Pre GE2025 Wanaojadili Urais wa 2030 ilihali 2025 Kuna Uchaguzi mkuu, wanatuonaje Watanzania?

Pre GE2025 Wanaojadili Urais wa 2030 ilihali 2025 Kuna Uchaguzi mkuu, wanatuonaje Watanzania?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chawa hana chaguo lingine, Lakini je wewe na Abdul na Mchengerwa mtakuwa na kura ngapi?

Halafu mkyela mwenzangu mbona umenikimbia kule katika "post" ya komredi Gangwe Boni Yai na kina Sumuni wazee wa visungura na ya Rizla zigi ?!! [emoji1787][emoji1787]

Boni ana magangwe bwana...

Wako naye toka enzi zile pale mahakamani kesi ya Zitto...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jikite kwenye mada, Bonny humuwezi hata kwa uchawi, wewe jikite kwenye Tamasha la Kizimkazi tu ulipwe posho

Screenshot_2024-09-03-17-04-07-1.png
 
Jikite kwenye mada, Bonny humuwezi hata kwa uchawi, wewe jikite kwenye Tamasha la Kizimkazi tu ulipwe posho

View attachment 3088254
Kweli simuwezi Bony kwa kutumia magangwe na wahuni ila si kwa "miereka" mkuu wangu [emoji1787]

Uchawi ?!! [emoji44][emoji1787][emoji1787]

Mizimu ya Kyela ni mikali sana...we unajua...

Sikiliza Tuntindaga...mbona umenikimbia katika ile "thread"?!!

Nina mengi ya yaliyotokea pale mahakamani "magangwe" walipopanga yao dhidi ya Zitto....

Sasa nakuuliza swali ulilokataa kunijibu..

Si kweli kuwa Zitto alitokea mlango wa Pilato kuwakwepa magangwe wakiwa na *viwembe" na bikari ?!!

Kataa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
CCM tuna utaratibu wetu mgombea wa CCM ana save vipindi viwili hiyo inajulikana kwahiyo hayo mengine ya ni formalities tu.
Sasa mama hajawahi kugombea awamu yoyote

Kwa utaratibu huu anaanza 2025 maana yake kwa vipindi viwili tukutane 2035

Mungu anaweza kutoa jambo jema kutoka katikati ya bahari
 
Sasa mama hajawahi kugombea awamu yoyote

Kwa utaratibu huu anaanza 2025 maana yake kwa vipindi viwili tukutane 2035

Mungu anaweza kutoa jambo jema kutoka katikati ya bahari
Soma katiba kwanza ya nchi maana inaonekana hujui katiba inasemaje baada ya Rais aliyeko madarakani kufariki.
 
Soma katiba kwanza ya nchi maana inaonekana hujui katiba inasemaje baada ya Rais aliyeko madarakani kufariki.
Mimi nimemnukuu mtu

Halafu kaka nisome katiba ya nini?.

Unajua kuwa sipati hela yoyote wala faida yoyote kwa kusoma katiba wakati nikisoma ualimu wangu napata hela kwa kufundisha watoto

Inayowanufaisha katiba waisome hujui kusoma ni economic activities??
 
Basi ngoja nikuache inaonekana una stress.
 
CUF sio chama cha siasa,ni asasi ya utafiti ya Prof Lipumba
 
Kwenye ndoto yako mgombea mwenza urais cuf alikuwa ni mimi.

Ota tena kinachofuata hapo.
 
Salaam, Shalom!!

Nchini petu Tanzania , mwaka kesho 2025 kutakuwapo na uchaguzi mkuu Kwa ngazi zote, Udiwani, ubunge na nafasi ya Urais.

Limeibuka kundi dogo la watu linaloanza kujadili habari za 2030 kana kwamba 2025 tayari Kuna kiongozi special amekwishawekwa tayari Kwa nafasi ya Urais, kwamba tutaingia Uchaguzi 2025 kuchagua Wabunge na Madiwani pekee, hili Si sawa na kinatakiwa kukemea vikali.

Rais aliyepo, ikifika muda wa mchakato ndani ya vyama,akipita mchujo, itafikia time atakuwa mgombea sawa kabisa na wagombea wengine ikitokea chama chake kikampa ridhaa kupeperusha bendera.

Watanzania 2025 Wana HAKI ya msingi kabisa kumchagua kiongozi wamtakaye katika nafasi zote kuanzia Udiwani,ubunge na Urais.

Soma Pia: Wanasiasa na mbinu ya kuweka TV kwenye mikusanyiko ili kuhadaa wapiga kura

Nchi hii ni ya mfumo wa vyama vingi, wananchi Wana HAKI kabisa kumchagua Rais, Mbunge au Diwani Kutokea chama chochote Cha Siasa na akawa Kiongozi.

ANGALIZO: 2025 Kuna Uchaguzi Mkuu, Wananchi tunajua HAKI zetu na tutamchagua kiongozi tumtakaye utakapowadia muda huo adhimu, na kamwe hatutapangiwa. Na wote wanaojadili Urais wa 2030 kana kwamba 2025 hakuna uchaguzi Kwa nafasi ya Urais "WAPUUZWE".

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Hii mijizi ushindi wao si kwenye sanduku la kura!
 
Back
Top Bottom