Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Hongera sana kwa kufanya maamuzi mazuri mapema kabisa [emoji7]Tayari nimeweka Nia ya kumchagua Mgombea wa Urais yeyote atakayepitishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Aamin[emoji7]Mwenyezi Mungu akuwafikishe
Tulisha kubaliana kutoanzisha nyuzi ukiwa umelewa...🤨Tayari nimeweka Nia ya kumchagua Mgombea wa Urais yeyote atakayepitishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Chawa hana chaguo lingine, Lakini je wewe na Abdul na Mchengerwa mtakuwa na kura ngapi?Tayari nimeweka Nia ya kumchagua Mgombea wa Urais yeyote atakayepitishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Chawa hana chaguo lingine, Lakini je wewe na Abdul na Mchengerwa mtakuwa na kura ngapi?
Jikite kwenye mada, Bonny humuwezi hata kwa uchawi, wewe jikite kwenye Tamasha la Kizimkazi tu ulipwe poshoHalafu mkyela mwenzangu mbona umenikimbia kule katika "post" ya komredi Gangwe Boni Yai na kina Sumuni wazee wa visungura na ya Rizla zigi ?!! [emoji1787][emoji1787]
Boni ana magangwe bwana...
Wako naye toka enzi zile pale mahakamani kesi ya Zitto...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli simuwezi Bony kwa kutumia magangwe na wahuni ila si kwa "miereka" mkuu wangu [emoji1787]Jikite kwenye mada, Bonny humuwezi hata kwa uchawi, wewe jikite kwenye Tamasha la Kizimkazi tu ulipwe posho
View attachment 3088254
Usiwe zebe...2025
new president
Sasa mama hajawahi kugombea awamu yoyoteCCM tuna utaratibu wetu mgombea wa CCM ana save vipindi viwili hiyo inajulikana kwahiyo hayo mengine ya ni formalities tu.
Soma katiba kwanza ya nchi maana inaonekana hujui katiba inasemaje baada ya Rais aliyeko madarakani kufariki.Sasa mama hajawahi kugombea awamu yoyote
Kwa utaratibu huu anaanza 2025 maana yake kwa vipindi viwili tukutane 2035
Mungu anaweza kutoa jambo jema kutoka katikati ya bahari
Mimi nimemnukuu mtuSoma katiba kwanza ya nchi maana inaonekana hujui katiba inasemaje baada ya Rais aliyeko madarakani kufariki.
Basi ngoja nikuache inaonekana una stress.Mimi nimemnukuu mtu
Halafu kaka nisome katiba ya nini?.
Unajua kuwa sipati hela yoyote wala faida yoyote kwa kusoma katiba wakati nikisoma ualimu wangu napata hela kwa kufundisha watoto
Inayowanufaisha katiba waisome hujui kusoma ni economic activities??
Mtabaki midomo waziFomu ni moja tu
Hii mijizi ushindi wao si kwenye sanduku la kura!Salaam, Shalom!!
Nchini petu Tanzania , mwaka kesho 2025 kutakuwapo na uchaguzi mkuu Kwa ngazi zote, Udiwani, ubunge na nafasi ya Urais.
Limeibuka kundi dogo la watu linaloanza kujadili habari za 2030 kana kwamba 2025 tayari Kuna kiongozi special amekwishawekwa tayari Kwa nafasi ya Urais, kwamba tutaingia Uchaguzi 2025 kuchagua Wabunge na Madiwani pekee, hili Si sawa na kinatakiwa kukemea vikali.
Rais aliyepo, ikifika muda wa mchakato ndani ya vyama,akipita mchujo, itafikia time atakuwa mgombea sawa kabisa na wagombea wengine ikitokea chama chake kikampa ridhaa kupeperusha bendera.
Watanzania 2025 Wana HAKI ya msingi kabisa kumchagua kiongozi wamtakaye katika nafasi zote kuanzia Udiwani,ubunge na Urais.
Soma Pia: Wanasiasa na mbinu ya kuweka TV kwenye mikusanyiko ili kuhadaa wapiga kura
Nchi hii ni ya mfumo wa vyama vingi, wananchi Wana HAKI kabisa kumchagua Rais, Mbunge au Diwani Kutokea chama chochote Cha Siasa na akawa Kiongozi.
ANGALIZO: 2025 Kuna Uchaguzi Mkuu, Wananchi tunajua HAKI zetu na tutamchagua kiongozi tumtakaye utakapowadia muda huo adhimu, na kamwe hatutapangiwa. Na wote wanaojadili Urais wa 2030 kana kwamba 2025 hakuna uchaguzi Kwa nafasi ya Urais "WAPUUZWE".
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏