umenikumbusha kituWazee wa Dar es Salaam ni wale wenye kizazi cha walionzisha MWENGE WA UHURU.
kwa ufupi Rais yeyote atakaewazalau wazee hawa na atakae uzalau mwenge wa uhuru hawezi kubaki salama.
KILA FALME INA KINGA YAKE, UTARATIBU WAKE NA UTAMADUNI WAKE.
Ludi na ukasome uzi wa historia ya mwenge wa uhuru wanzilishi wake na historia yake. Halafu ndio utajua wazee wa dar ni kinanani kwenye Tanzania hii.
Kuna speech Nyerere aliongea hadi akalia machozi..
Ikafuata bakora Kwa wanafunzi wa udsm
ni wazee wa CCM waishio DSM. NuktaNinaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Hili ni jukwaa tu ambalo amechagua katika kuzungumza na Watanzania wote.Angeweza kusema "Nahutubia taifa"lakini limewekwa katika lugha laini ila kwa ujumla kuna maagizo au msimamo anaotaka kuutoa kwa watanzania wote.Sio futari!!Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Sasa hao wazee hakuna anaeishi mikoani wote walivyo stafu wameg'ang'ania Dsm?Wazee wa Dar es Salaam ni wale wenye kizazi cha walionzisha MWENGE WA UHURU.
kwa ufupi Rais yeyote atakaewazalau wazee hawa na atakae uzalau mwenge wa uhuru hawezi kubaki salama.
KILA FALME INA KINGA YAKE, UTARATIBU WAKE NA UTAMADUNI WAKE.
Ludi na ukasome uzi wa historia ya mwenge wa uhuru wanzilishi wake na historia yake. Halafu ndio utajua wazee wa dar ni kinanani kwenye Tanzania hii.
Wazee wenyewe ni sisi hapa.Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Kwa hiyo ile kufutwa mbio za mwenge inawezekana ndo nogwa ilianzia hapo?Wazee wa Dar es Salaam ni wale wenye kizazi cha walionzisha MWENGE WA UHURU.
kwa ufupi Rais yeyote atakaewazalau wazee hawa na atakae uzalau mwenge wa uhuru hawezi kubaki salama.
KILA FALME INA KINGA YAKE, UTARATIBU WAKE NA UTAMADUNI WAKE.
Ludi na ukasome uzi wa historia ya mwenge wa uhuru wanzilishi wake na historia yake. Halafu ndio utajua wazee wa dar ni kinanani kwenye Tanzania hii.
JKNinaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Kila mkoa una wazee wake1. Je, hao wazee wanapatikana Dar tu au wapo kila mkoa?
2. Je, wa Dar ndio muhimu kuliko wa mikoa mingine?
Wanavuta kiko balaaa....Ni wanaume wa dar waliozeeka.
Kwanza wapo hai ?Sasa hao wazee hakuna anaeishi mikoani wote walivyo stafu wameg'ang'ania Dsm?
Pascal Mayalla aliwahi kuandika hiloLwa hiyo ile kufuta mbio za mwenge i anawezekana ndo noma ikaanzia pale?