi
 
Wanaruhusiwa kuongea chochote ?au wanakua wasikilizaji tuu na kugonga meza
 
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.

Natanguliza shukrani.
Miongoni mwa vitu vya kijinga sana watawala wetu wanafanya ni huo upuuzi wa wanaoitwa wazee wa DSM ..ukweli sio wazee wa DSM na maccm yaliyochoka usishangae kesho ukasikia Risala ya Samia aongezewe muda

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…