Pre GE2025 Wanaojadili Urais wa 2030 ilihali 2025 Kuna Uchaguzi mkuu, wanatuonaje Watanzania?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unachanganya taratibu za chama na katiba ya nchi.
Nami nakwambia taratibu za chama ni Kwa Rais aliyepita mchujo wa awali na kushinda Urais u haguzi wa awali,

Si huyu aliyepata Urais wa kikatiba bila kupita mchujo ndani ya chama kama mgombea Urais.

HOJA ya fomu Moja Kwa Haina mashiko uchaguzi huu.
 
Ni kama ilivyokuwa kwa Mkapa, Kikwette na JPM
Mkapa, Kikwete na JPM walipitia mchujo wa chama Awamu ya kwanza,

Jambo ambalo halikufanyika Kwa aliyepo hivyo, HOJA ya fomu Moja Haina mashiko.

Nafasi ya Urais haitakiwi mbeleko, wagombea washindanishwe tupate Rais mwenye capacity.
 
Akisusa siku ya mwisho wa compaign nini kitatokea?

Tusilazimishane!!
Mkuu hawa watu wanatudharau sana sana sisi wananchi. Wanajua hakuna uchaguzi wa kweli. Ila wakitudharau sisi na Mungu naye wanamdharau? Linaweza kutokea jambo na likabadilisha kabisa ni nani atakuwa rais wa 2025.
 
Mkapa, Kikwete na JPM walipitia mchujo wa chama Awamu ya kwanza,

Jambo ambalo halikufanyika Kwa aliyepo hivyo, HOJA ya fomu Moja Haina mashiko.

Nafasi ya Urais haitakiwi mbeleko, wagombea washindanishwe tupate Rais mwenye capacity.
Ni mawazo yako tu ndiyo yanaona hivyo. Kwa taarifa yako hata hao akina Mkapa, Kikwete na JPM walioshinda mchujo awamu ya kwanza, Katiba ya CCM haisemi mchujo wa pili wana CCM wengine wasigombee, bali ni utamaduni wao tu wanaoufuata. Wakitaka kubadili watabadili kwa vile ni utamaduni tu na siyo sheria/ kanuni
 
Nami nakwambia taratibu za chama ni Kwa Rais aliyepita mchujo wa awali na kushinda Urais u haguzi wa awali,

Si huyu aliyepata Urais wa kikatiba bila kupita mchujo ndani ya chama kama mgombea Urais.

HOJA ya fomu Moja Kwa Haina mashimo uchaguzi huu.
Hajakatazwa mtu kuchukua fomu ni mapenzi ya wanachama kumuachia Samia achukue fomu
 
Psychological projection and mind control !!!Ndicho wanachojaribu kukipika kwenye fikra zetu!!

Yaani ionekane makundi yote tayari yamekubaliana ndie hata kama Kuna ukakasi humo ndani ionekane wamekubaliana!!

Kama jambo hilo Lina baraka ya jamuhuri sawa lakini kama ni mhusika na wenzake wamejifungia ndani wakaja na hii move bila baraka ya jamuhuri na maono ya 2050 Kuna haja ya wenye mamlaka kuja na muelekeo mpya!
 
Wengi wape ..
Wajinga wamekuwa wengi sana nchi hii.
 
Ni nani huyo anajadili urais wa 2030?
 
Attachments

  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB
Tanzania imebarikiwa sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…